- 52
- 20 651
ULAA TV
เข้าร่วมเมื่อ 16 ก.พ. 2021
TWAYYIBUL ASMAAI, KATIKA UFUNGUZI WA MASJID MUZDALIFAH, PONGWE SANAWARI
TWAYYIBUL ASMAAI, KATIKA UFUNGUZI WA MASJID MUZDALIFAH, PONGWE SANAWARI
มุมมอง: 233
วีดีโอ
JAMADA MWANA WA KASIM MAFUTA AUMBULIWA NA IMAMU ASSIJZIYY..UST MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
มุมมอง 1.1K2 หลายเดือนก่อน
#raddi #wahabi #kasimu mafuta #Allah hana mahali #Mwenyezimungu #Jamada #pongwe #ust Mohammedi mzee
JAMADA ALLAH ALIKUWA WAPI KABLA YA KUUMBA SEHEMU ? UST MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
มุมมอง 2.2K3 หลายเดือนก่อน
JAMADA ALLAH ALIKUWA WAPI KABLA YA KUUMBA SEHEMU ? UST MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
UNAKILI MBAYA WA JAMADA MWANA KASIM MAFUTA.. UST MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
มุมมอง 2.8K3 หลายเดือนก่อน
UNAKILI MBAYA WA JAMADA MWANA KASIM MAFUTA.. UST MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
SWALA NI KWA WAKATI.. UST MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
มุมมอง 824 หลายเดือนก่อน
SWALA NI KWA WAKATI.. UST MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
AQIIQAH KWA KIPOMOKO..UST MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
มุมมอง 4114 หลายเดือนก่อน
AQIIQAH KWA KIPOMOKO..UST MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
MAWAHABI HUFUATA SUUDIA NA SIO KIMATAIFA
มุมมอง 2437 หลายเดือนก่อน
MAWAHABI HUFUATA SUUDIA NA SIO KIMATAIFA
Kwani Masalafi waliufuata vipi mwezi muandamo ? Ust Mohamed Mzee Assuwfiyy
มุมมอง 2738 หลายเดือนก่อน
Kwani Masalafi waliufuata vipi mwezi muandamo ? Ust Mohamed Mzee Assuwfiyy
Dhikri Zawiyani Majani Mapana kwa Khalifa Swalehe
มุมมอง 8649 หลายเดือนก่อน
Dhikri Zawiyani Majani Mapana kwa Khalifa Swalehe
SALAFI HOVYOHOVYO NI WENDA KINYUME NA SALAFUL UMMAH ( HAKIKA ). UST MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
มุมมอง 2999 หลายเดือนก่อน
SALAFI HOVYOHOVYO NI WENDA KINYUME NA SALAFUL UMMAH ( HAKIKA ). UST MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
ALLAH YUPO BILA MAHALA .. HII NDIO ITIQADI SAHIHI... UST MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
มุมมอง 1.1K9 หลายเดือนก่อน
ALLAH YUPO BILA MAHALA .. HII NDIO ITIQADI SAHIHI... UST MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
USALAFI WA HOVYOHOVYO NI TATIZO SANA ... USTADH MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
มุมมอง 5389 หลายเดือนก่อน
USALAFI WA HOVYOHOVYO NI TATIZO SANA ... USTADH MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
KUJIITA SALAFI SIO KWAMBA NDIO USALAFI WENYEWE..UST MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
มุมมอง 61110 หลายเดือนก่อน
KUJIITA SALAFI SIO KWAMBA NDIO USALAFI WENYEWE..UST MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
UFAHAMU MBOVU WA HAWA SALAFI WA HOVYOHOVYO..USTADH MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
มุมมอง 1.4K10 หลายเดือนก่อน
UFAHAMU MBOVU WA HAWA SALAFI WA HOVYOHOVYO..USTADH MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
SOMO LA TALAQA ..USTADH MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
มุมมอง 9610 หลายเดือนก่อน
SOMO LA TALAQA ..USTADH MOHAMED MZEE ASSUWFIYY
MAANA YA سن NI KUANZISHA NA SIO KUHUWISHA. USTADH MOHAMED MZEE
มุมมอง 27410 หลายเดือนก่อน
MAANA YA سن NI KUANZISHA NA SIO KUHUWISHA. USTADH MOHAMED MZEE
