Febron Sanga
Febron Sanga
  • 19
  • 8 898
Febron Sanga_ft_Alexander Motela_-_Amenishangaza(Official _music_video)4K
Ninamshukuru Mungu Kwa Neema Hii ya Kipekee Kwani Ametupa Kibali Tena Cha Kukuletea Video Hii Inayoutwa Amenishangaza Karibu Uweze Kubarikiwa, Pia Usisahau Ku Subscribe, Comments, Like, Pia Share Kwa Ndugu,Jamaa na Rafiki Zako Na Mungu Akubariki Sanaa.
Amenishangaza ni official video ya tatu(3) Kutoka Kwa ‎@sangagospel9284 ft ‎@alexandermotela ni Nyimbo inayopatikana Katika album Inayoutwa #MkonowaChuma Pia
Audio produced by ‎@sampamba
Video directed & filmed by ‎@mr.azalia4751
มุมมอง: 148

วีดีโอ

Febron Sanga_Live_ Performance_Mungu_Fundi_At_93.5_Nuru_Fm(Interview Live)
มุมมอง 3619 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#mediatour #gospelmusic #MunguFundi #MkonowaChumaAlbum . . . Follow us on TH-cam @sangagospel9284 facebook @febronsanga Instagram @febronsanga TikTok @febronsanga
Febron Sanga_-_Media_Tour_Live_At_Nuru_fm_93.5_Iringa_(MkonowaChuma Album)
มุมมอง 1321 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#MkonowaChumaalbum #mediatour #gospelmusic
Febron Sanga _ Toa (Official Audio)
มุมมอง 11021 วันที่ผ่านมา
TOA Ni Nyimbo Ambayo Inakumbusha Kwa Habari Ya Kumtolea Mungu Na Faida Zake Pia Inahimiza Kuwa Na Moyo Wa Kutoa. Performed by Febron Sanga Produced by S.M.G
Febron Sanga ft Sampamba _ Niacheni (Official Audio)
มุมมอง 8321 วันที่ผ่านมา
Niacheni Hii Ni Nyimbo Ambayo Inaeleza Msimamo Wa Mtu Kwa Mungu Licha Ya Kusikia Maneno Mengi Ya Kukatisha Tamaa Kwa Habari Ya Wokovu Wa Mtu. Performed by Febron Sanga ft Sampamba Written by Mkwawa Produced by S.M.G
Febron Sanga ft Alexander Motela _ Amenishangaza (Official Audio)
มุมมอง 14521 วันที่ผ่านมา
Amenishangaza Ni Nyimbo Inayozungumzia Matendo Ya Mungu Ambavyo Yanaweza Kuwa Bora Zaidi Ya Ulivyotarajia Mpaka Ukabaki Unashangaa. Performed by Febron Sanga ft Alexander Motela Produced by S.M.G
Febron Sanga ft Sampamba _ Ukuta Wa Moto (Official Audio)
มุมมอง 8521 วันที่ผ่านมา
Ukuta wa Moto Ni Nyimbo Ambayo Inaeleza Ukubwa Na Nguvu Za Ulinzi Wa Mungu Kwa Mwanadamu Vile Akikulinda Yeye Hakuna Cha Kukugusa Kabisa Kilicho Kinyume Na Mapenzi Ya Mungu. Performed by Febron Sanga ft Sampamba Produced by S.M.G
Febron Sanga ft Sampamba _ Mkono Wa Chuma (Official Audio)
มุมมอง 8821 วันที่ผ่านมา
MkonowaChuma Ni Nyimbo Yenye Maudhui Ya Kueleza Ushindi Wa Matendo Makubwa Anayotenda Kwa Mwanadamu Na Hakuna Chochote Cha Kumshinda Mungu. Performed by Febron Sanga ft Sampamba Produced by S.M.G
Febron Sanga _ Mungu Fundi (Official Audio)
มุมมอง 29521 วันที่ผ่านมา
