MAI TV
MAI TV
  • 130
  • 1 689 851
Mai Tv
NGORONGORO MSIKUBALI KUTUMIKA VIBAYA NA WATU WENYE NIA MBAYA; LUKUVI.
Na Mwandishi wetu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi amewatahadharisha wananchi wa tarafa ya Ngorongoro kutokubali kutumika na mtu au vikundi vya watu wenye nia mbaya hususan kupitia baadhi ya mitandao ya kijamii kwani kwa kufanya hivyo kutaharibu maisha yao na taswira ya nchi kwa ujumla.
Waziri Lukuvi amesema wananchi wa tarafa ya Ngorongoro ni watanzania na wana haki sawa kama watanzania wengine, hivyo wana wajibu wa kusimamia maslahi ya nchi yao na kuepuka mbinu zozote zile zenye lengo la kuharibu Amani, utulivu, taswira ya nchi.
Waziri huyo ameongeza kuwa “Watalii hawa mnaoona wanaokuja kutembelea Ngorongoro ndio wanaotufanya tuwajengee miundombinu na huduma za kijamii, ndio wanaolipa mishahara watumishi wanaowahudumia, kwa hiyo nawaasa msirubuniwe na watu wa aina hii , mtakosa hifadhi, mtakosa huduma muhimu kama mtakubali kuingia kwenye mtego wao”, amefaf
Akizungumza katika mikutano hiyo Mkuu wa Mkoa wa Arusha mheshimiwa Paul Makonda amewashukuru wananchi hao kwa kuendelea kudumisha amani na utulivu na kusema kuwa hali hiyo imetoa heshima kubwa kwa mkoa huo na taifa kwa ujumla.
“Nawapongeza wananchi wa tarafa ya Ngorongoro kwa kuwa kudumisha Amani na utulivu hasa katika kipindi chote cha siku tano mlichokuwa na madai yenu, utulivu wenu ndio uliowezesha shughuli za utalii kuendelea bila changamoto yoyote katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro” amesisitiza Mhe. Makonda.
Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro siku chache zizopita walikuwa wanaiomba serikali kufuta tangazo la kutokufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji katika eneo hilo kwa maelezo kwamba zoezi la wananchi kuhama kutoka Ngorongoro kwenda Msomera na maeneo mengine ni la hiari.
Imeandikwa na Claudia Emmanuel #maitv
มุมมอง: 10

