- 70
- 1 294 483
4Designs studios
เข้าร่วมเมื่อ 8 พ.ค. 2017
วีดีโอ
Chakray Consulting Tanzania Digital identity and access management Conference 2024
มุมมอง 936 หลายเดือนก่อน
Chakray Consulting Tanzania Digital identity and access management Conference 2024
Tazamna namna Bwana harusi alivo flow mashairi kwa hisia!
มุมมอง 268ปีที่แล้ว
Tazamna namna Bwana harusi alivo flow mashairi kwa hisia!
KIBOKO! Sholo Mwamba Amvua Bi Harusi Viatu Ukumbini mbele ya mumewe
มุมมอง 285ปีที่แล้ว
KIBOKO! Sholo Mwamba Amvua Bi Harusi Viatu Ukumbini mbele ya mumewe
Zabron Singers - Uko Single (First Official Live Performance) by @4designsstudios965
มุมมอง 245Kปีที่แล้ว
Zabron Singers - Uko Single (First Official Live Performance) by @4designsstudios965
Tazama namna bibi harusi JEJO alivoongoza KWAYA ukumbini!
มุมมอง 1Kปีที่แล้ว
Tazama namna bibi harusi JEJO alivoongoza KWAYA ukumbini!
Tazama jinsi wafanyakazi wa Platinum Credit Ltd walivyovamia na kuzua taharuki sokoni Tegeta
มุมมอง 164ปีที่แล้ว
Tazama jinsi wafanyakazi wa Platinum Credit Ltd walivyovamia na kuzua taharuki sokoni Tegeta
Namna Sia alivomtambua Mume wake mtarajiwa.
มุมมอง 246Kปีที่แล้ว
Namna Sia alivomtambua Mume wake mtarajiwa.
You will love this introduction of husband to be....
มุมมอง 3.7Kปีที่แล้ว
You will love this introduction of husband to be....
The Vows Moment for Claud and Christina
มุมมอง 26K2 ปีที่แล้ว
The Vows Moment for Claud and Christina
Carine friends wishes from around the world
มุมมอง 882 ปีที่แล้ว
Carine friends wishes from around the world
Barikieli and Gladness wedding highlight
มุมมอง 1015 ปีที่แล้ว
Barikieli and Gladness wedding highlight
❤
na hii ndio raha ya kupata mme imani yako ......hongera watoto wanapiga ngoma vizuri kweli❤
😭😭😭😭amen
❤
Wow
Very nice
Yes bigger up
Wow mnawatoaga wapi jamaniiii 😂😂
😂🥹🇷🇼🤣😂
Barikiwa sana
Saw tumekubali ngoja picha kamili likaanze huko ndan
God willing it will we played during my wedding ❤❤
Mungu awabariki na alibariki kanisa katoliki Tanzania na duniani kote❤
Amen
Mm husema mgema ukimsifu sana tembo hulitia maji. Na mtu umpendaye kweli usiwahi kumuonyesha upendo mbele ya macho yake. Maana akijua tu unampenda kupindukia. Anaanza kuwa gaidi kama kaini alivyo muuwa ndugu yake abeli. Na mm nimeenda 🚶🚶
kaijage typing........... au bas wahaya oohh
Safi Sana yaan nimewaona mabwana harusi wengi rakin wewe kiboko nimekupenda Sana una maneno mazuri Sana
Na mkiachana myataje majina yote hivo hivo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aky ww utaniua kwa kicheko hadi usingizi umeisha.
😂😂😂😂😂❤
Nimewapnda🎉❤
M.h tulioishi kwenye ndoa miaka kumi kwenda mbele tunyoshe mikono🖐️ 😢 kama Bado tupo hai kiakili
😂😂😂😂😂
wow huppy marriage
Wanasemaga wakiingia TU kwenye ndoa inakuwa kerooooo
Heeèeee,,,,,hayo majina kuna muda hutatamani hata kumuona,,,,,mm niliita majina yote ila siku moja alinirudia na chupi ya mwanamke nyumbani,,,wakati huwo mm nahisi maumivu makali ya kidonda cha uparesheni bila kumuona mtoto acha ninyamaze tu😢😢
Pole dada duh
@@veronicamnico4773😅😅
I'm so sorry my sister 😢 imeniuma sana utathani ni mm aky😢😢 wanaume duuh
@@veronicamnico4773 ahsante mpenzi wangu
@@MariamKarembo thanks mamii,,,pole kwa maumivu wanaume ni viumbe waajabu sana
Amend
Hakika mlipendeza🎉❤
Beautiful song
Mwimbo wangu wa harusi 2025 Katika jina la Yesu! 🎉❤🙏🏾
Waoo napenda sana mwanaume anae ijuwa bibilia
Amen ukawe mke mwema zaidi
it a sad moment of the demise of one of the singers may he rest in peace
Mungu awabariki ktk ndoa takatifu!
What language is this please 🎉 Its so sweet 😂.... From which country?? Someone to teach me ooo
Swahili language from Tanzania
Mungu akutangulie esta Yani nilibalikiwa nauu wimbo mpka na mm nikautumia kwa send off yangu hongera sana Mungu akawe mwwma dama katika maisha ako ww na mme wako na watoto wenu amina
Za
A very sweet woman you have got❤
Huyo mume kama balozi wa nyumba 10
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jameni Waja hamuachi uchokozi😅
Mashaallah kijana muzuri tena nupendo nmoend mungu
Maneno maxuri ,mdomo unaumba naikawe heri
Hakuna upendo wa kweli hao wanapretend
4D STUDIO YOUR THE BEST 🎉
Ndoa nzuri ukiwa mwelewa na uvumilivu mkubwa
Ww mwanaume una confidence yakuongea uko vzr nandoa Yako itabalikiwa
😊😊😊❤❤🎉
Hongera Kaka
Amen ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😂😂
4D STUDIO your the best🎉
Wanasemaga hivyo ndoa ikishanza nivituko ndani
Brother you're so wise . Be blessed
Waoohh ❤
Ameen ❤️❤
Wow kweli una mke mzuri ukamtunze