Nipe Tip
Nipe Tip
  • 66
  • 164 584
UNAWEZAJE KUBADILISHA MATUMIZI YA PLASTIC KUWA UMEME. MR DAUDI
NIPE TIP💡
Hili ndilo chimbo la wewe kuweza kupata madini kutoka kwa wataalamu na wabobezi wa maswala mbalimbali ya kimaisha. Na hapa unaweza kupata uzoefu,njia na mbinu za kutoboa kimaisha. Kupitia Tips mbalimbali.
USIKOSE KUTAZAMA NIPE TIP LEO HII Saa: 4:30 Asubuhi, 9:00 Jioni & 3:00 Usiku.
Ndani ya NIPE TIP Sasa tutakuwa na mbunifu wa kisayansi Daudi Zunda yeye anatupa Tips jinsi gani unaweza “ kutumia Plastic kuzalisha Nishati ya Umeme”.
Usikose kutazama kupitia runinga yako kuanzia saa nne na nusu, saa tisa kamili na saa tatu kamili usiku wiki hii nzima Clouds Tv 📺
Vile vile unaweza ingia TH-cam kwenye channel ya NIPE TIP ukapata uhondo huu wote.
@nipetip
@nipetip
มุมมอง: 170

วีดีโอ

TAMBUA NAMNA YA KUWA NA NGOZI BORA YENYE MVUTO. DOMESTICA SHAYO { DOCTA SKIN }
มุมมอง 213ปีที่แล้ว
TAMBUA NAMNA YA KUWA NA NGOZI BORA YENYE MVUTO. DOMESTICA SHAYO { DOCTA SKIN }
TAMBUA SABABU ZA MVURUGIKO WA HOMONI. DOCTOR BENNY KIMARO
มุมมอง 106ปีที่แล้ว
TAMBUA SABABU ZA MVURUGIKO WA HOMONI. DOCTOR BENNY KIMARO
Jifumze unawezaje kupiga hatua kiuchumi kutoka kiwango kimoja kwenda kiwango kingine.
มุมมอง 152ปีที่แล้ว
Jifumze unawezaje kupiga hatua kiuchumi kutoka kiwango kimoja kwenda kiwango kingine.
Jinsi gani jamii inaweza kulinda na kudhibiti uvunjwaji wa haki za Watoto. Irene Kitoti
มุมมอง 53ปีที่แล้ว
Jinsi gani jamii inaweza kulinda na kudhibiti uvunjwaji wa haki za Watoto. Irene Kitoti
Tambua njia rahisi na Nafuu kutoa risiti ki digitali kwa simu janja. Francis Priscus
มุมมอง 17ปีที่แล้ว
Tambua njia rahisi na Nafuu kutoa risiti ki digitali kwa simu janja. Francis Priscus
Sababu Zipi Upelekea Mwanamke Kuachwa Kwenye Mahusiano (Rose Shaboka)
มุมมอง 2.9Kปีที่แล้ว
Sababu Zipi Upelekea Mwanamke Kuachwa Kwenye Mahusiano (Rose Shaboka)
Unawezaje kuongeza thamani ya kipaji ulicho nacho. Coach Denis Gaudence
มุมมอง 72ปีที่แล้ว
Unawezaje kuongeza thamani ya kipaji ulicho nacho. Coach Denis Gaudence
Fahamu namna na njia zitazo kuwezesha kutimiza Malengo Yako. Joel Nanauka
มุมมอง 285ปีที่แล้ว
Fahamu namna na njia zitazo kuwezesha kutimiza Malengo Yako. Joel Nanauka
Fahamu Madhara ya viuatilifu (pesticides) katika mazingira tunayoishi.
มุมมอง 187ปีที่แล้ว
Fahamu Madhara ya viuatilifu (pesticides) katika mazingira tunayoishi.
Fahamu Sifa 3 za Mume & Mke bora ambaye unatakiwa kuwa naye Maishani.
มุมมอง 4.4Kปีที่แล้ว
NIPE TIP💡 Hili ndilo chimbo la wewe kuweza kupata madini kutoka kwa wataalamu na wabobezi wa maswala mbalimbali ya kimaisha. Na hapa unaweza kupata uzoefu,njia na mbinu za kutoboa kimaisha. Kupitia Tips mbalimbali. USIKOSE KUTAZAMA NIPE TIP LEO HII Saa: 4:30 Asubuhi, 9:00 Jioni & 3:00 Usiku. wiki hii tukiwa kwenye wiki Ndani ya NIPE TIP tutakuwa na Psychologist @sukambideo Yeye anatupa Tips za ...
Fahamu njia rahisi ya kupunguza mafuta mwilini na namna ya kuondoa kitambi.
มุมมอง 26Kปีที่แล้ว
Tunakukutanisha na Mtaalamu wa Mazoezi yeye anakupa Tips Bomba kabisa za namna rahisi ya kupunguza mafuta mwilini na njia za kuondoa kitambi kwa kufata taratibu za kit Aalsum kwa njia ya mazoezi.
Tambua Mambo Muhimu ya Kuzingatia Wakati wa Ujenzi wa Nyumba yako.
มุมมอง 2.3K2 ปีที่แล้ว
