- 67
- 104 646
Elimika Uishi
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 26 ม.ค. 2022
ELIMIKA UISHI ni kipindi kinachotoa Elimu ya Usalama barabarani.
Kipindi hiki kinaandaliwa na ADNEYL LEGACY kwa kushirikiana na JESHI LA POLISI kitengo cha USALAMA BARABARANI.
Elimu sahihi ikitufikia tuna Imani kila mmoja atakuwa salama.
Tufuatilie katika mitandao ya kijamii kwa jina la Elimika Uishi
Wasiliana nasi;
+255 717 035380
elimikauishi@gmail.com

วีดีโอ
ELIMIKA UISHI - TOP TV
มุมมอง 94ปีที่แล้ว
#elimikauishi Elimu sahihi kwa usalama wako uwapo barabarani! Tufuatilie katika mitandao ya kijamii Facebook, Instagram, Twitter na TH-cam @elimikauishi Tafadhali, Subscribe, comment na share na marafiki ili uwe sehemu ya kusambaza elimu kwa uwapendao.
KIPINDI ELIMIKA UISHI MAY 21, 2023 TOP TV
มุมมอง 40ปีที่แล้ว
#elimikauishi Elimu sahihi kwa usalama wako uwapo barabarani! Tufuatilie katika mitandao ya kijamii Facebook, Instagram, Twitter na TH-cam @elimikauishi Tafadhali, Subscribe, comment na share na marafiki ili uwe sehemu ya kusambaza elimu kwa uwapendao.
DEREVA MZEMBE AGONGA GARIMOSHI (TRAIN) NA KUKIMBIA
มุมมอง 4.6Kปีที่แล้ว
DEREVA MZEMBE AGONGA GARIMOSHI (TRAIN) NA KUKIMBIA
MADEREVA, ZINGATIENI ALAMA NA KUWA MAKINI ILI KUEPUSHA AJALI ZA GARIMOSHI
มุมมอง 235ปีที่แล้ว
MADEREVA, ZINGATIENI ALAMA NA KUWA MAKINI ILI KUEPUSHA AJALI ZA GARIMOSHI
KADOGOSA - WANANCHI, ITUNZENI NA KUILINDA MIUNDOMBINU YA RELI ILI IWE SALAMA KWA WATUMIAJI WOTE
มุมมอง 619ปีที่แล้ว
KADOGOSA - WANANCHI, ITUNZENI NA KUILINDA MIUNDOMBINU YA RELI ILI IWE SALAMA KWA WATUMIAJI WOTE
BODABODA MZEMBE AGONGA GARI MOSHI (TRAIN)
มุมมอง 3.2Kปีที่แล้ว
BODABODA MZEMBE AGONGA GARI MOSHI (TRAIN)
BODA BODA AGONGA TRENI - MUENDESHA PIKIPIKI ZINGATIA USALAMA UNAPOVUKA KATIKA KIVUKO CHA RELI
มุมมอง 4.1Kปีที่แล้ว
BODA BODA AGONGA TRENI - MUENDESHA PIKIPIKI ZINGATIA USALAMA UNAPOVUKA KATIKA KIVUKO CHA RELI
MTEMBEA KWA MIGUU AINGILIA NJIA YA TRENI - MTEMBEA KWA MIGUU USITEMBEE KATIKA eRELI NI HATARI KWAKO
มุมมอง 992ปีที่แล้ว
MTEMBEA KWA MIGUU AINGILIA NJIA YA TRENI - MTEMBEA KWA MIGUU USITEMBEE KATIKA eRELI NI HATARI KWAKO
MCHORO WA AJALI YA GARI YA RIMBI TOURS YA ZIMBABWE
