MASHUKA YA KIGOMA (MASHUKA YA KIGOMA)
MASHUKA YA KIGOMA (MASHUKA YA KIGOMA)
  • 21
  • 243 714

วีดีโอ

Mashuka pambe. Kigoma one. Angalia uzuri wa mashuka ya kigoma.
มุมมอง 4.9K3 ปีที่แล้ว
Tupigie kwa namba 0762149449 au 0627749449 au 0655049449 tukuuzie mashuka ya kigoma kwa bei ya jumla na reja Reja.
UNAAMBIWA HIZI NDIO SHUKA ZA ASILI ZINAZOPENDWA ZAIDI.ZINATENGENEZWA KWA MKONO NA SINDANO.
มุมมอง 8K3 ปีที่แล้ว
0762149449 TENGENEZA KIPATO KWA KUFANYA BIASHARA HII YA MASHUKA.
HIVI NDIVYO TUNAVYOTENGENEZA MASHUKA YA KIGOMA. KARIBU UJIFUNZE PIGA 076214949
มุมมอง 6K3 ปีที่แล้ว
JIFUNZE NAMNA YA KUTENGENEZA MASHUKA YA KIGOMA UKIWA KWAKO NYUMBANI.
HII NDIO FAHARI YA KIGOMA BWANA.
มุมมอง 6K4 ปีที่แล้ว
TAZAMA MASHUKA YA KIGOMA YALIVYO MAZURI. YANAPATIKANA KWETU KWA NAMBA 0762149449
TAZAMA UTOFAUTI NA UZURI WA MASHUKA YA KIGOMA NA MASHUKA MENGINE. TUPO DAR ES SALAAM NA KIGOMA.
มุมมอง 9K4 ปีที่แล้ว
TUPIGIE/SMS NO 0762149449 UYAPATE MASHUKA YA KIGOMA KWA BEI RAHISI. Sasa utajipatia mashuka ya maua ya kawaida kama haya kwa Tsh 40000/= tu bei ya jumla kuanzia Mashuka ma5 na kuendelea. tuamini tukufanyie kazi.
KIGOMA ONE. ASIKWAMBIE MTU MASHUKA YA KIGOMA MAZURI AISE. WEWE TUPIGIE TU KWA 0762149449 UWEKE ODA.
มุมมอง 8K4 ปีที่แล้ว
This is local product made in Tanzania much based in Kigoma region, its the proud of kigoma People's since most of women living in kigoma urban used their talent from God to design variety of Flours that never seen another regions, In fact Mashuka ya kigoma had comes as a main source of income for many womens and few of men in Kigoma ujiji. They used most of time to decorate this kind of Bedshe...
USICHELEWE, MASHUKA YA KIGOMA KWA BEI NAFUU YAPO. TUPIGIE/WHATSAPP NO 0762-149449.
มุมมอง 9K5 ปีที่แล้ว
Sasa unaweza kuweka oda yako ya mashuka ya kigoma. Utachagua maua unayoyapenda na rangi unazopenda kisha sisi tutakufumia. kwa wateja wa nje ya nchi tuna utaratibu mzuri wa kutuma kuptia EMS POSTA na mzigo unakufikia haraka kwa nchi yoyote. pia kama unataka kujifunza karibu tunafundisha wanafunzi kwa njia ya online unaelewa namna ya kufuma mifumo yote. tupigie kwa namba 0762149449.
KAZI YETU NI KUPENDEZESHA VITANDA VYA WATU. MASHUKA MAZURI KWA BEI POA.
มุมมอง 12K5 ปีที่แล้ว
UKITAZAMA MPAKA MWISHO LAZMA NAFSI YAKO IFURAHI TU. NAMNA YA KUTUPATA TUPIGIE KWA NAMBA 0762149449 AU 0655049449 UWEKE ODA YAKO. POPOTE ULIPO TUTAFIKA. tunapokea oda ya kuanzia Shuka 1 na kuendelea pia tunakufumia mashuka, Foronya na Pazia, mlangoni na vitambaa 12 vya Meza na Sofa.
WAPENDA VIZURI HII NI YA KWENU.
มุมมอง 11K5 ปีที่แล้ว
Tupigie kwa namba 0762-149449 tukuuzie au tukufumie Maua utakayopenda.
+255762149449 WASILIANA NASI UWEKE ODA, USHAURI,AU KAMA UNATAKA KUJIFUNZA
มุมมอง 7K5 ปีที่แล้ว
Tupigie kwa namba ( 255) 0762149449. ofisi zetu zinapatikana Dar es salaam , Temeke Mtoni kwa Azizi Ally. popote pale ulipo unaweza kuwasiliana nasi tukakupatia utaratibu mzuri wa namna ya kuweka oda na namna mzigo utakavyokufikia.
ANGALIA VIDEO HII UJIFUNZE NAMNA YA KUFUMA MAUA YA AINA YOYOTE YALE KWENY SHUKA LA KIGOMA.
มุมมอง 14K5 ปีที่แล้ว
Kama umeyapenda Wasiliana nasi kwa Namba (piga/Whatsapp) Kokote kule duniani tunakufikia 255762149449/ 255655049449
MASHUKA YA KIGOMA YANAYOVUTIA ZAIDI KWA KUPAMBWA NA MAUA YA KILA AINA.
มุมมอง 31K6 ปีที่แล้ว
MASHUKA YA KIGOMA YANAYOVUTIA ZAIDI KWA KUPAMBWA NA MAUA YA KILA AINA.
Tumia Mashuka ya kigoma kupamba Ukumbi.
มุมมอง 3.4K6 ปีที่แล้ว
Tumia Mashuka ya kigoma kupamba Ukumbi.
KIGOMA ONE. MASHUKA PEKEE YANAYOVUTIA KWA KUPAMBWA KWA MAUA YA KILA AINA.
มุมมอง 3K6 ปีที่แล้ว
KIGOMA ONE. MASHUKA PEKEE YANAYOVUTIA KWA KUPAMBWA KWA MAUA YA KILA AINA.
MASHUKA YA KIGOMA. Tupigie/Whatsapp No +255762149449 uweke Oda yako sasa.
มุมมอง 8K6 ปีที่แล้ว
MASHUKA YA KIGOMA. Tupigie/Whatsapp No 255762149449 uweke Oda yako sasa.
Mashuka ya Kigoma. Tupigie/Whatsapp kwa namba +255762149449 kuweka Oda yako popote pale tunakufikia.
มุมมอง 18K6 ปีที่แล้ว
Mashuka ya Kigoma. Tupigie/Whatsapp kwa namba 255762149449 kuweka Oda yako popote pale tunakufikia.
BEDSHEET (MASHUKA YA KIGOMA) place your order noCall/ Whatsapp +255762149449.
มุมมอง 68K6 ปีที่แล้ว
BEDSHEET (MASHUKA YA KIGOMA) place your order noCall/ Whatsapp 255762149449.

