- 108
- 58 567
Abuu Arshad
เข้าร่วมเมื่อ 24 ก.ค. 2020
Shairi tam
UTENZI BORA WA HARUS
Niutenzi rasmi kwaajili ya nasaha kwa shemejiagu Yasir Rashid Allah akulindie ndoa yako
มุมมอง: 20
วีดีโอ
August 17, 2024
มุมมอง 215 หลายเดือนก่อน
shairi mahsusi kwa wle wote walio nahali duni ya kimaisha hii nifaraja
Mawadda
มุมมอง 226 หลายเดือนก่อน
Nishairi nililo mtungia kama zawadi rafikiangu ambae tukokatika fani moja ya utunzi na ughani was mashairi hii nilimpa kama zawadi siku ya ndoa yake
Shairi: Simimi hata kwa yeye
มุมมอง 6467 หลายเดือนก่อน
Nishairi La msiba wakweli kwa rafiki wa mwalimu wangu Hassan R Hassan kwakuondokewa na rafiki take kipenzi Nurdin
😓😓😓
❤
Kwani wewe unapatikana wapi dar au znz
Kwasasa Tanga ila hom zanzibar ndio hom
halaf nimependa sana ushirikiano wako nakupa tuzo ya kua mshabiki wangu namba moja kupata kazi zangu mpya 0679832944 nitafute watsapp mana hua mda mwengine naingia uvivu kutuma kazi zangu youtube ila kazi mpya zipo nyingi sana na nzuri mashallah
@@abuuarshad8311 sawa samahani nilijuwa nimelala Sasa vip naukotumbatu ulikokwenda
@@abuuarshad8311 Asante ila hiinamba haipo wsp
Mbona huwa unakaasana tatizo nini kweli ushoga niujingatu
Kazi nyingi hua napeleka tiktok mana uku naona jukwaa langu dogo sana kidogokule ninajukwaa kubwa
Njoo tiktok nitafute kwa jina la MALENGA HURU
@@abuuarshad8311 sina
@@abuuarshad8311 ok
Poleee brooo
Poleeee
Polee
Good broo
Maxhaallah
Maxhaallah
Nijaze subira mola wangu amini
❤kweli kabisa
Mm napenda uweke kwa ufupi
Maaaa Shaa Allah
Au lengo la shar
Mbn huandikii muhtasari
Hilinishairi ambalo aliye andika ni mwengine Mimi nimetia maghanitu sasa sisi washairi tuna mipaka ya uchambuzi kwani dhamira ya shairi hua no Mali ya mtunzi kama hajakupa ufafanuzi wadhamira take basi hatupaswi kumsemea kwaiyo nilichunga icho kipengele ndugu
Nimekipenda hili shair ingawa cjaona ndani😂
Hill sikuwekea ufafanuzi ila sababu ya shairi hili kuliandika chanzo in rafikiangu mmoja huku niliko baada kukataa kunisaidia ilhali yy hua ananihitaji kwenye mamboyake mengi mno
Hakika dada faa uo ndo ukweli
Pole sana ndokazi ya Allah kwake sotetutarejeya
Leo nimefurahi kuona kazi yako muda mkubwa SSA cjaona kazi yako
Asante nilikua masomoni ndio mana mlikua mnaniona Niko kimya
Poleni na msiba Allah amswameh makosa yake
Rafikiwakweli ni mamatu
Mbn ckuizi hatuoni kazi zako mpy
Pole xn xhivoooo
Maxhaallah brooo
Mashallah
Asalamu alykum warahmatullah wabarakatuh Vipi hali Mbn kimya kimekuwa kikubwa vip hatjazowea kimya Kam hichi
Subbhannah Allah 😢😥 imekufika ww au Subbhannah Allah pole Allah akufanyie wepec
Maaa Shaaa Allah umekuwa mshairi mzur na umekuri sana na mweled hadi uwe mshairi ndio uwone ndan Maaaa Shaaaa Allah nacc wengne etilisti utuwekee description box ndio tufunguke Asant kumbk kua naipend kazi yako👏
Asalamu alykum Nimepata kwambl ila ckujuwa hasa makusudio kiundan
Mashallah
Asante👏
Asante studio
Asant kwa kuzisapoti comment zetu allah akukuzie kipji chako 👏
Naipend kazi yako مشاءالله cwezi kuipita bure bure
Shukran Saba Allah akulipe kheri
Asante sannh shukurn ya napend ukiweka kam ivi japo utakuwa hufahu shairi zima ila unaungnish mwsh wa cku unapata chakutumia
Shukran sana kwa ushirikiano
Good writter mashallah Watch most of yor video bro
Thanks bro tuko pamoja
Napenda sann ukituwekea ufipish wa shair ktk discretion box asant kwa kuzisoma comment na kuzifanyia kazi👏
Tuko pamoja
Mashaallah
Asalamu alaykum Mbn ckuizi hutu weki hata leng la shairi katk discripsptios box jamn
Mbn hutuandikii muhtasar wa shairi uku kwny disprcsh box
Pol
Asante studio
Asante sana wadhaamin
Maa shaa Allah shair zur
Pole
Pol
Asanteni jamani
Pleni tena sana kwa mcba kiukwal msiba ni mkubwa plen sana subrah muhimu kaka
Mungu akubariki
Kweli kabisa
Asante kiongozi uko vzr Kwa kweli Allah akupe kipaji zaid