Mungu Fundi Ni Nyimbo Inayoelezea Miujiza Ya Mungu Kwa Mwanadamu Kuwa Katika Jinsi Ulivyo Basi Mungu Amependa Uwe Hivyo Na Pia Yeye Mungu Anayo Nafasi Ya Kurekebisha ama Kukutengeneza Kwa Namna Nyingine Tena. Performed by Febron Sanga Produced by S.M.G
Febron Sanga ft Richie Kisukuli _ Ataniinua (Official Audio)
มุมมอง 15221 วันที่ผ่านมา
Ataniinua Ni Nyimbo Inayoelezea Hisia Za Mtu Anayepitia Wakati Mgumu Lakini Bado Moyoni Mwake Anaamini Mungu Ndiye Tumaini Lake La Kumtoa Mahali Alipokwamia. Performed By Febron Sanga ft Richie Kisukuli Produced By S.M.G
Mass _&_ Febron_Sanga_-_Sifa_(Official_ Lyrics_Video)
มุมมอง 1608 หลายเดือนก่อน
Sifa ni Nyimbo Mpya Kutoka Kwa Mass Akiwa Na Febron Sanga, Ni Nyimbo Inayoeleza Uhalisia Na Ukuu Wa Matendo Ya Mungu Katika Maisha Yetu, Hivyo Tuzidi Kutambua Kuwa Ni Mungu Pekee Ndiye Anayestahili Sifa Na Utukufu Kutoka Kwetu.
ATANIINUA MEDIA TOUR LIVE IN 98.6 OVERCOMERS FM || FEBRON SANGA || Part:2
มุมมอง 533 ปีที่แล้ว
#ataniinua #mkonowachuma
ATANIINUA MEDIA TOUR LIVE IN 98.6 OVERCOMERS FM || FEBRON SANGA || Part:1
มุมมอง 1073 ปีที่แล้ว
#ataniinua #mkonowachuma
Febron Sanga_-_Live Performance-MkonowaChuma In Iringa.
มุมมอง 1673 ปีที่แล้ว
Shuhudia Performance Ya Nyimbo Pendwa Ya #MkonowaChuma Na Mungu Akubariki Sanaaa 🙏🙏 SUBSCRIBE Comment Like Share
Febron Sanga_-_Ataniinua ft Richie Kisukuli(Official Video)
มุมมอง 1.4K3 ปีที่แล้ว
👉🏽Ataniinua Ni Official Video Ya Pili Kutoka Kwa Febron Sanga Nikiwa Nimeshirikiana Vema Kabisa Na Richie Kisukuli.! 👉🏽AtaniinuaNi Nyimbo Ambayo Imebeba Tumaini Jipya La Imani Yako Kwa Mungu.! 👉🏽Hata Ungalipitishwa Katika Magumu Kiasi Gani Amini Mungu Atakuinua Upya.! 👉🏽Tena Kwa Sekunde Moja Tuu Utakua Umebadilika.! . . Song; #Ataniinua Performed By; @Febron Sanga & @Richie Kisukuli Song Writte...
Febron Sanga_-_Ataniinua ft Richie Kisukuli(Official Audio)
มุมมอง 3483 ปีที่แล้ว
Febron Sanga_-_Ataniinua ft Richie Kisukuli(Official Audio)
Febron Sang ft Sampamba_-_MkonowaChuma(Official Video)
มุมมอง 3.4K4 ปีที่แล้ว
Febron Sang ft Sampamba_-_MkonowaChuma(Official Video)
Febron Sanga ft Sampamba__--__Mkono wa Chuma (Official Video lyrics)
มุมมอง 3964 ปีที่แล้ว
Febron Sanga ft Sampamba Mkono wa Chuma (Official Video lyrics)
#febron #mkonowachuma #sampamba Febron sanga-MKONO WA CHUMA ft Sampamba-(Official Audio)
มุมมอง 1.8K4 ปีที่แล้ว
#febron #mkonowachuma #sampamba Febron sanga-MKONO WA CHUMA ft Sampamba-(Official Audio)

ความคิดเห็น

  • @EugeNdambo
    @EugeNdambo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kubwa sana hii

  • @EugeNdambo
    @EugeNdambo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    My favorite 🔥🔥

  • @EugeNdambo
    @EugeNdambo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ubarikiwe mtumishi