ความคิดเห็น

  • @rahmamavura406
    @rahmamavura406 หลายเดือนก่อน

    Mbona hujafundisha kama ulivyoandika

  • @ZainabuNuru-b5n
    @ZainabuNuru-b5n หลายเดือนก่อน

    Kawaida

  • @VioletaElisha
    @VioletaElisha หลายเดือนก่อน

    Naweza pataje nikiwa nje ya nchi na beigani kwa jumla?

  • @lovenesdickson1824
    @lovenesdickson1824 3 หลายเดือนก่อน

    Bei Gani?

  • @helenmlacha5271
    @helenmlacha5271 3 หลายเดือนก่อน

    Nataka 1 Bei gani

  • @MagrethMlula
    @MagrethMlula 3 หลายเดือนก่อน

    bei tafadhali

  • @ChikuAbdallah-n7i
    @ChikuAbdallah-n7i 3 หลายเดือนก่อน

    Beiqan ayo

  • @NasraGoldian
    @NasraGoldian 4 หลายเดือนก่อน

    2:49

  • @Charlottebahati
    @Charlottebahati 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba

  • @MaryamKhamis-q8g
    @MaryamKhamis-q8g 11 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji mashuka ya biashara

    • @mashukayakigoma4951
      @mashukayakigoma4951 5 หลายเดือนก่อน

      karibu yapo. tuwasiliane kwa namab 0762149449

  • @IreenJohn-bs6yx
    @IreenJohn-bs6yx ปีที่แล้ว

    Weka bei

  • @shemsairakoze5973
    @shemsairakoze5973 ปีที่แล้ว

    Iyo shuka ya kwanz ni chumban kwangu nashang ulivyo Pata iyo pc😳😳😀

    • @mashukayakigoma4951
      @mashukayakigoma4951 5 หลายเดือนก่อน

      nilikuja kuipiga hapo hapo chumbani kwako au umesahahu?

