- 8
- 1 417
ITEDU SERVICE
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 16 ส.ค. 2019
Here you will learn and get knowledge about Information and Technology and EDUCATION based on science and technology skill.
Excel Formulas: Product & Average Made Easy @iteduservice7555 @INFOTECHINDIA
Jifunze jinsi ya kutumia formula za Product na Average kwenye Excel kwa urahisi! Video hii itakusaidia kuelewa hatua kwa hatua jinsi ya kufanya mahesabu sahihi na kuongeza ufanisi wa kazi zako za Excel. Usikose vidokezo muhimu kwa wanaoanza na wenye uzoefu!
มุมมอง: 22
วีดีโอ
INTRODUCTION TO EXCEL: Jinsi ya Kutumia SUM Formula kwa Urahisi!
มุมมอง 69หลายเดือนก่อน
Karibu kwenye video hii ya mafunzo ya Excel! Katika video hii, utaelewa kwa urahisi jinsi ya kutumia formula ya SUM kwenye Excel ili kuongeza namba kwa haraka na kwa usahihi. Tutakusaidia kuelewa hatua kwa hatua jinsi ya kutumia SUM kwa majedwali madogo na makubwa, mbinu za kuongeza safu na nguzo, na vidokezo vya kuokoa muda. Ikiwa unataka kuwa mtaalamu wa Excel, video hii ni kwa ajili yako! Ha...
INTRODUCTION TO EXCEL(LESSON 1). @iteduservice7555 @INFOTECHINDIA @dbtechsolutions.3798
มุมมอง 51หลายเดือนก่อน
Karibu kwenye video hii ya utangulizi wa Microsoft Excel! 🚀 Hapa utajifunza misingi ya Excel, kutoka jinsi ya kufungua programu hadi kuelewa mazingira yake ya kazi. Kama wewe ni mwanzilishi au unataka kuboresha ujuzi wako, video hii ni hatua ya kwanza kuelekea kuwa mtaalamu wa Excel. Tutaangazia: ✔ Muonekano wa Excel (interface) ✔ Namna ya kuunda faili mpya ✔ Kuhifadhi kazi zako kwa usalama ✔ V...
MFUMO WA MALIPO SHULENI KWA KUTUMIA EXCEL| SCHOOL PAYMENTS MANAGEMENT SYSTEM
มุมมอง 1478 หลายเดือนก่อน
katika video hii utajifunza jinsi ya kutumia mfumo wa malipoya Ada katika shule za kwa kutumia excel. Mfumo huu unatunza kumbukumbu za malipo na inatoa report. kuuupata nitafute kupitia 255767129187
TUMIA SIMU YA ANDROID KUTENGENEZA ZAMU MASHULENI.(USE PHONE TO GENERATE ROSTER TIMETABLE)
มุมมอง 42ปีที่แล้ว
karibu utazame video hii ili uweze kufahamu jinsi ya kutumia simu aina ya kishikwambi Kutengeneza zamu ya usimamizi Mashuleni. Ndugu watazamaji na wapenzi wa channnel yangu @itedu service nawakalibisha muweze kunifutria na kujifunza mengi yanayotokana na mabadiliko ya science na technologia. kwa changamoto yoyote inayohusiana na masuala ya mifumo ya taaluma na INFORMATION AND TECHNOLOGY (IT).Wa...
MFUMO WA ZAMU YA USIMAMIZI KWA WALIMU/ TIMETABLE FOR TEACHER ON DUTY BY USING EXCEL
มุมมอง 173ปีที่แล้ว
Video hii inaonesha mfumo wa kutengeneza ratiba ya usimamizi kwa walimu wa shule zote za secondary na primary. ili uweze kuutumi unatakiwa uwe na computer au simu janja. jinsi ya kupata wasiliana nasi kupitia 0767129287 how to preoare school system by using excel, how to prepare scheme of work for teaching, how to create lesson plans for middle school, how to create lesson plans for elementary,...
JINSI YA KUTENGENEZA VYETI KWA KUTUMIA PUBLISHER NA EXCEL PART TWO
มุมมอง 339ปีที่แล้ว
Publisher na excel ni mojawapo ya microsoft offices zinazoweza kutengeneza vitu mbalmbali mbali. hii vuideo inafundisha zaidi jinsi ya kutengeneza vyeti kwa kutumia publisher na excel. #information #design #publisher #microsoft office # poster #vyeti
JINSI YA KUTENGENEZA VYETI VINGI KWA KUTUMIA PUBLISHER NA EXCEL PART 1
มุมมอง 578ปีที่แล้ว
BEST, SIMPLE AND EASY METHOD IN DESIGNING CERTIFICATE WITH PUBLISHER AND EXCEL Video hii inafundisha jinsi ya kutengeneza vyeti vingi kwa kutumia publisher na excel.
Mwanzo kabisa nikama kuna formula umezitengeneza hujaonyesha. Hivyo ni ngumu kuelewa. Mwl. ungeanzia mwanzo wakati unandaa hizo formula
Ok, Asante sana kwa comment yako, endelea kunifuatria nyakuja kuappload video nyingne,
Mfumo mkali kijana wangu umeiva! Hope utafika mbali ni vitu vikali vinakuja!! God bless you 🙏
Asante sana kiongoz wangu
Hongera sana sir Adelinus Archard
Sawa uwanja wako huo
Hongera Mungu Azidi kukupigania
Mayo