USTADH ABALFADHL AKITUBURUDISHA KWA KUPIGA TARI KATIKA HAFLA YA MARKAZ ALFALLAAH AL ISLAAMIYY TANGA
มุมมอง 32610 หลายเดือนก่อน
USTADH ABALFADHL AKITUBURUDISHA KWA KUPIGA TARI KATIKA HAFLA YA MARKAZ ALFALLAAH AL ISLAAMIYY TANGA
KUJUZU KUOLEWA MWANAMKE MWENYE MIMBA ITOKANAYO NA ZINAA
มุมมอง 17710 หลายเดือนก่อน
KUJUZU KUOLEWA MWANAMKE MWENYE MIMBA ITOKANAYO NA ZINAA
MAULID YA NOORIL ULAA PONGWE KATI .. 2024 MAULID YATAZIDI KUZIDI NA NYUMA HAYATORUDI WALLAH
มุมมอง 38411 หลายเดือนก่อน
MAULID YA NOORIL ULAA PONGWE KATI .. 2024 MAULID YATAZIDI KUZIDI NA NYUMA HAYATORUDI WALLAH
جزاك الله خيرا
Wazushi awanaga dalili wao itikadi yao wanalitazama jambo wakiona haliwaingii akilini wanalipinga hataukikija dalili ndo sifa za watu wa bidaa hawataki dalili wao akili inatosha kuwa dalili,inamana kawashinda hata yule kijakazi wa mtime alipomuuliza aina llah yupo wapi allah akamjibu kwa kuashiria Allah yupp mbinguni na mimi ni nani mtume wa allah, kisha kisha mtume akawaamrisha wamuache huru,, Sasa shida kwa mubtadii,, mpk sifa za allah mnazipinga,, mutume wote walotumwa waliashiria allh yupo mbinguni ninyi mabwana itikadi zenu hizo Allah hayupo mahali popote mtihani kweli😂😂😂

Ndugu yangu Nikuhusie wewe Akida bado hujailewa, ukikataa Allaah hayuko juu maanayake 1 -unakataa qur -an haijateremshwa kutoka kwa Allah نزل به الروح الأمين +تنزيل من رب العالمين kwa ufahamu wako kinacho shuka huwa kinatoka chini? 2 -حديث الله كتب كتاب فهو عنده فوق العرش ،صحيح مسلم ukiwa hujui lugha fundishwa عند ni ظرف مكان maana yake kitabu kiko kwa ALLAAH JUU YA GHARSH 3-تعرج الملائكة والروح إليه hujui maana ya تعرج nikupaa au kupanda kuelekea juu, inawezekana hujui hata miraaji wanayo iadhimisha masufi kila mwaka,PIA HUJUI maana ya neno إليه kwenye Aya MCHE ALLAAH USITUMIE AKILI YAKO KATIKA SIFA ZA ALLAAH NA MAJINA YA KE WALIYAELEWA MASWAHABA KABLA YAKO.
Hadithi inayoisema kua haja kubwa ya mtume au ndogo inamezwa na ardhi ni maudhuu yani ya kutungwa ya urongo ebu pitia vizuri vitabu kabla hajasema ili usije ukapowapotosha watu
Sheikh usichoke kuweka haki wazi
Nakupenda kwa ajili ya Allah
Sheikh nakufuatilia sanah
Wewe unasema urongo ngoja nikusaidie kidogo ebu kasome sharhi muslim ya imamu annawawi hadithi zote zinazozungumzia Allah kushuka au kucheka au au au imamu annawawi anatafsiri vipi pili soma kitabu kinaitwa الجواهر الكلامية naimani utajifinza kitu nisikupe vingi na hao watunzi ni maimu munaowakubali soma kwa umakini lakini
Wapo masufi wasomi na wajuzi wa jambo la ilimu, huyu sjui ametoka wapi? Bila shaka makosa yake masheikh zake wanaumia kuyaskia na ujasiri wake huu ktk ujinga
Wewe nijaaahili murakkabu...ukisema ni faukiyaa ya kicheo huku wasema bilaal qayfiyyat!!!!! Huoni wajichnaganya!!!!!? Allah faukal,arshi bilaal qayfiyy,
Tanga
Alhamdulillahi msitu wa vibwengo tumeuchoma moto . Ninapenda sana kusikiliza hii video ya Ayubu kibwengo namna alivyokuwa akijifaragua leo kakimbia hadi viatu kavisahau hahahaha alhamdulillahi
Jitahidini Kwanza ule msikiti usimamishwe swala tano kw kudumu Tena ,ndio ueendelee na mambo ya kujadiliana na akhl sunna
BWANA AYUBUUU MBONA POVU LIMEKATIKA ?! BADALA YA KUMTAFUNA BWANA JAMADA UMEJITAFUNA MWENYEWE NA BADO UTAJITAFUNA SANA MPK UISHE , NA UTAJITAFUNA KILA IDARA أيها الضال المبتدع