มุมมอง 532 ปีที่แล้ว
MCHORO WA AJALI YA GARI YA RIMBI TOURS YA ZIMBABWE
DEREVA BORA WA MWAKA 2022, GODFREY SEMKIWA - BM COACH
มุมมอง 2K2 ปีที่แล้ว
DEREVA BORA WA MWAKA 2022, GODFREY SEMKIWA - BM COACH
TUFUATILIE KATIKA MITANDAO YA KIJAMII ILI UPATE ELIMU SAHIHI YA USALAMA BARABARANI
มุมมอง 502 ปีที่แล้ว
TUFUATILIE KATIKA MITANDAO YA KIJAMII ILI UPATE ELIMU SAHIHI YA USALAMA BARABARANI
ISHARA YA ASKARI KURUHUSU MAGARI YA NYUMA YAKE KUENDELEA NA SAFARI
มุมมอง 2492 ปีที่แล้ว
ISHARA YA ASKARI KURUHUSU MAGARI YA NYUMA YAKE KUENDELEA NA SAFARI
ISHARA YA ASKARI KURUHUSU MAGARI YA MBELE YAKE KUENDELEA NA SAFARI
มุมมอง 2902 ปีที่แล้ว
ISHARA YA ASKARI KURUHUSU MAGARI YA MBELE YAKE KUENDELEA NA SAFARI
ABIRIA, NI WAJIBU WAKO KUTOA TAARIFA ZA MWENENDO MBOVU WA SAFARI KWA ASKARI ILI HATUA ZICHUKULIWE
มุมมอง 1242 ปีที่แล้ว
ABIRIA, NI WAJIBU WAKO KUTOA TAARIFA ZA MWENENDO MBOVU WA SAFARI KWA ASKARI ILI HATUA ZICHUKULIWE
WATUMIAJI WOTE WA BARABARA WANAPASWA KUTII ISHARA ZA ASKARI WAWAPO BARABARANI
มุมมอง 1.7K2 ปีที่แล้ว
WATUMIAJI WOTE WA BARABARA WANAPASWA KUTII ISHARA ZA ASKARI WAWAPO BARABARANI
ISHARA YA ASKARI KUSIMAMISHA MAGARI YOTE YA MBELE NA KULITAKA LA MBELE LIPAKI PEMBENI
มุมมอง 1.1K2 ปีที่แล้ว
ISHARA YA ASKARI KUSIMAMISHA MAGARI YOTE YA MBELE NA KULITAKA LA MBELE LIPAKI PEMBENI
KIPIMO CHA MADEREVA JUU YA UELEWA WA ISHARA ZA ASKARI
มุมมอง 28K2 ปีที่แล้ว
KIPIMO CHA MADEREVA JUU YA UELEWA WA ISHARA ZA ASKARI
JESHI LA POLISI MKOA WA MOROGORO LATOA ELIMU KWA MADEREVA WA MABASI
มุมมอง 4K2 ปีที่แล้ว
JESHI LA POLISI MKOA WA MOROGORO LATOA ELIMU KWA MADEREVA WA MABASI
ISHARA YA ASKARI KUSIMAMISHA MAGARI YOTE YA MBELE YAKE
มุมมอง 3.4K2 ปีที่แล้ว
ISHARA YA ASKARI KUSIMAMISHA MAGARI YOTE YA MBELE YAKE
ALAMA YA UMBALI KUFIKIA KIVUKO CHA RELI
มุมมอง 3782 ปีที่แล้ว
ALAMA YA UMBALI KUFIKIA KIVUKO CHA RELI
ISHARA YA ASKARI KUSIMAMISHA MAGARI YOTE YA NYUMA
มุมมอง 1.7K2 ปีที่แล้ว
ISHARA YA ASKARI KUSIMAMISHA MAGARI YOTE YA NYUMA
JIFUNZE ALAMA INAYOASHIRIA UWEPO WA WALEMAVU WA KUSIKIA - VIZIWI
มุมมอง 3092 ปีที่แล้ว
JIFUNZE ALAMA INAYOASHIRIA UWEPO WA WALEMAVU WA KUSIKIA - VIZIWI
ISHARA YA ASKARI YA KUSIMAMISHA MAGARI YA MBELE YAKE NA NYUMA YAKE.
