- 56
- 29 169
BEE YOU MEDIA
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 31 ม.ค. 2015
We're a creative multimedia content production company focusing on creating educational content for youth and providing creative digital services for entrepreneurs and businesses.
Episode 24 With Mike Kuley: Mshindi wa tuzo za TEYA
Karibu katika episode hii upate kufatilia kwa karibu mazungumzo na kijana mpambanaji Mike Kuley ambaye ni mshindi wa tuzo za vijana chipukizi na wabunifu walio jikita katika sekta ya elimu... Kuna mengi yakujifunza hivyo kidogo kidogo tazama mpaka mwisho.
มุมมอง: 167
วีดีโอ
Episode 23 with Jorum Nkumbi: Mtaalamu (Mlumbi) wa lugha ya Kiswahili.
มุมมอง 6K2 ปีที่แล้ว
Karibu tena katika episode hii ya 23 katika kipindi chako cha Stars In Campus, tumepata nafasi ya kipekee kupiga stori na mlumbi Jorum Nkumbi ambaye ametueleza mengi kumuhusu, pamoja na historia yake. Tazama mpaka mwisho kuna mengi ya kujifunza kutoka kwake. Usisahau KULIKE, SUBSCRIBE , na KUKOMENT.
Episode 22 with Director John Joseph: Director Bora chipukizi katika tuzo za TEYA
มุมมอง 2022 ปีที่แล้ว
Karibu tena mtazamaji wetu katika episode nyingine tena ya kipindi cha Stars In Campus ambapo tumefanya mazungumzo na kijana modgo kabisa ambae pia ni mshindi wa Best Video Director of the year katika tuzo za Tanzania Emerging Youth Awards mwaka wa 2022. Kwa kina kabisa ameeleza safari yake ya maisha, mafanikio, changamoto na hata watu walio mshika mkono kama vile Hascan, Director Deo Abel pamo...
Who is Ep 01: Jacob & Jackline
มุมมอง 512 ปีที่แล้ว
Hello! we're happy to bring you the very first episode of Who is? Love chat. and we have Jacob and Jackline. We hope you'll enjoy!!
EPISODE 21 WITH BARAKA MAFOLE: "HOW TO MAKE MONEY ONLINE"
มุมมอง 1.9K2 ปีที่แล้ว
Karibu tena mtazamaji wetu wa kipindi cha Stars In Campus tukiwa tunaendelea na mfululizo wa vipindi vyetu na leo katika episode hii tumekuletea kijana Baraka Mafole au Maarufu kama Digital Nomad ambae ni mjasiriamali alie jiajili katika sekta ya kidijitali na kutengeneza fursa kwa vijana wengine wengi... Fatilia mpaka mwisho kuna fursa nyingi utajifunza Digital jobs platforms: Upwork: www.upwo...
FILAMU YA THE ROYAL TOUR NINGE FANYA KWA STYLE TOFAUTI: OSSE GRECA SINARE
มุมมอง 8122 ปีที่แล้ว
Osse ni mmoja kati ya vijana ambao wamefanikiwa kufanya yale wayapendayo katika tasnia ya uandaaji maudhui na filamu. Katika episode hii ya 20 ya kipindi cha Stars In Campus tumepiga stori na mtengeneza maudhui na filamu maarufu ambae amejikita katika tasnia ya utalii, na alizungumza mengi kuhusu safari yake ya maisha, changamoto, mafanikio, malengo, lifestyle, mahusiano na hata swala la The Ro...
EPISODE 19 WITH IMRAN KAPACEE: INSTAGRAM IMENILETEA WATEJA ZAIDI YA 90%.
มุมมอง 2722 ปีที่แล้ว
Karibu mtazamaji wetu katika episode hii ya 19 ambapo tumefanya mazungumzo ya kina na kijana mjasiriamali katika sekta ya fasheni na mavazi Imran Kapacee. Imran ni muanzilishi wa kampuni ya Xtreme designs inayopatikana jijini Arusha huku ikiwa imejikita katika kuzalisha bidhaa za kibunifu n kuudumia zaidi ya wateja 100,000 duniani kupitia mtandao wa Instagram, kupitia episode hii anatwambia ni ...
EPISODE 18 WITH MADAM PAMELA CHOGO [MKUFUNZI CHUO CHA UHASIBU ARUSHA]
มุมมอง 2492 ปีที่แล้ว
Katika episode hii tumekuletea mazungumzo ya kina na Madam Pamela Chogo ambae ni mkufunzi katika chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) na muanzilishi wa taasisi ya Chanya Change. Madam Pamela ameeleza safari yake ya maisha katika elimu, kazi na mchango wake katika kuelimisha vijana. Usiache kulike, comment, subscribe na kushare video hii iliiwafikie watu wengi zaidi. Ahsante.
EPISODE 17 WITH FRANK KISAMO [ KIJANA ALIE ANZISHA KAMPUNI YA MBOLEA ]
มุมมอง 2452 ปีที่แล้ว
Katika episode hii utapata nafasi ya kusikiliza kwa kifupi safari ya kijana mjasiriamali Frank Kisamo ambaye ni muanzilishi wa taasisi ya KSM Organic mbolea iliyo jijini arusha. Usiache Kulike, Subscribe, Comment na Kushare na vijana wengine wapate kujifunza
EPISODE 4 MFAHAMU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN
มุมมอง 942 ปีที่แล้ว
Katika episode hii utapata kufahamu mengi usiyoyajua kuhusu Mh. Samia Suluhu Hassan, Rais wakwanza mwanamke katika nchi ya Tanzania. Kuna mengi ya kujifunza hivyo usisahau KUKOMENTI, LIKE na KUSHARE.