SASAHIVI UMEBAKI NA KUTAHAYARI NDANI YA MJI WAKO HUOHUO ULIOKUWA UNAJIFAKHARISHA NAO KUWA NI MZAWA , HAYA UWENYEJI UKO WAPI SASA
BWANA AYUBUUU MBONA POVU LIMEKATIKA ?! BADALA YA KUMTAFUNA BWANA JAMADA UMEJITAFUNA MWENYEWE NA BADO UTAJITAFUNA SANA MPK UISHE , NA UTAJITAFUNA KILA IDARA أيها الضال المبتدع
BWANA AYUBUUU MBONA POVU LIMEKATIKA ?! BADALA YA KUMTAFUNA BWANA JAMADA UMEJITAFUNA MWENYEWE NA BADO UTAJITAFUNA SANA MPK UISHE , NA UTAJITAFUNA KILA IDARA أيها الضال المبتدع
BWANA AYUBUUU MBONA POVU LIMEKATIKA ?! BADALA YA KUMTAFUNA BWANA JAMADA UMEJITAFUNA MWENYEWE NA BADO UTAJITAFUNA SANA MPK UISHE , NA UTAJITAFUNA KILA IDARA أيها الضال المبتدع
Hizo unazotumia ni hoja za akili yako ww na mwingine atazungumza kulingana na akili yake yy, kwaiyo cha msingi sote tuishie pale ilipoishia dalili bila kuleta tafsi yoyote ile, kwa kufanya hivyo hatutotoka nje ya kile kilichokusudiwa ktk dalili hiyo kwa vyovyote itakavyo kuwa
Kaangushe mabungo uuze ukimaliza anzisha kilinge ugange ndio kazi ya masufi kupoteza watu
Porojo tupu jaahil murakkab
Kuwepo juu ya Arsh hakupingani kuwa kwake Allah hajambatana na Arsh Kuwepo juu ni jambo mbali na kuambatana kijana
Ameshafafanua maana ya huo ujuu uliokusudiwa nao ni ujuu wa cheo
MaashaAllah
@@abumuhammadmbwana3964 Kwa dalili ipi nani alie mtangliia kwa tafsiri hiyo
Kwani neno BILAA KAYF mana yake bila sehem ? Mbona wadanaganya watu kijana
We jamaa ni jaahil na huelewi ibara za wajachuoni Allah akuongeze
Nakuelewa sana na hio ndio itikadi yetu sisi ahlu sunna waljamaa
SAFI SANA. MWASHIA MOTO HUYU MAFUTA TAA ILI ALIPUKE. KAZIDI SANA
Ndg watazamaji Hawa ni mashehe wapuuzaji wa swala ,kwanini msikiti wenu mnaswali siku za kutoa mawaiza peke yake? Hebu jibu hili wewe jamaa ,mbona unahadaa watu halafu kwenye ibada twakuona haupo SAWA ,?msikiti kutwa hauswaliwi mpaka mkitaka kuwashambulia watu,mche mola wako ,na hii ni aibu sana kwako, JAMANI HII NDIO TABIA YAO,JE NI NZR KATIKA UISLAM
Umeishiwa hoja
Msikiti wenu mbn hauswaliwi swala tano jamani au ni msikiti wa kutukania TU basi,mcheni Allah nyie masufi,mbn nyie Hamna mpango na swala kabisa ? Jitahidi ukae vzr kwenye swala tano Kwanza
Wewe mwisho utasema Allah ni mjuzi bila elimu kwa sababu ukisema ana elimu utakuwa umemfananisha na viumbe vyake maana hata viumbe pia wana elimu Na sifa nyingine nyingi utazikataa maana hata viumbe pia wanazo hizo sifa
Si ndo maana hafanani na kitu chochotr
Hili kipumbavu kweli hili linadhani Aya zinatafsiriwa kutumia akili
Mpumbavu zaidi ni wewe! mnakataa Taawil kisha wenyewe mnafanya taawiyl! jibuni masuali ya Sheikh
Namhurumia huyu kijana aliyeingia mabanoni na silaha butu zisizo na ncha Kali halafu akaizirusha zote kwa wakati mmoja , Sasa hakuna lililobakia kwake ila fedheha na majuto Kwa nini alijiingiza kwenye mapambano haya na silaha zote ashazimaliza na chumba Cha mapambano kishatiwa kufuli hakuna kutoka , Kila akikimbia ajikungwaa kwenye ukuta walillahilhamdu , Na hiyo ndio dawa ya makhurafi wanaojaribu kuwaparamia ahlussunna wakidhani watafika mbali, Sasa hivi Hadi msikiti wako umeukimbia utafikiri Kuna upupu humo ndani Sasa sijui waswali na mkeo kwako ! @@muhammedaloufy4086
Hadi watoto wako wadog wamekuzid akili!!! Kweli ww ni mwehu haswaa
Huyu jamaa tunashaka na akili zake imma akili Yake ni .