มุมมอง 3K2 ปีที่แล้ว
ISHARA YA ASKARI YA KUSIMAMISHA MAGARI YA MBELE YAKE NA NYUMA YAKE.
JIFUNZE ALAMA INAYOASHIRIA KIVUKO CHA WALEMAVU WA VIUNGO
มุมมอง 2342 ปีที่แล้ว
JIFUNZE ALAMA INAYOASHIRIA KIVUKO CHA WALEMAVU WA VIUNGO
JIFUNZE ALAMA INAYOASHIRIA KIVUKO CHA WALEMAVU WA NGOZI
มุมมอง 4452 ปีที่แล้ว
JIFUNZE ALAMA INAYOASHIRIA KIVUKO CHA WALEMAVU WA NGOZI
Jamaa anachanja mbuga hatar😂😂
Kazinzuli🎉
mbona kama ya kuact hii ajali 😅😅😅 camera man karecod akiwa ndan ya tren alaf akashuka kumrecord dereva akikimbia 😂😂😂😂😂😂😂😂
hizi ni ajali za kutengeneza kwa ajili ya kufundishia tu. ingawa yapo matukio yenye uhalisia
Na wale Askari wanaojificha au wanaokaa juu ya Miti na camera za kusoma speed Vipi mbona huwazungumzii
visungura hivyo wanavyokunywa mwenyewe kaliona lipo mbaaaaaali😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hii ni zaidi ya uzembe dah!
Hiyo ni clip tu kwa ajili ya kuelimisha
nikiwa kwa pikipiki sipaswi kusimama?
Huyo wa Bajaji nyekundu ondokeni naye hana anachokijua
Kaka kwema hongereni sana
Watu wana mawazo sana siku hizi. Angekuwa mlevi asingeondoka relini. Nikosa kutembea kwenye reli, pia hata kukaa relini. Ila huyo mtu ukimwangalia anaonekana ana mawazo yaliyo uteka ufahamu wake. Alikuwa mbali sana kimawazo. MUNGU amsaidie
Can someone explain the meaning of the second road sign with a red line through the human head.
A sign of the presence of the mentally disabled. Wherever you see that symbol, you know there are mentally disabled people, so you should be more careful. Please subscribe
What does this sign means
A sign of the presence of the mentally disabled. Wherever you see that symbol, you know there are mentally disabled people, so you should be more careful. Please subscribe
Can someone help me translate what’s she saying to English..
A sign of the presence of the mentally disabled. Wherever you see that symbol, you know there are mentally disabled people, so you should be more careful. Please subscribe
Bongo vituko akili zingine za ajabu
Boda boda mbwa sisi😂😂😂😂
Hamkujiandaa na huo mradi Bora mwqchane nao kwa sababu kila siku manenomaneno tu hakuna macho fanya! Hapo miundo mbinu itaanza kuhalibika kwa sababu haitumiki kwa Nini msianze na ruti za Dar na Kilosa miundo mbinu so imekamilika mnasubiri Nini hapo?
huyo boda boda mjinga kwl. xaxa hapo akamatwe na traffic police aseme anaonewa kwl jqmani
Hiyo imetengenezwa.
HUYU JAMAA BODABODA ALITAKA KUJIPATIA UMAARUFU BADALA YAKE AMEFAIDI KIFUNGO JELA! 🤔 SAFI SANA! 🙏
Jamani huyu dreva wa garimoshi anastahili kupewa tuzo ya umakini na kuheshimu sheria ya salama barabarani!
Uyu boda co mzmawa akili
Yani kweli Dunia bila vituko haiend😅😅😅🤣
Saf
🇪🇸👍👍👍❤️
WEKENI VIZUIZI NA TAA NYEKUNDU. SEREKALI ACHENI LAWAMA.
