- 178
- 429 541
Mc Kaka Mtumishi
เข้าร่วมเมื่อ 29 พ.ย. 2013
MC/Moderator
Events Planner
#0755037262
Events Planner
#0755037262
วีดีโอ
Unaendeshaje harusi?? Inastering????😃😃😃😃🤣🤣🤣
มุมมอง 53 หลายเดือนก่อน
Unaendeshaje harusi?? Inastering????😃😃😃😃🤣🤣🤣
TINA VITU VYETU
มุมมอง 134 หลายเดือนก่อน
Iringa tunavitu vyetu, na hata huko nje ya mkoa wa iringa wanapenda sana vibe letu lenye ubora mkubwa! Tofauti ni ukubwa wa majina tu
#HajiManara kaongea ukweli mchungu sana, ila mechi za #Dabi mmmh
มุมมอง 1444 หลายเดือนก่อน
#HajiManara kaongea ukweli mchungu sana, binafsi nimecheka sana kusikia ana level za kufa kabisa, ila ukweli ni kwamba utamu wa mechi za dabi ushinde tu! Hata mie sitaki kutazama live
Ahsante Mheshimiwa 🇹🇿 Waziri #Simbachawene na Mh @comrade Kheri James @TRAMPA
มุมมอง 447 หลายเดือนก่อน
Ahsante Mheshimiwa 🇹🇿 Waziri #Simbachawene na Mh @comrade Kheri James @TRAMPA
SEMINA YA NENO LA MUNGU
มุมมอง 16ปีที่แล้ว
Ibarikiwe jumapili hii tar17 dec🙏🏽, karibuni kesho tena kwenye semina pale pale KKKT Kanisa kuu Iringa, kuanzia 9 hadi sa12 jioni
NI WEWE, From January to December najua umenilinda @Godfrey stivin
มุมมอง 232ปีที่แล้ว
NI WEWE, From January to December najua umenilinda @Godfrey stivin
Kwa mbinu hizi za Jeshi la Polisi, uharifu basi, na ujambazi utakomeshwa!
มุมมอง 10ปีที่แล้ว
Kwa mbinu hizi za Jeshi la Polisi, uharifu basi, na ujambazi utakomeshwa!
Ben SELENGO, atembea na mke wa Mchungaji YOSHUA
มุมมอง 49ปีที่แล้ว
Ben SELENGO, atembea na mke wa Mchungaji YOSHUA
HARMONIZE LIVE PERFORMANCE #liveperfomance
มุมมอง 5ปีที่แล้ว
HARMONIZE LIVE PERFORMANCE #liveperfomance
Ukihangaika na mimi unapoteza muda bure, mie mwenyewe nilishaachaga kujihangaikia! Kila mtu yake✍🏽
มุมมอง 13ปีที่แล้ว
Ukihangaika na mimi unapoteza muda bure, mie mwenyewe nilishaachaga kujihangaikia! Kila mtu yake✍🏽
MATUKIO DAIMA TV wakiwa nami MC Kaka Mtumishi
มุมมอง 54ปีที่แล้ว
MATUKIO DAIMA TV wakiwa nami MC Kaka Mtumishi
namuona baba yangu kutoka iringa
My brother 🙌🔥
🤔
I wish niwe kama kimaru..am so touched by 😢😢
Ahsante❤
MUNGU azidiii kukuinua zaidiii.... Ur blessed kaka🙏🙏
Aminaa sana kaka
BLESSED
It was Such a nice experience 🎉🎉
Leave him go with her 😂😂😂😂😂
Who is in love with the guy's acting?
L'ennemi de femme c'est femme 😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Qizlar uydan haydashi mumkin lekin hechkimga berib qoʻymiydi😅😅😅😅😅😅
C'est bien
Oi que lindo obrigado
Hakuna kitu hapo,omba msamaha tu
Mmependeza
Waoo!! mungu awatangulie katika ndoa yen pia mkavumiliane na ndoa yen iwe mbingu ndog
my class mate kd😍😍 mchungaji kidagoo
Huyu mc ni msengeremaaa😏😏😏
Amen Amen Amen
🙌🙌
Mungu baba mwana na Roho Mtakatifu ushukuriwe katika utatu wako maana tumeuona mkono wako,katika utatu wako!!!