วีดีโอ

UTATA KIFO CHA MAREHEM PENINA-SAKATA LINAENDELEA NA LILIVYOKUA BAADA YA KIFO CHAKE
มุมมอง 165หลายเดือนก่อน
UTATA KIFO CHA MAREHEM PENINA-SAKATA LINAENDELEA NA LILIVYOKUA BAADA YA KIFO CHAKE
WASANII NCHINI TANZANIA KULA MATUNDA YA MH-RAHIS SAMIA SURUHU HASSANI
มุมมอง 158หลายเดือนก่อน
WASANII NCHINI TANZANIA KULA MATUNDA YA MH-RAHIS SAMIA SURUHU HASSANI
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema “
มุมมอง 1672 หลายเดือนก่อน
Makonda amesema hayo wakati akiongea na Wadau mbalimbali wa maendeleo Mkoani Arusha leo July 08,2024 ambapo amesema lengo ni kuvutia zaidi Wageni na Watalii kufika Mkoani Arusha ili kuwa chachu ya kukuza uchumi wa Mkoa huo. “Lengo letu sisi ni hatutaki kuwa na high season au low season, tunataka kutengeneza shughuli na matukio mbalimbali kuhakikisha kuwa muda wote uchumi unakuwa na kuendelea il...
Mama au Mlezi mpeleke mwanao Rajoy daycare and Preshool
มุมมอง 1032 หลายเดือนก่อน
Mama au Mlezi mpeleke mwanao Rajoy daycare and Preshool
Barnaba alikuwa na wanawake 10
มุมมอง 1262 หลายเดือนก่อน
Barnaba alikuwa na wanawake 10
AGREY AVUNJA UKIMYA ASEMA SINA MAAMBUKIZI YA HIV
มุมมอง 5222 หลายเดือนก่อน
Staa wa filamu Tanzania aibuka na kuwajibu waliosambaza video yake kwamba yeye hana ma’am Bukuze ile Dawa ni ya mtu mwingine sio yake Bado wananchi wengine wali jitokeza kwenye Comments na kusema Inasemekena Nyika alikuwa amezidiwa na kilevi akateleza na kurejea msemo wa Mchekeshaji Dullah kukigusa kilauri kaa mbali na simu Mai tv hatuongezi wala hatupunguzi
28 June 2024
มุมมอง 432 หลายเดือนก่อน
Nadhani unaukumbuka msiba uliotikisa Goba nzima Msiba wa yule marehemu Penina aliyekatwa mapanga na mchumbaake Jumapili ndio 40 yake, Baada ya mazishi mai tv tukayatafuta mawili matatu tukaenda kwenye biashara yake na kuelezwa haya ! Pumzika mahali pema peponi Penina🙏 Kwa habari kamili bonyeza link kwa bio yangu Comment like share (You tube-maitv)
JE NI KWELI DIAMOND-VIPI KUHUSU UKARIBU WAKE NA MAMA YAKE-TATIZO NI NINI-WHY WANAWAKE WENGI KUTOKA.
มุมมอง 1182 หลายเดือนก่อน
JE NI KWELI DIAMOND-VIPI KUHUSU UKARIBU WAKE NA MAMA YAKE-TATIZO NI NINI-WHY WANAWAKE WENGI KUTOKA.
BABA ALIEMWINGILIA MTOTO WAKE KIMWILI NYUMA NA MBELE ALIVOKAMATWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI.
มุมมอง 1.3K3 หลายเดือนก่อน
BABA ALIEMWINGILIA MTOTO WAKE KIMWILI NYUMA NA MBELE ALIVOKAMATWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI.
WASANII WOTE WAKISHIRIKIANA NABII ROLINGA KUANDAA MKUTANO
มุมมอง 523 หลายเดือนก่อน
WASANII WOTE WAKISHIRIKIANA NABII ROLINGA KUANDAA MKUTANO
SEHEMU YA PILI-BABA AMWINGILIA MWANAE KIMWILI NA KUMWARIBU SEHEMU ZOTE ZA SIRI.
มุมมอง 1.3K3 หลายเดือนก่อน
SEHEMU YA PILI-BABA AMWINGILIA MWANAE KIMWILI NA KUMWARIBU SEHEMU ZOTE ZA SIRI.
BABA AMWINGILIA KIMWILI MTOTO WAKE NA KUMWARIBU VIBAYA SEHEMU ZOTE ZA SIRI Part -01
