- 14
- 65 993
Kilimo Maarifa Tv
เข้าร่วมเมื่อ 11 เม.ย. 2021
channel hii inahusu maswala ya teknolojia, kilimo, ufugaji, na njia bora zinazotumika shambani ikiwemo mifumo ya umwagiliaji drip irrigation, sprinkler irrigation system, flood irrigation system, mashine na zana bora za kilimo, elimu kuhusu pump mbalimbali za maji na umwagiliaji
Pia katika channel hii tutaonyesha video zinazohusisha teknolojia mbalimbali za uzalishaji wa nishati ikiwemo solar panels, betri na mengineyo yahusuyo sayansi na teknolojia
Vile vile tutakuwa tunatangaza na kuuza bidhaa mbalimbali zinazohusihana na maswala ya kilimo, ufugaji, sayansi na teknolojia na mengineyo
Channel hii haihusiki na kutoa habari zozote zile zinahusu siasa, michezo,wasanii, udaku, na nyingine zisizohusiana na lengo tajwa hapo mwanzo juu
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kututafuta Whatsapp +255620354579 kwa ajili ya maswali au ushauri pamoja na kujionea bidhaa mbalimbali za kilimo pia waweza kupiga simu nambari 0620354579/ 0757420879
Email farmmushi@gmail.com
SUBSCRIBE
Instagram Mushifarm
Pia katika channel hii tutaonyesha video zinazohusisha teknolojia mbalimbali za uzalishaji wa nishati ikiwemo solar panels, betri na mengineyo yahusuyo sayansi na teknolojia
Vile vile tutakuwa tunatangaza na kuuza bidhaa mbalimbali zinazohusihana na maswala ya kilimo, ufugaji, sayansi na teknolojia na mengineyo
Channel hii haihusiki na kutoa habari zozote zile zinahusu siasa, michezo,wasanii, udaku, na nyingine zisizohusiana na lengo tajwa hapo mwanzo juu
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kututafuta Whatsapp +255620354579 kwa ajili ya maswali au ushauri pamoja na kujionea bidhaa mbalimbali za kilimo pia waweza kupiga simu nambari 0620354579/ 0757420879
Email farmmushi@gmail.com
SUBSCRIBE
Instagram Mushifarm
Mashine ya kunyonyolea kuku/ Nyonyoa kuku wanne Kwa dakika Moja Kwa kutumia mashine hii
Mashine ya kunyonyolea kuku
Mashine ya kunyonyoa kuku
Mashine ya kunyonyoa kuku
มุมมอง: 30
วีดีโอ
Pampu za sola za visima vya kuchimba kwa mkono kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji/ solar water pump
มุมมอง 539หลายเดือนก่อน
Solar water pump in Tanzania Pump za solar za umwagiliaji zisizotumia mafuta na zinafanya kazi mchana kutwa Kwa nguvu ya jua tu Pump hizi ulizoziona kwenye video ni za visima vifupi vya kuchimba kwa mkono au mashine zinafanya kazi mpaka kisima cha mita 40 Pump za solar za visima virefu mpaka mita 180 pia zipo Pump za solar zenye kutoa maji mengi zaidi pia zipo
pump ya solar ya kisima cha mita 20 uwezo WA kusukuma Lita 1000 Kwa saa ukubwa wa solar watts 320
มุมมอง 672 หลายเดือนก่อน
pump ya solar ya kisima cha mita 20 uwezo WA kusukuma Lita 1000 Kwa saa ukubwa wa solar watts 320
Pampu ya solar ya horsepower 2 imefungwa kisima cha Mita 70
มุมมอง 4676 หลายเดือนก่อน
Pampu ya solar ya horsepower 2 imefungwa kisima cha Mita 70
Pampu ya solar watts 250 na panel ya watts 320 piga 0620354579
มุมมอง 805ปีที่แล้ว
Pampu ya solar watts 250 na panel ya watts 320 piga 0620354579
Kilimo cha umwagiliaji kwenye alizeti /Kilimo cha alizeti kumwagilia kwa kutumia sprinkler
มุมมอง 1.9Kปีที่แล้ว
Kilimo cha alizeti kumwagilia eka Mbili Kwa saa Kwa njia ya sprinkler kurusha maji kama mvua
Kilimo cha ndizi migomba kwa mfumo wa umwagiliaji wa matone yaani drip irrigation system ktk ndizi
มุมมอง 2.8Kปีที่แล้ว
kilimo cha umwagiliaji katika shamba la ndizi na migomba kwa mfumo wa drip irrigation system yaani umwagiliaji wa matone kwa maelezo zaidi piga 0620354579 au tuma message WhatsApp
Bomba la kupiga dawa shambani linalotumia solar na battery linapiga dawa automatic hutumii nguvu
มุมมอง 1.3Kปีที่แล้ว
Bomba la kupiga dawa shambani linalotumia solar na battery linapiga dawa automatic hutumii nguvu
Pampu za kuvuta maji kisimani na umwagiliaji kutoka kwenye kisima baada ya kuchimba kisima cha maji
มุมมอง 10Kปีที่แล้ว
pampu ya kuvuta maji kisimani inayotumia umeme, pampu ya umwagiliaji unayotakiwa kuwa nayo unapomaliza kuchimba kisima chako Hii ni pampu ya umeme ya kuvuta maji kisimani na kupandisha juu kwenye tank kama utahitaji pampu hii au pampu za solar zinazotumia umeme wa jua usisite kutupigia simu No. 0620354579 WhatsApp tunapatikana pia waweza tuma message. Pampu nzuri kwa kilimo cha umwagiliaji na k...