  • @EugeNdambo
    @EugeNdambo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥

  • @giboncgibonc702
    @giboncgibonc702 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kubwa sanaaaa🎉🎉🎉🎉🎉

  • @johnmshan4017
    @johnmshan4017 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Balikiwa 🎉SANA KAZI NZURI

  • @bebyciaramuel
    @bebyciaramuel 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watumishi wa MUNGU 🔥🙌🙌🙌🌍

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ubarikiwe Sanaa Mtumishi Wa Mungu 🙏

  • @emmanuelmwaipopo5086
    @emmanuelmwaipopo5086 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @EmmanuelKunzugala
    @EmmanuelKunzugala วันที่ผ่านมา

    Amen ,Mungu azidi kukutumia mtumishi wake...hakika Mungu amenishangaza🔥🔥🔥

  • @gracemusic1950
    @gracemusic1950 วันที่ผ่านมา

    @mjoli wa yesu njoo usikiilize ukuu

  • @gracemusic1950
    @gracemusic1950 วันที่ผ่านมา

    Mungu azidi kuwatunza kazi nzuri saaana

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🙏🙏🙏

  • @marthaaugustinokimilike4228
    @marthaaugustinokimilike4228 วันที่ผ่านมา

    🎉

  • @alexandermotela
    @alexandermotela วันที่ผ่านมา

    Mwaka umeanza kibabe Sana kaka, ubarikiwe sana Kaka na hongera kwa kazi nzuri

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 วันที่ผ่านมา

      Amina Kaka Mkubwa Utukufu Kwa Mungu 🙏🙏

  • @lodricknassaryofficial3704
    @lodricknassaryofficial3704 วันที่ผ่านมา

    Kazi Kali kaka🔥🔥🔥🔥

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 วันที่ผ่านมา

      Amina Utukufu Kwa Mungu 🙏🙏

  • @BedoniSanga
    @BedoniSanga 2 วันที่ผ่านมา

    Safi dogo songa mbele na mkono wa chuma

  • @salmaseleman9379
    @salmaseleman9379 15 วันที่ผ่านมา

    Niacheni mm na mungu wanguw♥️

  • @salmaseleman9379
    @salmaseleman9379 15 วันที่ผ่านมา

    Fireeeeee!!!🙏

  • @salmaseleman9379
    @salmaseleman9379 15 วันที่ผ่านมา

    Nimekukubali dogo lake

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 14 วันที่ผ่านมา

      Amina Utukufu Kwa Mungu, Pia Ubarikiwe Sanaa 🙏🙏🙏

  • @salmaseleman9379
    @salmaseleman9379 15 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥🔥♥️

  • @salmaseleman9379
    @salmaseleman9379 15 วันที่ผ่านมา

    Mkono wa chuma

  • @salmaseleman9379
    @salmaseleman9379 15 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa

  • @salmaseleman9379
    @salmaseleman9379 15 วันที่ผ่านมา

  • @salmaseleman9379
    @salmaseleman9379 15 วันที่ผ่านมา

    🙏

  • @salmaseleman9379
    @salmaseleman9379 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni fundi 🔥

  • @salmaseleman9379
    @salmaseleman9379 15 วันที่ผ่านมา

  • @stevenmkavila7014
    @stevenmkavila7014 15 วันที่ผ่านมา

    Hakika Mungu ni fundi kaka.

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 14 วันที่ผ่านมา

      Kaka Mkubwa Ubarikiwe Sanaa Brother Angu 🙏🙏

  • @yohanatainulwa6053
    @yohanatainulwa6053 20 วันที่ผ่านมา

    Nicheniiiiii 🔥🔥🔥

  • @saimonmfugale932
    @saimonmfugale932 21 วันที่ผ่านมา

    Balikiwa saana

  • @IanNashon-zj4tk
    @IanNashon-zj4tk 23 วันที่ผ่านมา

    Naamini mwakani Mungu atanishangaza na nitarudisha ushuhuda hapa hapa.Mbarikiwe na Bwana Yesu