มุมมอง 2.6K3 หลายเดือนก่อน
BABA AMWINGILIA KIMWILI MTOTO WAKE NA KUMWARIBU VIBAYA SEHEMU ZOTE ZA SIRI Part -01
MUME WA JANET-AKIRI KUMUINGILIA NA MFUKO.MAI ALIA DAAAAH HURUMA SANA
มุมมอง 8K3 หลายเดือนก่อน
MUME WA JANET-AKIRI KUMUINGILIA NA MFUKO.MAI ALIA DAAAAH HURUMA SANA
ANAMUINGILIA MWANANGU NA MFUKO-MWANANGU AMETESEKA SANA-MAMA MZAZI AONGEA KWA UCHUNGU SANA.
มุมมอง 4K3 หลายเดือนก่อน
ANAMUINGILIA MWANANGU NA MFUKO-MWANANGU AMETESEKA SANA-MAMA MZAZI AONGEA KWA UCHUNGU SANA.
AHMED ALI MSEMAJI WA SIMBA AKUTANA AHMED ALI MCHONGO-
มุมมอง 3.1K3 หลายเดือนก่อน
AHMED ALI MSEMAJI WA SIMBA AKUTANA AHMED ALI MCHONGO-
MUME WANGU ANANIINGILIA KWA KUTUMIA MIFUKO YA PLASTIKI-MKE WA AMOROSO SAUND
มุมมอง 26K3 หลายเดือนก่อน
MUME WANGU ANANIINGILIA KWA KUTUMIA MIFUKO YA PLASTIKI-MKE WA AMOROSO SAUND
BUSU LA POSH NA MACHO YAKE AKINIANGALIA TU BASI
มุมมอง 583 หลายเดือนก่อน
BUSU LA POSH NA MACHO YAKE AKINIANGALIA TU BASI
MAI ABANANISHWA NA WAANDISHI WA HABARI UTAMUONEA HURUMA.
มุมมอง 893 หลายเดือนก่อน
MAI ABANANISHWA NA WAANDISHI WA HABARI UTAMUONEA HURUMA.
POSHI AMEFUNGUKA HAYA MANENO LEO-SIO SHIDA ZANGU UTAJUA WEWE NA BWANA WAKO
มุมมอง 1.2K4 หลายเดือนก่อน
POSHI AMEFUNGUKA HAYA MANENO LEO-SIO SHIDA ZANGU UTAJUA WEWE NA BWANA WAKO
WASANII NA VIONGOZI PAMOJA WANANCHI WAJIANDAA KUHUPOKEA MWENGE WA UHURU MKURANGA
มุมมอง 454 หลายเดือนก่อน
WASANII NA VIONGOZI PAMOJA WANANCHI WAJIANDAA KUHUPOKEA MWENGE WA UHURU MKURANGA
SAMIA NI TUNU KWA WATANZANIA WOTE,SAFARI YA UTURUKI IMEJIPA SANAAAAA
มุมมอง 274 หลายเดือนก่อน
SAMIA NI TUNU KWA WATANZANIA WOTE,SAFARI YA UTURUKI IMEJIPA SANAAAAA
SIMANZI NA HUZUNI KWENYE KUAGA MWILI WA GADNER LEO.
มุมมอง 3734 หลายเดือนก่อน
SIMANZI NA HUZUNI KWENYE KUAGA MWILI WA GADNER LEO.
SUZI BALE ALIVYOMGEUKA MENEJA WAKE-PESA NDIO CHANZO NA UTAPELI,USHAMBA TU.
มุมมอง 2.5K4 หลายเดือนก่อน
SUZI BALE ALIVYOMGEUKA MENEJA WAKE-PESA NDIO CHANZO NA UTAPELI,USHAMBA TU.
MAKONDA-MIMI NI MTEULE KUTOKA KWA MUNGU-ARUSHA IKO SALAMA SASA.
มุมมอง 1044 หลายเดือนก่อน
MAKONDA-MIMI NI MTEULE KUTOKA KWA MUNGU-ARUSHA IKO SALAMA SASA.
WANATUINGILIA KWA NGUVU KILA USIKU,BABA ASMULIA KWA UCHUNGU SANA
มุมมอง 5K4 หลายเดือนก่อน
WANATUINGILIA KWA NGUVU KILA USIKU,BABA ASMULIA KWA UCHUNGU SANA
FAMILIA INALAWITIWA KILA SIKU TUNAOMBA MSAADA...PARTY 2
มุมมอง 12K5 หลายเดือนก่อน
FAMILIA INALAWITIWA KILA SIKU TUNAOMBA MSAADA...PARTY 2
FAMILIA HII INALAWITIWA KILA SIKU INAOMBA MSAADA KHARI NI MBAYA SANA
มุมมอง 3.3K5 หลายเดือนก่อน
FAMILIA HII INALAWITIWA KILA SIKU INAOMBA MSAADA KHARI NI MBAYA SANA
MASHEKHE WATOA KAULI TATA KUHUSU DAIMOND-KUSHIKA BIBLIA WATOA TAMKO LASMI LEO.
มุมมอง 5165 หลายเดือนก่อน
MASHEKHE WATOA KAULI TATA KUHUSU DAIMOND-KUSHIKA BIBLIA WATOA TAMKO LASMI LEO.
NATAKA NDOA SASA,ACHA UTOTO UNIOE
มุมมอง 1455 หลายเดือนก่อน
NATAKA NDOA SASA,ACHA UTOTO UNIOE