Kilimo cha vitunguu umwagiliaji kwa Pampu za maji za solar na drip irrigation matone solar pumps JUA
มุมมอง 11K2 ปีที่แล้ว
Kujua bei ya bidhaa gusa link hii tuchat Whatsapp 0620354579 au piga simu wa.me/message/SFOROD7BXTIBN1 Kujifunza mfumo wa umwagiliaji Kwa njia ya matone drip irrigation system gusa link hii th-cam.com/video/1s2a-_m3pJo/w-d-xo.html Umwagiliaji Kwa njia ya Sprinkler irrigation system gusa link hii hapa kuzitama th-cam.com/video/mme5zmQWtek/w-d-xo.html Uchimbaji wa visima vya maji water drilling g...
Umwagiliaji kwa njia ya sprinkler irrigation kilimo cha umwagiliaji
มุมมอง 13K2 ปีที่แล้ว
kilimo cha umwagiliaji kwa njia ya sprinkler irrigation kwa ajili ya ukoka, garden na mashamba Katika video hii nimeonyesha jinsi ya kusakinisha mfumo wa umwagiliaji wa vinyunyizio kwenye bustani au shamba lako Ili mfumo wa umwagiliaji wa vinyunyizio ufanye kazi vizuri ni lazima maji yawe katika shinikizo la kutosha na kiwango cha mtiririko na hii inafanikiwa kwa kutumia pampu ya maji ikiwa maj...
Umwagiliaji kwa njia ya matone/drip irrigation, kilimo cha umwagiliaji.Kilimo cha migomba, ndizi
มุมมอง 10K2 ปีที่แล้ว
Mfumo wa umwagiliaji kwa njia ya matone drip irrigation system Kwa ajili ya shamba la mboga mboga matunda na miti ya matunda kama papai, parachichi, migomba, pasheni, maembe na kilimo cha mazao mengineyo mbalimbali Ukihitaji kufungiwa mfumo huu wa umwagiliaji tutafute kupitia namba 0620354579 au 0757420879 Kwa mawasiliano zaidi unaweza kupiga simu au kutuma ujumbe Whatsapp
wachimbaji wa visima vya maji, Tizama jinsi ya kuchimba kisima cha maji mwanzo hadi mwisho
มุมมอง 12K2 ปีที่แล้ว
jinsi uchimbaji wa kisima unavyofanyika namna ya kuchimba kisima kwa njia ya gari wachimbaji wa visima
Mashine ya kunyolea kuku / mashine za kunyonyoa kuku manyoya na kutotolesha vifaranga
มุมมอง 2.2K2 ปีที่แล้ว
Mashine ya kunyolea manyoya ya kuku, bata, zinapatikana piga 0620354579 au 0757420879 ujipatie mashine hizi
Bie gani
Machine ya kunyonyolea kuku ni Bei Gani?
Hatua za kufuata wakati wa kutumia th-cam.com/video/zpOfE6mRvAA/w-d-xo.html
Ina uwezo wa kunyonyoa kuku wangapi kwa Mara moja, na umeme vp haili Sana?
Wanne Kwa dakika moja
Bei gan hy
Mnachimbia Bei gani naitaji kaka
Habari, hapo fanya masahihisho siyo PVC pipe ni polypipe
Bei gani
Hi nibei gan
Hi nibei gan
Na kwa upande wa Zanzibar Pemba galama ni kiasigani
Nikiwa maeneo ya dodoma kondoa kuchimba kisima cha maji ya nyumbani Ni galama kiasigani
Nauliza tena nahitaji mwezi wa 7 2024 nataka huduma ya maji mkon lindi bei tafadhali
Piga 0620354579
Mnapatikana wap
H.p ngapi hiyo na ni bei gani
Hp2 piga 0620354579
Kweye slop inawezekana??
Ndio piga 0620354579
Nahitaji huduma
Piga 0620354579
Wapi zinapatikana
Mesafe atiyor
HBR pump ya kupiga dawa sh ngapi hiyo ya mgongoni?
Inagharama yake shilingi ngapi
Piga 0620354579
Hii ni bei gani
Hii ni bei gani
Pampu ikiwa aipandishi maji shida nini
Bei gan?
Shingp
Mnapatikana wapi
Vp kwa nje ya inchi mnafuka hudumia?
Ndio
bei na zake tupate
Nipate wapi hii solar pump in kenya
+255620354579
Shingapi solar water pumpu
Piga 0620354579
Nimendakazi zenu
Bei tsh..
650,000 piga 0620354579
Mnauza bei gn?
Piga 0620354579 hii inauzwa 650,000
bei gani?
Piga 0620354879 bei 650,000
zinapatkanawapi
zinapatilanawapi
Bei gani mnauza
Piga 0620354579
Hivi huwa mnafungua you tube channel kwa ajili gani iwapo hamjibu maswali mnayoulizwa?
Namba za simu zipo hapo piga
bei
🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉
Good vedeo 🎉🎉🎉🎉
Pamp siz ya muicho(ndogo) munauza ngapi?
Mnauza bei gani ?
Hizi shughuli bei ndio changamoto kwa wengi ndio maana huwa tunauliza tu nakusepa bei bei bei 😢😢
Jamani VIP mtu km yupo Zanzibar
Naomba mnipigie nahitaji kwaajili ya shambani