Hii move huyu camera man alikua anajua hayo atoe video zote hizo
waendesha pikipiki wengi wao ni watumiaji Wa miharadati hujitoa ufahamu ni vichwa Ngumu sana ndio maana mh Lema anasema sio kazi ni kazi imeandaliwa na ccm kuua vijana kwa Sababu com inajua vijana wengi ni vichwa Ngumu na walevi kivipi waendeshe piki piki? Kama sio wauawe tu.
Tuendelee kukumbushana na kupeana elimu juu ya Usalama Barabarani. Ndio njia pekee ya kupunguza ajali!
Ivi kwenye pikpik wameweka madawa gani mbona vijana wanajitoa ufahamu
Tuendelee kukumbushana na kupeana elimu juu ya Usalama Barabarani. Ndio njia pekee ya kupunguza ajali!
na huo wa kushoto mbona huizungumzi
Ishara hiyo ndio anasimamisha yote, mkono wa kushoto ndio unasimamisha magari ya nyuma
duuu
Sawaa kamanda asante kwa elimu
Sambaza upendo, watumie link na wengine wapate elimu.
Safi Sana doctor dudu wachawi pumbu Chini mtamchukia Sana kenge vumbi nyie
Mtu Kazi Afande Ben tunashukuru sana kwa kuendelea kutuelimisha Wananchi juu ya elimu ya usalama Barabarani 🙏
Tupo kuhakikisha elimu inamfikia kila mtu. Endelea kutufuatilia
nashukuru sana nmepata elimu hapo
Hongera kwa kuelimika. Chukua hatua katika kuhakikisha unasafiri salama. Usiache kuwashirikisha marafiki.
Elimu nzuri sana
Karibu, endelea kuwa karibu na Elimika Uishi kwa elimu zaidi
Bus Zinatembea rakimoja kilometa kweli
Hatujakupata vema kaka!
Wow. Nimeelimika sikua najua hiyo ALAMA. Thanx
Hongera kwa kuelimika. Sambaza kwa marafiki nao waelimike.
Asante kwa Elimu nzuri
Endelea kutufuatilia!
Madereva wako sawa tatizo asikari ndo chenga
Shida inaanza kwetu kabla ya kufika kwa askari.
Pia nami nimejifunza Leo asante sana
Hongera, uwe karibu na channel yetu kwa elimu sahihi.
🤝🤝
Elim nzur saf sana ila mara nying mnasimamisha gar sehem ambayo aina parking..
Ndugu yangu Mussa, madereva hao kutokana na ushindani wao wanawaza kublock njia tu ili mabasi mengine yasiwapite.
Asanteni kwa elimu nzuri ya usalama barabarani
🙏🙏
Asanteni sana kwa elimu. 🙏🙏
Karibu, maswali na ushauri tunapokea.
Nawapongeza kwa elimu bora yenye kuleta matokeo chanya kwa jamii, kwani inafika kwa upesi na haibagui wakumfikia katika hii jamii 🤝. . . Swali langu ni je hili kundi ambao haliko katika mitandao ya kijamii mnatumia njia gani kuweza kufikisha hii elimu kwani tunaamini ndiyo kundi kubwa zaidi kuliko hili kundi la mtaoni? . . Mapendekezo yangu ni haya kutengeneza kundi/vikundi litakalojihusisha kutoa semina mashuleni, vyuoni, maeneo ya kazi/taasisi fulani (ziwe za kiserikali au binafsi) huku kukiwa na vijarida vidogo x2 vyenye masomo hayo. Na kama tukienda mbali zaidi tutengeneze programme kama zile za ubongo kids zikiwa na ujumbe wa usalama barabarani(elimika uishi). . . Binafsi nawaunga mkono kwa mnachokifanya HONGERA SANA "ELIMIKA UISHI" 👏👏👏
Asante kwa ushauri na pongezi. Tayari tumeshaanza mashuleni hasa shule za msingi na vijiwe vya bodaboda na taxi. Tunawaza kwenda mbali zaidi ili tuweze kuzifikia TV na Radio. Dhamira yetu ni kuhakikisha elimu hii inamfikia kila mtumia barabara
Pamoja sana
🙏🙏🙏🙏