ความคิดเห็น

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 22 วันที่ผ่านมา

    Ni comedy au?

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 23 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana mungu yupo ata simama kwajili yenu.

  • @HagaiPalla
    @HagaiPalla หลายเดือนก่อน

    Yaaaaan nyiee waongoo mmefiwa na mtot munaongea hivyooo jmn

  • @user-uo7us8gg8t
    @user-uo7us8gg8t หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji huna akili

  • @KidaPangani-yr2yv
    @KidaPangani-yr2yv หลายเดือนก่อน

    Yan huyu Dem hafai hata kuwa mdada wa kazi wa mzee yusuph halafu cyo mtoto ni kijitu kizima kimekomaa hatar wakat unachit na mzee mbona hujatushirikisha sahivi umeachwa ndo unalia Lia kubali kuachwa kizee wewe ukiachwa achika

  • @perucebuhomaosward8512
    @perucebuhomaosward8512 หลายเดือนก่อน

    Hatareeee❤

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja หลายเดือนก่อน

    😂😂wanapiga hela

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 2 หลายเดือนก่อน

    Dada ulio yatafuta ume yapata sasa tulia nenda ukale mimba mze Yusuf ni muhuni

  • @NeysmophathMopha
    @NeysmophathMopha 2 หลายเดือนก่อน

    Ila wew huyo ashakuwa wako ucjal

  • @FadhilFadhil-zr1xs
    @FadhilFadhil-zr1xs 2 หลายเดือนก่อน

    Muongo umetumwa na watu wasiompenda reila ila mtashidwa

  • @user-kw4yn3vq2v
    @user-kw4yn3vq2v 2 หลายเดือนก่อน

    Uongoooooo

  • @dunstankihaa2383
    @dunstankihaa2383 2 หลายเดือนก่อน

    Simulia vzr hao watu ni wa wap? Anza kucmulia vzr hata havielewk

  • @user-wl5wl6cu9w
    @user-wl5wl6cu9w 2 หลายเดือนก่อน

    Hao wanao wafanyia wakamatwe

  • @RoseGasto
    @RoseGasto 2 หลายเดือนก่อน

    Serikali iangalie hili kila leo watoto kubakwa na rahia wanaachiwa uhuru sasa unafikili vitende vitaisha vipi mungu atusaidie vizazi vyetu

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 3 หลายเดือนก่อน

    Maneno machafu mbele ya watoto jamani… hao watoto wanajifunza nini?? Ndio maana matukio hayamalizi.

  • @LovenessDaud
    @LovenessDaud 3 หลายเดือนก่อน

    Kuna mambo mengine hata sio ya kuchekesha Kwa akili zangu fupi sijaelewa hawa watu wanacheka Nini au ni kipi kinachowafurahisha 😭😭

  • @user-yb6wh1bk9d
    @user-yb6wh1bk9d 3 หลายเดือนก่อน

    Anziya maisha hvyo vitu fanya biyashara kubwa utunze wtt pesa ya baba yao huo sio wizi

  • @user-yb6wh1bk9d
    @user-yb6wh1bk9d 3 หลายเดือนก่อน

    Heee kuchukua pesa kwa mumewe wizi wakati hana huduma ni sawa tu alivyo chukua ili vimsaidie ww muandishi kweli huna msaada hpo nilikutetea

  • @user-yb6wh1bk9d
    @user-yb6wh1bk9d 3 หลายเดือนก่อน

    Muongo hakuna uwislam unao ruhusu kutoa mimba ht km ya cku ni zambi kubwa

  • @user-yb6wh1bk9d
    @user-yb6wh1bk9d 3 หลายเดือนก่อน

    Ndomana huyo mkewe kaamuwa kwanza akatafute pesa bora asiteseke

  • @user-yb6wh1bk9d
    @user-yb6wh1bk9d 3 หลายเดือนก่อน

    Ila huyo kafanya ujinga mmoja huyo kamtamani tu mwengine anaweza kuowa kukurizusha tu huyo kaona mkewe hayupo ana ham akaona akuowe kwa muda tu anakuficha kwasbbu anajua anacho kifanya anae julikana mkewe yule aliekuwa dubai ss ww ukazaa nae tena wtt wawili mtu ana mke wk arabuni alikuowa tu kwa muda tu huyo