MUNGU MKUU ATUSAIDIE SOTE.AMEN.
I love it
Barikiwa
Nimefurahiaaa kukuona tena baba ,. Wanawako tulikumiss,.
dr Kimaro Mungu akutunnnze. kuna hatima yako nzuri MUNGU atawashangaza wanaofurahia hili tukio
Muumbaji wangu, ututunzie mchg huyu. wengine tupo mbali lkn ametutia moyo sana. kama alivyotuombea usimuache kamwe
Baba yangu mchungaji kimaru atuna lakusema sisi tunahokufatilia siki kwasi nililia mpaka nikajisikia moyo unanihuma
MUNGU KAMWE HATOKUACHAAAA🙏🙏🙏🙏 NO MATTER WHAT WILL HAPPEN
Hiyo sara FEKI
😂wewe ulie sali ya halali tukuonee
Amina
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂eti kama kitoto cha nguruwe nawaza mie
Ulitutia moyo mchg ,watu wengi walivuka walipokwama na sasa Mungu wa majeshi.akukumbuke.Usikate tamaa mchg ni siku za mwisho hizi songa mbele kwa kuomba na.kufunga lkn na toba kwa kila mtu.Linda sana moyo wako adui asipate nafasi
Watu watu msiyokuwa na uruma mungu awatangulie
Mchungaji hapa kachemsha hayupo kiroho, sema Mungu nakukabidhi hawa Mimi naondoka ila yesu yupo nanyi msifadhaike,wape tumaini, yesu mwenyewe aliondoka akasema nawachia roho, were ni nani usiondoke mahali
May God be your strength in this time of temptation. All things work together for good 🙏🙏🙏
Jamanii machozi yamenitoka na Mimi pia mchungaji wetu dkt Kimaro tuko na Wewe kiroho na daima Mwenyezi Mungu akisikie kilio chako na mapito hata Sasa yeye ni Ebenezer 😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌👏🙏🏼
😭😭🛐🛐🛐😭😭😭
Kumbe anahubiri upumbavu aende tu Ana faida gani zaidi yau chochezi hao Wa Kristo unawakashifu lakini sadaka Zao unachukua
Unawatukana waume zetu , eti akili ya padri mmoja ni sawa na akili za wanaume 70 wa sio kuwa mapadri hii kauli nayo haikuwa powa.
kweli alikosea
mungu ameona kuwa hapoo si mahali pataka po kufikisha mbinguni, anampango na wewe
😭😭😭😭
Kuna kibuli ndani yake UTII NI BORA KULIKO SADAKA. Tafakari maombi yako mtumishi
nyokonyoko unajifanya unajua kiburi cha wenzio tu😏😏😏😏😏
Mungu akutie nguvu, waliokupa likizo ni wanadamu, Mungu hajakuupa likizo endelea kumtumikia kwa njia nyingine, Mungu atakupigania nawe utashangaa, na kama kuna fitina juu ya kusimamishwa kwako maadui zako wataaibika
Mungu akutie NGUVU baba hayo mapito tu wewe ni dhahabu
God bless you pastor Kimaro
What was the first lady carrying, Banku?
Duh umenitoa machozi mchungaji 😭😭 Mungu wa mbingun amesikia kilio chako kabla siku 60 Mungu atajibu machozi yako mchungaji
Si wakristo ni wezi na umeawaajiri waislam lakin umeshindwa kuwaombea ao wakristo 😭🙏🏾
Sasa kama wewe mkristo sio mwaminifu na alikuajili ukataka kumfilisi kwa wizi wako ulitaka afanye Nini kama si kumtufuta mtu sahihi na kumbuka tabia Yako haiitaji maombi na ametumia falsafa ya wazazi wetu unapokua haufanyi vizuri kwenye mambo Yako lazima atakutolea mfano kwa watoto wa jirani wanaofanya vizuri punguza hasira kubali na jirekebishe unapokosea ili uaminiwe
kwani ni lazma awaajili wakkirsto kwenye kaz zake jaman?! SS sote ni WA Mungu