- 9
- 1 812
Ezra Solomon Mbagata
เข้าร่วมเมื่อ 27 พ.ค. 2015
KWA MSAADA WA MUNGU = EZRA SOLOMON
Hatimaye ile video ya mwaka imetoka sasa kuwa wa kwanza kutazama wimbo huu ukiamini kuwa KWA MSAADA WA MUNGU utatenda mambo makuu kwa mwaka huu.
SUBSCRIBE, SHARE, LIKE na COMMENT katika channel yangu hii kazi ya MUNGU iende mbele.
Mawasiliano +255 752 492 546
SUBSCRIBE, SHARE, LIKE na COMMENT katika channel yangu hii kazi ya MUNGU iende mbele.
Mawasiliano +255 752 492 546
มุมมอง: 46
วีดีโอ
MWAKA WANGU = EZRA SOLOMON
มุมมอง 48019 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Video ya wimbo uliosubiriwa kwa hamu sana sasa iko tayari. Huu ni wimbo ambao umewabariki na kuwavusha watu wengi katika nyakati ngumu. Karibu uweze kutazama na kusikiliza wimbo huu nikiamini utakwenda kuinuliwa kabla ya mwaka huu kuisha sawa sawa na wimbo wenyewe HUU NI MWAKA WANGU. Karibu sana na MUNGU akubariki naomba SUBSCRIBE, LIKE, SHARE na COMMENT katika account yangu hii. Kwa mawasilian...
SOMO: KUINULIWA By Mch. Solomon Mbagata
มุมมอง 66ปีที่แล้ว
Mchungaji Solomon Mbagata ni mchungaji wa kanisa la Injili Afrika Uzunguni mjini Tabora. karibu sana kanisa lipo jirani na malolo hospitali
KUFUTA_MIHURI_NA_CHAPA_-_EZRA_SOLOMON
มุมมอง 74ปีที่แล้ว
Karibu napatikana Tabora mjini 0752492546 0712523757
Chekecheo_Neema Gospel Singer_Africa Gospel Church Tabora
มุมมอง 101ปีที่แล้ว
Chekecheo_Neema Gospel Singer_Africa Gospel Church Tabora
Yesu katufuka_Nuru Gospel Choir_ft_Ezra Solomon
มุมมอง 28ปีที่แล้ว
Wimbo wa pasaka wa mwaka ukisikia utapenda
Wewe_ni_Mwema - Ezra Solomon
มุมมอง 4793 ปีที่แล้ว
Karibu tumsifu Mungu pamoja katika kanisa letu la Injili Afrika (T) uzunguni hapa Tabora mjini.
nice one🎉🎉🎉
Hongera brother your future will be bright
@@LucasGwaltu-l8i thank you brother as you pray for me I'll reach where I'm heading
Ama hakika wimbo huu mzuri❤
@@nicholausmassine1870 asante sana
Blessed my yng b
Barikiwa kijana wa upako
@@SadikiJustin-q4f Asante sana kiongozi
Mungu akuinue zaid na zaidi
@@HajraatRajabu Amina rafiki yangu
Keep it up 🙏🙏
@@sophiamagazi 🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana
@@pauljoel Amina ubarikiwe zaidi mtumishi wa Mungu
Hongera .. mungu azidi kukuinua Zaidi na zaidi
@@FarajaAlex-d8s Amina ubarikiwe sana rafiki yangu
Wimbo mzurii ,unaujumbe mzurii keep pushing
Thanks my friend let's pray for each other
Barikiwa Sana
Hongera sana brother wangu Mungu akushike na mkono wake wa kuume kusudi upate wema wake siku zote amen
Kazi njema Bro👍👍
Amina..Yesu Yu mwema kweli.....be blessed my brother ...more grace in abudant
Hongera sana kaka
Hongera sana kaka Ezra Mungu azidi kukuinua katika viwango vya juu zaidi
KAZI NZURI
Hongera DOGO
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wimbo Mzuri Kaka Mungu akuinue🙌🙌
Nashukuru sana kaka kwa mchango wako wa kunipigia guitar
Kazi nzuri sana endelea kukaza buti hakika mungu atakuinua zaidi
Dacord
Hakika Yesu ni Mwema maishani mwetu. Barikiwa sana brother!
Hongera sana
Nice song my brother keep it, God is around
HONGERA SANA UTAFIKA MBALI SANA, USIKATE TAMAA
Nashukuru sana baba, kwa neema ya Mungu tutatenda makubwa
Hongera sana mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kukupaka mafuta matakatifu ya utumishi uliotukuka.
Hakika kaka tuzidi kuombeana ili tuweze kuugusa moyo wa Mungu
Amen sana
Amina Mungu ni mwema
Mungu mwema
Hakika kiongozi wangu
Powerful man of God more grace
Be blessed mkaka
Barikiwa sanaa
Hongera sana mtumishi
Amina nashukuru sana