THE GOLDEN BOOK EPISODE 3 OPRAH WINFREY: USIYO YAJUA UHUSU OPRAH WINFREY
มุมมอง 1173 ปีที่แล้ว
Katika episode hii utapata kufahamu historia ya mwanamama tajiri wakwanza mwenye asili ya kiafrika Oprah Winfrey. Usisahau Kusubscribe, Comment na Kulike. AHSANTE!!!
EPISODE 16 with Starvan [ Msanii chipukizi alie mshangaza Harmonize Arusha ]
มุมมอง 1123 ปีที่แล้ว
Katika episode hii ya 16 utapa kutazama mazungumzo tuliyofanya na msani mwenye kipaji cha uimbaji cha kipekee ambae bado ni mwanafunzi katika chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) alietamba jukwaa moja na Harmonize. Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwake fuatilia mpaka mwisho. Usisahau ku Like, share, Subscribe na Comment yako ni muhimu.
EPISODE 15 WITH ELIAH ABDUL JUMA [ KIJANA MBUNIFU MWENYE LENGO LA KUOKOA MAZINGIRA]
มุมมอง 723 ปีที่แล้ว
Karibu katika episode hii upate kufatilia mazungumzo ya kijana Eliah mwenye ndoto ya kuokoa mazingira kupitia ubunifu wake, kuna mengi ya kujifunza. Usisahau KULIKE, COMMENT, SUBSCRIBE na KUSHARE kwa wengine ujumbe ufike.
EPISODE 14 WITH EDGAR EDMUND: KIJANA ALIEBUNI NJIA YA KURECYCLE PLASTIC MATERIALS.
มุมมอง 2423 ปีที่แล้ว
EPISODE 14 WITH EDGAR EDMUND: KIJANA ALIEBUNI NJIA YA KURECYCLE PLASTIC MATERIALS.
EPISODE 13 WITH RAMS KING PART TWO: GNAKO ALINITAMBULISHA KWA JOH MAKINI.
มุมมอง 443 ปีที่แล้ว
EPISODE 13 WITH RAMS KING PART TWO: GNAKO ALINITAMBULISHA KWA JOH MAKINI.
EPISODE 13 WITH RAMS KING PART ONE [ DIAMOND PLATNUMZ AKIPOST PICHA YANGU NI KWASABABU KAIPENDA ]
มุมมอง 923 ปีที่แล้ว
EPISODE 13 WITH RAMS KING PART ONE [ DIAMOND PLATNUMZ AKIPOST PICHA YANGU NI KWASABABU KAIPENDA ]
EPISODE 2 THOMAS EDISON [ BINADAMU WA KWANZA KUGUNDUA TAA YA UMEME ]
มุมมอง 4543 ปีที่แล้ว
EPISODE 2 THOMAS EDISON [ BINADAMU WA KWANZA KUGUNDUA TAA YA UMEME ]
EPISODE 1 STEVE JOBS:[USIYO YAJUA KUHUSU STEVE JOBS]
มุมมอง 1873 ปีที่แล้ว
EPISODE 1 STEVE JOBS:[USIYO YAJUA KUHUSU STEVE JOBS]
EPISODE 11 WITH ABDALLAH SWALEHE SUNA [ MSHINDI WA TATU ARUSHA INNOVATION SUMMIT]
มุมมอง 1373 ปีที่แล้ว
EPISODE 11 WITH ABDALLAH SWALEHE SUNA [ MSHINDI WA TATU ARUSHA INNOVATION SUMMIT]
EPISODE 10 WITH EDWARD MWANANKALI [ WINNER ARUSHA INNOVATION SUMMIT]
มุมมอง 1.5K3 ปีที่แล้ว
EPISODE 10 WITH EDWARD MWANANKALI [ WINNER ARUSHA INNOVATION SUMMIT]
EPISODE 09 PART 02 WITH DR NICKSON KATAZE [AFYA YA AKILI/MENTAL HEALTH]
มุมมอง 1313 ปีที่แล้ว
EPISODE 09 PART 02 WITH DR NICKSON KATAZE [AFYA YA AKILI/MENTAL HEALTH]
EPISODE 09 PART 1 WITH DR NICKSON KATAZE [ AFYA YA AKILI/MENTAL HEALTH]
มุมมอง 1963 ปีที่แล้ว
EPISODE 09 PART 1 WITH DR NICKSON KATAZE [ AFYA YA AKILI/MENTAL HEALTH]
EPISODE 8 PART TWO WITH MC ABLENTY SADOCK [ NAPENDA SIMBA ILA MIMI SHABIKI WA YANGA DAMU]
มุมมอง 4994 ปีที่แล้ว
EPISODE 8 PART TWO WITH MC ABLENTY SADOCK [ NAPENDA SIMBA ILA MIMI SHABIKI WA YANGA DAMU]
EPISODE 8 PART ONE WITH MC ABLENTY SADOCK [ KIPAJI KILINIPELEKA CLOUDS FM]
มุมมอง 3434 ปีที่แล้ว
EPISODE 8 PART ONE WITH MC ABLENTY SADOCK [ KIPAJI KILINIPELEKA CLOUDS FM]
Salamu za Krismass na Mwaka mpya toka kwa Mc Ablenty 🎄
มุมมอง 6K4 ปีที่แล้ว
Salamu za Krismass na Mwaka mpya toka kwa Mc Ablenty 🎄
Christmas and Happy New year greetings from our presenter Chardonnay Jublath
มุมมอง 154 ปีที่แล้ว
Christmas and Happy New year greetings from our presenter Chardonnay Jublath