    • @shemsairakoze5973
      @shemsairakoze5973 5 หลายเดือนก่อน

      @@mashukayakigoma4951 siokweli pic nilipig mim mwenyew ili nimuonesh mteja sema nimeshang kuiona kwako 😳😳

  • @nasramusaro
    @nasramusaro ปีที่แล้ว

    Mnapatina wapi?

  • @AbuuKhuzlayma
    @AbuuKhuzlayma ปีที่แล้ว

    Natamani ningekuwa namwenyeji huko hongereni kwakwzi nzuri❤

  • @YusuphShinge
    @YusuphShinge ปีที่แล้ว

    Nimeyapenda hayo mashuka jaman

  • @ashahamad1095
    @ashahamad1095 2 ปีที่แล้ว

    Mnapatikana wapi?

  • @neema4743
    @neema4743 2 ปีที่แล้ว

    Hakika yanapendeza jamn tutayapataje xx

  • @pendomasanja6531
    @pendomasanja6531 2 ปีที่แล้ว

    Mnauzaje namnapatkana wp

  • @angelbugomba9609
    @angelbugomba9609 2 ปีที่แล้ว

    Nakupataje naitaj jamani

  • @pepetuapepe2524
    @pepetuapepe2524 2 ปีที่แล้ว

    Jumla ni shilingi ngapi

  • @michaelnyamba5211
    @michaelnyamba5211 2 ปีที่แล้ว

    Nambazenu tukipiga wanasema hiyonamba hawaijui nakudai tumekosea

    • @mashukayakigoma4951
      @mashukayakigoma4951 2 ปีที่แล้ว

      tupigie kwa hii hapa 0762149449 au 0655049449 au 0627749449 hizo utatupata. namba ya whatsapaa ni hii ya vodacom 0762149449.

  • @naimasaidhandembroidery8011
    @naimasaidhandembroidery8011 3 ปีที่แล้ว

    Wateja wa dar jumla sh. Ngap

  • @saadamwadini4657
    @saadamwadini4657 3 ปีที่แล้ว

    Mashuka mazuri

  • @kizamichelinemichelinekiza2114
    @kizamichelinemichelinekiza2114 3 ปีที่แล้ว

    Naona ni vizuri sana

  • @mashukayakigoma4951
    @mashukayakigoma4951 3 ปีที่แล้ว

    tunapatikana kwa namba 0762149449. kwa watej wa Dar unaletewa nyumbani. mikoani na nje ya nchi tunatuma kwa uaminifu mkubwa kabsa.

  • @mbaroukmakame998
    @mbaroukmakame998 3 ปีที่แล้ว

    mashukamazuriyakufuma

  • @uthmaanally418
    @uthmaanally418 3 ปีที่แล้ว

    Bei gan...?

  • @alayoboyboy6846
    @alayoboyboy6846 3 ปีที่แล้ว

    Bomba sana kigoma

  • @irenetarimo3332
    @irenetarimo3332 3 ปีที่แล้ว

    Jumla inaanza mashuk mangap

  • @rayasaid336
    @rayasaid336 3 ปีที่แล้ว

    Bei gani

  • @rayasaid336
    @rayasaid336 3 ปีที่แล้ว

    Mupo wapi

  • @rayasaid336
    @rayasaid336 3 ปีที่แล้ว

    Yapo wapi hayo namimi nayataka

  • @mwaminiyasini6982
    @mwaminiyasini6982 4 ปีที่แล้ว

    Do! Zoo poa

  • @mwaminiyasini6982
    @mwaminiyasini6982 4 ปีที่แล้ว

    Do! Zoo poa

  • @gaudenciaamon7545
    @gaudenciaamon7545 4 ปีที่แล้ว

    Kazi nzur honger

  • @sifajacky7779
    @sifajacky7779 4 ปีที่แล้ว

    Manshaallah tabarak Allah ♥️ Mwenyezi Mungu mtukufu Subhanah wataala aweke nuru kwenye vyashara yako Inshaallah 🙏💥💞