Ktk elimu Allah amewapa binadamu elimu ndogosana,kuna vitu Allah ajawafunulia binadamu,mbingu na ardhi ziligandana Allah akaziachanisha,ALLAH,aliumba mbingu na ardhi sasa swali kabla ajaumba mbingu na ardhi alikuwa anakaa wapi,idhasamaau nshaqati, siku mbingu zitakapopasukapasuka ,swali mbingu zikipasuka kama ALLAH yupo juu?mtume S.S.A.W amesema aliuona ubawa wa jibril umefunika uwingu wote,na jibril ana ubawa 600,sasa ALLAH akikaa juu atatosha? Jibu ALLAH yupo sehemu ambayo yupo kabla ajaumba kila kitu na atuwezi kujua ila arshi ya ALLAH ipo juu yaani malaika ambao anawatuma,"na ALLAH akai na viumbe wake yaani malaika #sheh yupo sahihi tutafute èlimu haina mwisho
Umejuaje kama ALLAH baada ya kuumba yupo sehemu ile ile nani kakuambia ucmsemee ALLAH
Mhu wewe unatumia ekili ALLAH anajadiliwa kwa elimu soma suratul hajj aya ya 7
Umeuwa kidogo sh wangu
Mhu
Kwani ukisema ALLAH yuko juu umemfananisha na nini kwani nyinyi hamujui kama ALLAH ana sifa nyingi za kibinadamu kama anaskia, anaona,mfalme,ana nguvu yuko juu au hamujawahi kuckia hilo mimi nasema dini c ushabiki na wala jambo la ALLAH halijadiliwi kwa akili soma suratul hajj aya ya 7 na umejuaje baada ya kuumba yuko pale pale umejuaje au umeona wapi
Ukitia kama ndio umefananisha na wala c kusema yuko juu Mfano Ukisema ALLAH ana nguvu hamna tatizo Ukisema ana nguvu kama jini ushakufuru Ukisema yuko juu c kosa Ukisema yuko juu kama malaika ushakufuru Kwa huo mcmamo wako itabidi ukatae cfa zote za ALLAH c ya kua yuko juu tu
kwahiyo wewe Ayubu unawaona hao wahabi ni makafiri?maana unasema swala yako nyuma yao ni batili,duu kumbe unawakufurisha masalafi?!!!!
Tufafanulie hapo 2:59 2:59
Tufafanulie hapo 2:59 2:59
Tufafanulie hapo
Tufafanulie hapo
Skiliza mfululizo wa RADDI zake kaelezea sana KAMA HUJAELEWA NA HUTAELEWA Anatumia maneno ya wanachuoni na sio maneno yake Fuatilia zipo audio zake
Naswali langu kwanini mtume wakat alikuw anatolew roh baad yakumaliz kupig mswak akasem anaend KARAFIKI WAJU piy kwanye sijda tunasem ametakasik mila wajuu tupe ufafanuzi hapo
Unapo sikia rabbilaala maana yake juu kwamaana yyautukufu hata fir,auna alisema hivyo akasema anaarabukumu l,aala hukuwa namaana yupo juu alimaanisha utukufu bwana muhamadi
Sawa Maha mudu
Wewe mwisho utasema Allah ni mjuzi bila elimu kwa sababu ukisema ana elimu utakuwa umemfananisha na viumbe vyake maana hata viumbe pia wana elimu Na sifa nyingine nyingi utazikataa maana hata viumbe pia wanazo hizo sifa
Mimi niliuliza swali naomba nifahamishwe maana ya tashbiha,tashhisi, na sitiari na mifano 2 kwa kila 1 halafu utasema wapi watu wanekufuru huyu shehe anahitaji asome kwanza halafu atakaa kwenye kamera
Nani alokwambia hivyo
Piga kazi habiib, hawana sera wahabi hao
Apige kazi? Waislamu wote wamekubaliana kuwa Allah yuko juu arshi na zimekuja aya kuthibitisha hilo na hadithi ya jaariya alipoulizwa Allah yuko wapi akasema yuko juu Mcheni Allah acheni itikadi chafu hiyo
@@jumangodu2402 hebu tuambie ni muislam aliyesema Allah Yuko juu kwa dhati yake? Tutajie mmoja tu asiyekuwa wahabi
Wacha uongo waislamu wa wapi@@jumangodu2402
@@jumangodu2402 Skiliza mfululizo wa RADDI zake kaelezea sana KAMA HUJAELEWA NA HUTAELEWA Anatumia maneno ya wanachuoni na sio maneno yake Fuatilia zipo audio zake
@@arrawaahiyahtv9800akikujibu niambie
Tafuta kazi mzehe
Kwani hiyo sio kazi!? 💉💊💉💉💉
Kamera man tuonyeshe na wanafunz tuwaone,
Allah ana nn ?? Mpokonyen mic uy jaman anakoelekea n kubay,
Alban kituko???
Mirembe njoon muchukue mtu wenu uk sijui amewatorok vp,
Wapi hii Mwalimu
Hii ni Majani mapana kwa Khalifa Salehe