Zipi sababu nyingi za msingi ambazo zinakupasa kutambua kwa kina mambo ya Muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza ujenzi wa nyumba ya Makazi au jengo la biashara kwa kufata msingi na taratibu za wataalamu wa maswala ya ujenzi sasa msikilize Mtaalamu wa ujenzi upate kufahamu mambo hayo muhimu.
Tambua Maana Halisi Ya Kujipenda
มุมมอง 1492 ปีที่แล้ว
Hili ndilo chimbo la wewe kuweza kupata madini kutoka kwa wataalamu na wabobezi wa maswala mbalimbali ya kimaisha. Mtaalamu na mbobezi wa Afya ya akili na Saikolojia Mr Kalungu Yeye anatupa Tips za namna ya kutambua “Maana halisi ya kujipenda”
Tambua vitu vya msingi vya kuzingatia na kuvijua kabla kujiingiza kwenye mikopo au kukopa
มุมมอง 382 ปีที่แล้ว
Na haya ni mambo ya msingi na yakuyazingatia kabla ya kufanya maamuzi ya kujiingiza kwenye mikopo na kuanza kukopa
Tambua umuhimu wa kiongozi kuwa na Leadership connection / Networking
มุมมอง 332 ปีที่แล้ว
Tambua umuhimu wa kiongozi kuwa na Leadership connection / Networking
Ni Jinsi Gani Unaweza Kuanzisha Na Kumiliki Kiwanda Kidogo Kwenye Mazingira Yanayo Kuzunguka.
มุมมอง 1.4K2 ปีที่แล้ว
Ni Jinsi Gani Unaweza Kuanzisha Na Kumiliki Kiwanda Kidogo Kwenye Mazingira Yanayo Kuzunguka.
Fahamu biashara ya network marketing na namna ya kuchagua kampuni sahihi ya kufanya nayo kazi.
มุมมอง 1.2K2 ปีที่แล้ว
Fahamu biashara ya network marketing na namna ya kuchagua kampuni sahihi ya kufanya nayo kazi.
Fahamu njia za kuandaa hutuba na namna nzuri ya kuwasilisha mbele za watu.
มุมมอง 792 ปีที่แล้ว
Fahamu njia za kuandaa hutuba na namna nzuri ya kuwasilisha mbele za watu.
Jifunze namna nzuri ya kuwa na nidhamu ya fedha ili kufikia mafanikio
มุมมอง 9412 ปีที่แล้ว
Jifunze namna nzuri ya kuwa na nidhamu ya fedha ili kufikia mafanikio
Tambua vitu vya msingi vya kujua kabla ya kufikiria kuingia kwenye ndoa
มุมมอง 3232 ปีที่แล้ว
Tambua vitu vya msingi vya kujua kabla ya kufikiria kuingia kwenye ndoa
JINSI YA KUTAMBUA NA KUEPUKA UTAPELI KWENYE AJIRA/KUTAFUTA KAZI
มุมมอง 1212 ปีที่แล้ว
JINSI YA KUTAMBUA NA KUEPUKA UTAPELI KWENYE AJIRA/KUTAFUTA KAZI
“Jinsi ya kutambua Umuhimu wa kuwa na mfuko wa dharura.” Gasto Mtweve.
มุมมอง 1152 ปีที่แล้ว
“Jinsi ya kutambua Umuhimu wa kuwa na mfuko wa dharura.” Gasto Mtweve.
Tambua Kanuni Za Kutunza Fedha, Victor Mwambene
มุมมอง 1.9K2 ปีที่แล้ว
Tambua Kanuni Za Kutunza Fedha, Victor Mwambene
Mambo Gani Ya Kuzingatia Unapoamua Kuanza Kutumia Mitandao Ya Kijamii
มุมมอง 4922 ปีที่แล้ว
Mambo Gani Ya Kuzingatia Unapoamua Kuanza Kutumia Mitandao Ya Kijamii
Je? Unawezaje Kufuata Tabia Na Sifa Za Ndege Tai Ili Uweze Kufanikiwa MAISHANI
มุมมอง 6252 ปีที่แล้ว
Je? Unawezaje Kufuata Tabia Na Sifa Za Ndege Tai Ili Uweze Kufanikiwa MAISHANI
“Je? Ufanye nini, Au unaweza Kufanya Nini Ili Uweze Kuwa Mtu Wa Kuaminika”.
มุมมอง 1032 ปีที่แล้ว
“Je? Ufanye nini, Au unaweza Kufanya Nini Ili Uweze Kuwa Mtu Wa Kuaminika”.
Mr Kalungu “Jinsi Gani Unaweza Kuondokana Na Hali Ya Msongo Wa Mawazo”
มุมมอง 1422 ปีที่แล้ว
Mr Kalungu “Jinsi Gani Unaweza Kuondokana Na Hali Ya Msongo Wa Mawazo”
REUBEN “Umuhimu wa kujumuisha makundi maalumu ( walemavu ) katika shughuli mbalimbali za kijamii”.
มุมมอง 172 ปีที่แล้ว
REUBEN “Umuhimu wa kujumuisha makundi maalumu ( walemavu ) katika shughuli mbalimbali za kijamii”.
Unaweza Kutengeneza Kipato Kupitia Mitandao Ya Kijamii - Rodrick Nabe
มุมมอง 1712 ปีที่แล้ว
Unaweza Kutengeneza Kipato Kupitia Mitandao Ya Kijamii - Rodrick Nabe