    • @alexandermotela
      @alexandermotela 23 วันที่ผ่านมา

      Amen na Mungu akakutendee in the mighty name of Jesus

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 21 วันที่ผ่านมา

      Ameen Ubarikiwe sanaa Mungu Husubiri Neno La Kinywa Chako Ili Kulitimiliza #AMENISHANGAZA

  • @yohanatainulwa6053
    @yohanatainulwa6053 23 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥🔥

  • @nathanaelkiswili7626
    @nathanaelkiswili7626 24 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana

  • @saimonmfugale932
    @saimonmfugale932 24 วันที่ผ่านมา

    💥💥💥

  • @SarafinaKidago-u4v
    @SarafinaKidago-u4v 25 วันที่ผ่านมา

    Ujumbe mzuri sana

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 25 วันที่ผ่านมา

      Ubarikiwe Sana Mtumishi Wa Mungu 🙏

  • @mr.blessed391
    @mr.blessed391 25 วันที่ผ่านมา

    BARIKiwa kaka

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 25 วันที่ผ่านมา

      Amina Kaka Mkubwa Ubarikiwe Sana 🙏🙏

  • @SharonMutheu-n1q
    @SharonMutheu-n1q 25 วันที่ผ่านมา

    Congratulations 👏 pitieni kwangu msubscribe

  • @GladyGlady-pu9vu
    @GladyGlady-pu9vu 25 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiw sanaa

  • @joshuasanga8387
    @joshuasanga8387 26 วันที่ผ่านมา

    Mungu fundi🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @joshuasanga8387
    @joshuasanga8387 26 วันที่ผ่านมา

    Ukuta WA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 25 วันที่ผ่านมา

      🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌

  • @joshuasanga8387
    @joshuasanga8387 26 วันที่ผ่านมา

    Hata mimi Amenishangaza💛❤️💛💛💛💛🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 25 วันที่ผ่านมา

      Ubarikiwe Sana Brother Angu 🙏🙏

  • @joshuasanga8387
    @joshuasanga8387 26 วันที่ผ่านมา

    Nyimbo ya kubarikiwa kabisa hii

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 25 วันที่ผ่านมา

      Amina Ubarikiwe sanaa 🙏🙏

  • @joshuasanga8387
    @joshuasanga8387 26 วันที่ผ่านมา

    Ataniinua ❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥

  • @joshuasanga8387
    @joshuasanga8387 26 วันที่ผ่านมา

    Niacheni imekaa vizuri sana

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 25 วันที่ผ่านมา

      Ameen Brother Angu Ubarikiwe Sana 🙏🙏

  • @joshuasanga8387
    @joshuasanga8387 26 วันที่ผ่านมา

    Mkono WA CHUMA NI🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @SamuelJoshua7
    @SamuelJoshua7 26 วันที่ผ่านมา

    Mwimbaji wetu wa Taifa

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 25 วันที่ผ่านมา

      Kaka Mkubwa 🔥🔥🔥💥💥💥

  • @gracemusic1950
    @gracemusic1950 26 วันที่ผ่านมา

    Waooh

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 25 วันที่ผ่านมา

      Gee Kama Gee Ubarikiwe Sana Mtumishi 🙏🙏

  • @jbsondaniel2438
    @jbsondaniel2438 26 วันที่ผ่านมา

    Mungu atakuinua tyu kuwa na Imani one day yes

  • @boazkalokola3447
    @boazkalokola3447 26 วันที่ผ่านมา

    This is dope and fantastic

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 25 วันที่ผ่านมา

      God bless you brother 🙌🙌🙌

  • @alexandermotela
    @alexandermotela 26 วันที่ผ่านมา

    HIT Song 🔥🔥🔥

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 25 วันที่ผ่านมา

      God bless you so much 🙏🙏

  • @alexandermotela
    @alexandermotela 26 วันที่ผ่านมา

    Good SONG

  • @alexandermotela
    @alexandermotela 26 วันที่ผ่านมา

    NYIMBO KUBWA SANA

    • @sangagospel9284
      @sangagospel9284 25 วันที่ผ่านมา

      Amina Ubarikiwe sanaa Mtumishi 🙏🙏