Taufiq  Nasheed
Taufiq  Nasheed
  • 6
  • 725 566
Jabal Hira & Abdillah - Utafiti (Tizama hawa watoto waimbavyo, utapenda sana)
Jabal Hira wakiongozwa na mwalimu wao Soudkhafa wakishirikiana na Mtoto Abdillah waimba Nasheed ya Utafiti wa Adabu na Heshima.
Video hii ni ya siku ya Tamasha la Faraja na Tunu ya Abdillah lililofanyika siku ya tarehe 26/09/2021.
#jabalhira #jabalhiranasheed #abdillah #abdillahnasheed #soudkhafa #soudkhafanasheed #nasheed #islamic #islamicsongs
มุมมอง: 101 718

วีดีโอ

Abdillah Udhalilishaji Nasheed, ulemavu wake wa macho haujawa kikwazo kufikisha ujumbe kwa jamii.
มุมมอง 44K3 ปีที่แล้ว
Abdillah ni Mtoto mwenye ulemavu wa macho, lakini amebarikiwa sauti nzuri kutoka kwa Allah Mtukufu. Hivyo Abdillah ameamua kutumia kipaji chake katika Tasnia ya Nasheed na kufikisha ujumbe mbali mbali kwa jamii. Hii ni Nasheed inayopinga udhalilishaji kutoka kwake aliyoimba siku ya Tamasha lake lilofanyika tarehe 26/09/2021 Amani Judo Zanzibar. Video/Camera by: Mo Visual 📞 25577408104 #abdillah...
Abdillah (Mtoto Mwenye Ulemavu wa Macho), Sio Mtoto wa kawaida. Msikilize akijielezea.
มุมมอง 11K3 ปีที่แล้ว
Mtoto Abdillah ambae ni Mlemavu wa Macho amewashangaza watu wengi kwa maneno aliyo ongea kuhusu chanzo cha ujio wake katika Nasheed. Soudkhafa ambae ndie Mwalimu wake anaemfundisha Nasheed ashindwa kumuelezea na ikabidi aende mwenyewe kujieleza. Sikiliza maneno yake yaliyo onesha kupevuka tofauti na umri wake. Maneno hayo ameyazungumza siku ya Tamasha la Faraja na Tunu ya Abdlillah lililofanyik...
Unaweza ukalia - Nasheed ya Abdillah, Kwa hali tuliyonayo (Inasikitisha sana)
มุมมอง 97K3 ปีที่แล้ว
Kwa hali tuliyonayo ni miongoni mwa nasheed iliyoimbwa katika tamasha la Faraja na Tunu ya Abdillah. Nasheed hii inatufunza kutoa katika mambo ya kheri na kusaidia wanaohitaji. #nasheed #abdillah #taufiqnashhed #soudkhafa #zanzibar
Abdillah, Jabal Hira & Soudkhafa - Maudhi Mwanifanyia (HD - Tamasha Nasheed Video)
มุมมอง 465K3 ปีที่แล้ว
Hii ni Nasheed iliyosomwa na Kijana Abdillah pamoja na Jabal Hira wakiongozwa na Mwalimu wao Soudkhafa. Nasheed hii imesomwa katika Tamasha linalojulikana kwa jina la Faraja na Tunu ya Abdillah, ambalo limeandaliwa na Taufiq Nasheed Foundation kwa ajili ya ujio Rasmi wa mtoto Abdillah (Mlemavu wa macho) katika tasnia ya Nasheed. Video hii imerikodiwa na kutengenezwa na: Mo Visual 📞 255 774 088 ...
Abdillah (Mtoto mwenye ulemavu wa macho) live aki-perform katika Nasheed aloyoimba na Jabal hira.
มุมมอง 7K3 ปีที่แล้ว
Abdillah (Mtoto mwenye ulemavu wa macho) live aki-perform sehemu ya kipande chake katika Nasheed aloyoimba na Jabal hira.. katika Tamasha la Faraja na Tunu ya Abdlillah, lililofanyika siku ya tar 26/09/2021 katika ukumbi wa Amani Judo.. Fuatilia (follow) account hii @taufiqnasheed katika instagram kuweza kupata updates na videos mbalimbali za Nasheed na matamasha.. #farajanatunuyaabdillah #tauf...

ความคิดเห็น

  • @AishaAishayahaya-e3w
    @AishaAishayahaya-e3w 20 วันที่ผ่านมา

    Mashallah mashallah

  • @MahadMardhiyyah
    @MahadMardhiyyah 23 วันที่ผ่านมา

  • @ESTHERANDREW-m8v
    @ESTHERANDREW-m8v หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @yussufsalim3650
    @yussufsalim3650 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤mashaallah mung awajaaliy mafanikio mema inshaallah 3:18

  • @MarymGomah
    @MarymGomah หลายเดือนก่อน

    Nimefrahi sana kazi nzuri mashallah 🤲🏼

  • @Mati-d1z
    @Mati-d1z หลายเดือนก่อน

    Mashallah❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @RukiaAbdi-i3v
    @RukiaAbdi-i3v 2 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah ❤❤❤

  • @IsmailAli-j8l
    @IsmailAli-j8l 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ❤🎉

  • @RAHIMANYANDU
    @RAHIMANYANDU 2 หลายเดือนก่อน

    mung awabrki💓💓💓💓💓

  • @ShamsaSalmer
    @ShamsaSalmer 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah hii qaswida hazipiti siku mbili mpka niisikilize am niangalie video yake Allah awapee kila la kheri ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @faraj6700
    @faraj6700 3 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @AbubakariRashidi-nk8yk
    @AbubakariRashidi-nk8yk 5 หลายเดือนก่อน