ความคิดเห็น

  • @KundaeliJacobo
    @KundaeliJacobo 19 วันที่ผ่านมา

    Hooo nakuja mbio mbio

  • @KundaeliJacobo
    @KundaeliJacobo 19 วันที่ผ่านมา

    Nipe nafasi please,,, me mtundu kweli kweli

  • @CossanedaAssia
    @CossanedaAssia 24 วันที่ผ่านมา

    Sasa nakwamini saana dada asant

  • @ThobiasDidas-i9m
    @ThobiasDidas-i9m 24 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe san pastor roze

  • @HedielJohn-xo9ec
    @HedielJohn-xo9ec 28 วันที่ผ่านมา

    Sasa dah

  • @AngelMateo-w4l
    @AngelMateo-w4l 29 วันที่ผ่านมา

    Napenda sana kuigiza

  • @AngelMateo-w4l
    @AngelMateo-w4l 29 วันที่ผ่านมา

    Mimi nata nije kuwa hose girl wa Maria pindi akijifungua

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ หลายเดือนก่อน

    naomba sapoti dada

  • @ManyarboyManyarboy
    @ManyarboyManyarboy หลายเดือนก่อน

    Sw mdamu natamn san niwe msanii wako maan nina kipaj pia nakuomba utembeleee huku manyar hanag kua vipaj lakini sapota hakuna mdamu🙏🙏🙏

  • @RehemaSaid-l2z
    @RehemaSaid-l2z หลายเดือนก่อน

    Hlw

  • @UmojaAfrica-i4i
    @UmojaAfrica-i4i หลายเดือนก่อน

    Naomba namba

  • @DenisJafarani
    @DenisJafarani หลายเดือนก่อน

    Pastor Mimi niko na mwanamke wa aina hiyo anisumbw mpaka unatamni ujifiche chini ya ardi

  • @JamuriMwakitega
    @JamuriMwakitega หลายเดือนก่อน

    Mje siku moja kutufanyia interviu arusha

  • @FreddyRahayiroi
    @FreddyRahayiroi 2 หลายเดือนก่อน

    Asanti mtumishi Mimi nilimwacha sababu hiyo yakwanza umesema niliowa mwanaume si mwanamke

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa

  • @FaustineMurimi
    @FaustineMurimi 2 หลายเดือนก่อน

    Asante mama kwa mshauri yenye busara

  • @husnahjumanne5166
    @husnahjumanne5166 2 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana kuigiza toka moyo na nikipaji changu pia nichueni basi

  • @Jaythan68
    @Jaythan68 2 หลายเดือนก่อน

    Natamani kuwa msherwheshaji nifuate njia gani

  • @AnnaFrank-e5i
    @AnnaFrank-e5i 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani nimeipenda sana naomba sana Dada angu unisaidie na mimi kufikia ndoto zangu napenda Sana kuwa muigizaji mzuri Kama wengine.