  • @davidgabrielabbias1334
    @davidgabrielabbias1334 4 ปีที่แล้ว

    Mbona naona sio Pana ivi kitanda chasita kwasita itaenea Kweli nahitaji

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 4 ปีที่แล้ว

    Ukiwa tazania unapataje

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 4 ปีที่แล้ว

    Inapatikana wapi

  • @mamaregina8593
    @mamaregina8593 4 ปีที่แล้ว

    Niko Tanga naomba unifundishe mpenzi number yangu ni 0744356025

  • @samirakheir6795
    @samirakheir6795 4 ปีที่แล้ว

    Unajuwa Mimi Nipo Zanzibar litafika huku

    • @mashukayakigoma4951
      @mashukayakigoma4951 4 ปีที่แล้ว

      Ndio Kwa ww mteja uliopo zanzibar. Nakutumia Kwa Boti unapokelea huko Bandarini. Au unaweza kumuomba ndugu yako aje kuchukua Ofisini kwetu Mtoni Kwa azizi ally Temeke au nimpelekee kwake au unakuja mwenyewe Dar kuchukua.

    • @mashukayakigoma4951
      @mashukayakigoma4951 4 ปีที่แล้ว

      Lakini kikubwa naomba tuwasiliane Kwa namba 0762-149449

  • @samirakheir6795
    @samirakheir6795 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante nikilitaji napata vp

    • @mashukayakigoma4951
      @mashukayakigoma4951 4 ปีที่แล้ว

      Unapata. Naomba tuwasiliane Kwa namba 0762-149449 nkupatie utaratibu WA kuyapata.

  • @samirakheir6795
    @samirakheir6795 4 ปีที่แล้ว

    Nikilitaka nalipataje

  • @samirakheir6795
    @samirakheir6795 4 ปีที่แล้ว

    My hujambo VP begani

    • @mashukayakigoma4951
      @mashukayakigoma4951 4 ปีที่แล้ว

      Bei ya jumla n Tsh 40000 Kwa Shuka za maua ya kawaida au simple na Tsh 60000 Kwa Shuka za maua ya mijazo au yenye maua mengi yaliyojaa. Kwa reja reja kila Shuka na bei yake kutegemea Maua yaliyopo kwenye Shuka mteja utakalochagua kuanzia Tsh 50000 na kuendelea. Karbu tuwasiliane Kwa namba 0762-149449

  • @bilaliabduly6399
    @bilaliabduly6399 4 ปีที่แล้ว

    Uko vzur dada

  • @shekhamohammed560
    @shekhamohammed560 4 ปีที่แล้ว

    Mashuka mazuri corona ikiisha nitanunua

    • @mashukayakigoma4951
      @mashukayakigoma4951 4 ปีที่แล้ว

      karibu sanaaa. tuwasiliane kwa namba 0762149449. pia unaweza kuweka oda sasa hivi nikaianza kazi yako corona ikiisha na kazi yako ikawa imeshaisha.

  • @mariamkanyungu3150
    @mariamkanyungu3150 4 ปีที่แล้ว

    Nimekubali

  • @mariamkanyungu3150
    @mariamkanyungu3150 4 ปีที่แล้ว

    Nimependa

  • @anethndobewe7688
    @anethndobewe7688 4 ปีที่แล้ว

    Jamani tunaomba mtuelekeza mnaanzaje kufuma

    • @mashukayakigoma4951
      @mashukayakigoma4951 4 ปีที่แล้ว

      Nitafute Kwa namba 0762-149449 nikueleweshe utapateje mafunzo ya kujifunza kuptia mitandaoni.

    • @mashukayakigoma4951
      @mashukayakigoma4951 4 ปีที่แล้ว

      Ndio whatsapp au nipgie kawaida

  • @saidsaid3652
    @saidsaid3652 4 ปีที่แล้ว

    Nitafuteni wasp namba yangu iyo +968 94539247 nataka mashuka