    Naipenda sana❤❤❤❤

  • @RamadhaniPoloto
    @RamadhaniPoloto 5 หลายเดือนก่อน

    Qadilia

  • @AbubakariRashidi-nk8yk
    @AbubakariRashidi-nk8yk 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaalahnzuuri san❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AbubakariRashidi-nk8yk
    @AbubakariRashidi-nk8yk 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaalah nzuri sana

  • @salmesalma7374
    @salmesalma7374 7 หลายเดือนก่อน

    Maxaallah mungu awazidishie hicho kipaji na wasikiache daima

  • @Mebanihan
    @Mebanihan 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Abdallah ❤

  • @talibsaid3637
    @talibsaid3637 8 หลายเดือนก่อน

    Hii nasheed imenivutia sana kwasababu nikweli mtupu uliwoongelewa hapa

  • @MwanaishaYahaya
    @MwanaishaYahaya 8 หลายเดือนก่อน

    daaah n nomaah,, Mashallah ❤❤❤

  • @IjaboGedi
    @IjaboGedi 8 หลายเดือนก่อน

    M. A❤❤❤❤❤

  • @TausiSalumu-uz4yn
    @TausiSalumu-uz4yn 9 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah❤

  • @SadaJaku
    @SadaJaku 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ❤

  • @ZabibuMubarack
    @ZabibuMubarack 9 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @ZanifaIssa
    @ZanifaIssa 9 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah❤

  • @HamadAli-r2u
    @HamadAli-r2u 9 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mhhh allah akulinde n kila shar n hasd ktk hii dunia .... amiiiiin inshaallahu 💞 nakupenda sanaaaaaa aaaaaaaaa mdgo wgu allah akuongoze ktk kil jamb leny kheir ktk hii dunia amiiiiin ya rabbal allamiin

  • @RoseAnthony-v5g
    @RoseAnthony-v5g 10 หลายเดือนก่อน

    Wallah sihishiwiiii hamuuuu Allah awaongozeeeee katika swiratal al mustakim

    • @OfficialTaufiqNasheed
      @OfficialTaufiqNasheed 10 หลายเดือนก่อน

      Amin

    • @allahmamana
      @allahmamana 8 หลายเดือนก่อน

      Hakika nimzur Kama ww

    • @allahmamana
      @allahmamana 8 หลายเดือนก่อน

      Na ww nakupend kwaajiliya mola

  • @RoseAnthony-v5g
    @RoseAnthony-v5g 10 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SamirHassan-v4n
    @SamirHassan-v4n 11 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @mariamagenda149
    @mariamagenda149 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @FatmaKhamis-fl5kz
    @FatmaKhamis-fl5kz ปีที่แล้ว

    Masha Allah Mungu akupe moyo wasubira zaidi

  • @selmekhamis-t4v
    @selmekhamis-t4v ปีที่แล้ว

    mashaallah

  • @Hija-i4l
    @Hija-i4l ปีที่แล้ว

    Watton waendelee kuifunza jamii

  • @Sul_tana
    @Sul_tana ปีที่แล้ว

    Mashaallah 😊❤

  • @ibra.mstudingfile8584
    @ibra.mstudingfile8584 ปีที่แล้ว

    So sad kumb huy kijan haoni machoz yatk kutok

  • @KhadijaFauz-tq2tz
    @KhadijaFauz-tq2tz ปีที่แล้ว

    Good job jabal khiraa

  • @KhadijaFauz-tq2tz
    @KhadijaFauz-tq2tz ปีที่แล้ว

    Mashaallah mtoto abdillah

  • @KhadijaFauz-tq2tz
    @KhadijaFauz-tq2tz ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @salumsaid8515
    @salumsaid8515 ปีที่แล้ว

    Allah awabariki sana

  • @MwajumaKhalfani-jn5sz
    @MwajumaKhalfani-jn5sz ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @radhiamohaa3723
    @radhiamohaa3723 ปีที่แล้ว

    MashaAllah 💕❤❤

  • @MejumaaTsuma-w3k
    @MejumaaTsuma-w3k ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @LAILAPazi-iw8zc
    @LAILAPazi-iw8zc ปีที่แล้ว

    Abdillah mashallah mungu akusaidie akupe mwisho mwema

  • @mealiipafu-wg7dx
    @mealiipafu-wg7dx ปีที่แล้ว

    MashaAllah tabarakallah ❤

  • @saadabakar
    @saadabakar ปีที่แล้ว

    Mashallah❤

  • @HwaUshy
    @HwaUshy ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @saumsalim-t5d
    @saumsalim-t5d ปีที่แล้ว

    mashaallaah allah akulipe yaheri mie natokea manyara nawapenda kwaajili ya allah

  • @LazarousMwery
    @LazarousMwery ปีที่แล้ว

    Mungu aku linde Mdog wangu moyo wani uma Niki onapo

  • @AshaTwaha-bq4gd
    @AshaTwaha-bq4gd ปีที่แล้ว

    Mashallh Allah akulipe mema ndugu yngu nakupenda kweli

  • @AishaShaban-f5m
    @AishaShaban-f5m ปีที่แล้ว

    Allah bless him ❤😂

  • @FatmaKachoko-sl2yb
    @FatmaKachoko-sl2yb ปีที่แล้ว

    Biggish uv disturb griddle na na hahahahahahahaha yamenicharukia swim exhibition executing i essentially exempt explosiveness