1wakornto8:6. Je Mungu n utatu ?????? Jibu
Kumbe ufahamu wa kusema Yesu n Mwana wa Mungu n Mpaka Baba awe amekufunulia❤ Bible.
Nabarikiwa kutoka NYAMONGO kanisa la KWIMANGE. BY GIDIONI BOAZI.
yapendeza sana
amina sana kupanda kwa ukarimu
Mbarikiwe sana🙏
Naomba namba za mchungaji mkama nyamajeje
Bwana atukuzwe sana
Asante hope channel kwa nyimbo pambee za sifa , nyimbo zinazotuliza nafsi zote zenye mashaka
Wapi sautiii!!!
Wow, beroya mission Choir blessed
Amen nabarikiwa sanaaaas
mtandao unasumbua au
❤❤❤❤
Amina
Nabarikiwa sana
aminaaa
Mungu awabariki kwa nyimbo nzuri zenye ujumbe Beroya mission nabarikiwa sanaaaa
Mnaweza kupunguza sauti za vyombo itakuwa poa
Hogerani bunda advents singer hogera sana tuna barikiwa na nyimbo zenu mungu awabariki
Tunabarikiwa , hii kwaya ya wapi?
Barikiweni Jamani nikiwa nawafatiria kutoka hapa GEITA,katoro
Barikiweni sana Miembeni, nimewamiss mnoo. Muwe na makambi mema
Mnazidi kutupandishia kiwango cha imani, barikiweni sana.
asante tunawapata mubashara kutoka dar es salaam
tunaendelea kubarikiwa sana kutoka dar es salaam
Sauti inakuwa changamoto sana
Nawapata sana kutoka hapa nyamongo
Naitwa baraka francis manyama kutoka namagubo mtaa wa nansio ukerewe Nabarikiwa nakipindi hiki cha uimbaji
Amen🙏
Kipindi kizuri sana❤❤❤
Tumaini kuu hakika mtafika mbali Mungu azid kuwabali kwakweli 🙏🙏🙏 Joseph Elias mjini kati
Amna sana hakika tunabalikiwa
Amina kabisa hakika makambi yamenoga kweli kweli nyimbo nzuri za kumtukuza mungu ,ni josephu Elias mshiliki wa mjini kati
Kipindi kizuri sana Hope Mara Barikiwa
Drone ilisumbua so inabidi mrekebishe
Amina kwaya zote ila Agape International wametisha sana
Kweli brother
Kuja tv machweo
Amina kubwa
Bwana Atukuzwe Mkendo!
Ubarikiwe kwa kuamua kumtanguliza Mungu.Mungu akuwezeshe kumpatia moyo wako pia.
Mungu azidi kukutumia Brother...
Aamen
Barikiwa
Mungu hawa nasi sikuzote naomba mwombe familia yangu wazazi wote wapate kumjua mungu na wawe wakikusanyika kwenda sabato kwa kila juma la sabato nashukuru am joshua from kenya Amen
Wimbo mzuri ajabu, "Fungua moyo apite" Usitange mbali naye, Ni rafiki wa kweli atakuumba upya. Ahsante sana Furaha Adventist choir
Happy Sabbath
Well done
Amina Kubwa! Barikiwa mno Lecturer wangu! Pr & Dr Lucas Nzungu!!