  • @alice-h1o6s
    @alice-h1o6s 2 หลายเดือนก่อน

    Mm napenda ka kipaj ninacho

  • @SimoniMwahalende
    @SimoniMwahalende 2 หลายเดือนก่อน

    Nice brother

  • @mohammedanzuruni1443
    @mohammedanzuruni1443 3 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @thomasissackmungure3709
    @thomasissackmungure3709 3 หลายเดือนก่อน

    Asante mamy Mimi Ni Veronika James nyanga Nina kipaji cha uigizaja nime bahatika kushiliki Katika move kadhaa Ila Bado Nina kiukweli ya kusonga mbele kisanaa Sasa nauliza je Haina hata dalasa la watu kuendeleza kipaji au kukuza uwezo wao ? Kama lipo naomba msaada WA kuingia hata kama picha pesa Nita pambana lakini siovizuri hivyo tu mamy hata Kama kuna utaratibu WA mtu kulimwa uwezo alio nao basi Mimi nipo tayari kuonyesha kipaji changu ili ukini ridhia nipate japo nafasi ya kutumika Katika utayo niamuru kufanya kwenye kazi zako. Asante mamy natumai tuta onana siku Moja dadaangu Niku takie majjkumu mema Katika Ku angazia vipaji vya watanzania wenzako mungu akumbuke kwa haya unayo yafanyayo amen

  • @FatumaShabani-r6k
    @FatumaShabani-r6k 3 หลายเดือนก่อน

    Thanks

  • @beatriceresiato3308
    @beatriceresiato3308 4 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @Kariorachungu
    @Kariorachungu 4 หลายเดือนก่อน

    Mm nimezunguka San kuigiza najuwa san

  • @Kariorachungu
    @Kariorachungu 4 หลายเดือนก่อน

    Mamb

  • @henryleonard9912
    @henryleonard9912 4 หลายเดือนก่อน

    Unapokea mshahara tu mwisho wa mwezi mpaka mwisho unafanyaje hpo bro

  • @henryleonard9912
    @henryleonard9912 4 หลายเดือนก่อน

    Nakuerewa sana bro

  • @uwesusaid5334
    @uwesusaid5334 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @AwitiFrank
    @AwitiFrank 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani naomba sana dada angu mm pia naenda sana kuigiza Iko moyoni na ninakipaji hicho naomba unisaidie

  • @Sabinasinoya
    @Sabinasinoya 5 หลายเดือนก่อน

    Asante bro

  • @Onefamily10
    @Onefamily10 5 หลายเดือนก่อน

    Mm napenda sn kuigz n nimeanz kufatilia Sanaa tok 2009 ninamiak 8 mpk Leo py nnakipaji Ila jijapat wa kununua Zaid y kudharauliwa t n hii ndo chanal yang

  • @BigboyGomez
    @BigboyGomez 5 หลายเดือนก่อน

    Je nina weza kupa mafuzo

  • @BigboyGomez
    @BigboyGomez 5 หลายเดือนก่อน

    Hi

  • @stevendavid8054
    @stevendavid8054 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona unawahubiri wanawake tu,usemei na upande wawanaume,

  • @SylvestaLukonde
    @SylvestaLukonde 5 หลายเดือนก่อน

    Asante pasta

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sn maana mtu unafanya mazowezi lkn mwili utapungua ila tumbo sasa ni mtihani

  • @raphaelzacharia98
    @raphaelzacharia98 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona unazungumzia kupunguza kitambi2 na sio kukiondoa kabisa😅

    • @rahimahamadi8691
      @rahimahamadi8691 5 หลายเดือนก่อน

      Nimecheka 😂😂😂😂

  • @enockmanyangu1459
    @enockmanyangu1459 6 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana Dada ramata nimekuelewa vizur ederea kutupa darasa tuelewe zaidi

  • @hellenbayanga9511
    @hellenbayanga9511 6 หลายเดือนก่อน

    Napenda Sana kuigiza lakini sijui wapi nikaigizie

  • @MaureenTrivia
    @MaureenTrivia 7 หลายเดือนก่อน

    Nisaidie

  • @ADAMKADIBUKA
    @ADAMKADIBUKA 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe ulianza na mtaji gan

  • @akidajulius1581
    @akidajulius1581 7 หลายเดือนก่อน

    Da aliye kuoa wewe amepata mke,jaman,

  • @PatricalBeti
    @PatricalBeti 7 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwenye kulala usiku wa manane 🙌🙌Wengi wao tulio Gulf hatupati usingizi wengi wao tunalala Hadi saa 8Usiku Hadi saa9 Hapo je?

  • @iriskasuvu6351
    @iriskasuvu6351 8 หลายเดือนก่อน

    may God bless you you always touch my heart ❤️❤️

  • @meshackngadango6855
    @meshackngadango6855 8 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri.mm pia Napenda kuingiza pesa kupitia mitandao ya kijamii naomba tufanye kazi na wewe kwenye hiyo Affiliate approach

  • @gidionmwasenga
    @gidionmwasenga 8 หลายเดือนก่อน

    Napenda kuigiza nixaidieni

  • @gidionmwasenga
    @gidionmwasenga 8 หลายเดือนก่อน

    Namba dada

  • @MsNajma-e6e
    @MsNajma-e6e 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera my sweet kaz nzuri unafanya me muigizaji na napenda in Sha Allah Allah akibariki nitatimiza ndoto yangu