  • @innocentshayo9341
    @innocentshayo9341 3 หลายเดือนก่อน

    Asilimia 80 ya wamama hapo kwenye hiyo jamii wamechubuka mpaka wamekua wekundu😅

  • @MamaZahra-xu9du
    @MamaZahra-xu9du 3 หลายเดือนก่อน

    Yan mambo ya kikatili yanafanyika, wew unaleta ujinga na umbea,wakat hata haihusiani, hiv umesomea wap huo utangazaj

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona wanawake tu

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 3 หลายเดือนก่อน

    Dada mai mbona wamtembeza kama sale

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 3 หลายเดือนก่อน

    Kadi lalke ninalo lamilembe aje alichukue

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani Toka mdogo mpka leo hapana ,mm pia siamini

    • @OmanOman-dd5qk
      @OmanOman-dd5qk 3 หลายเดือนก่อน

      Itakua kapata bwana mwengine baba tena basi

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 3 หลายเดือนก่อน

    Bint nae tokea class 4 upo kimya why????

  • @ZainabSimith-ey6vm
    @ZainabSimith-ey6vm 3 หลายเดือนก่อน

    Selekari haipo mbona vitu hivi vinazidi daaa hatuna viongozi khaa

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 3 หลายเดือนก่อน

    Uswahilini raha sana.

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 3 หลายเดือนก่อน

    Toba yarabi akishikwa watauwa safi wananchi wenzangu matendo mabaya yamezidi ubakaji mauwaji kila kona 😭😭😭

  • @aishaathuman6445
    @aishaathuman6445 3 หลายเดือนก่อน

    Ila uyu dada kuna salon zaman aliwai kwenda kusuka akasema.narudi sasa ivi ndio akurudi. Ilikuwa.zaman san

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 หลายเดือนก่อน

    SASA KAMA POLICE WANAMTAFUTA SASA WEWE POLICE?.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 หลายเดือนก่อน

    Onyesha SURA ya muharifu , usionyeshe ya huyo mtoto.

  • @StellahLivogah
    @StellahLivogah 3 หลายเดือนก่อน

    Uyu mtangazi simpendi hatal kwenye mambo ya maana analeta ujinga fyuuuu hana lolotre

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani 3 หลายเดือนก่อน

    Sio mama huyo

  • @rendozrendo7804
    @rendozrendo7804 3 หลายเดือนก่อน

    Hao huwa wanaenda kwa waganga kutafuta utajiri, sasa wakishatapeliwa sana, mganga anamwambia baka mwanao au baka motor, sasa hapo mganga anakuwa kamuuzia kesi bila mbakaji kujua kuwa anasukumiwa shimoni.na wanawake wanaambiwa wakaoge au wapande ungo. Lakini nia ya mganga ni kumtoa kwenye anga zake. Kwa kuwa anakuwa amemtapeli. Na mganga anakuwa na nia mbaya kwani anajua ukibaka unafungwa au kupigwa mpk ufe. Na mwanamke vile vile ukikamatwa unawanga ukikamatwa imekula kwako. Jamani watu acheni ushirikina, matapeli wanawaibia na kuwaingiza ktik majanga. Sasa kuna wengine wananogewa kama huyo wa mwananyamala.

  • @ReginaErnest-cf6ji
    @ReginaErnest-cf6ji 3 หลายเดือนก่อน

    Duu dunia

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 3 หลายเดือนก่อน

    Jesus 😮

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 3 หลายเดือนก่อน

    Shida watu hawana taaruma ya habari ndio shida hii hapo unakuta hawabalance stori halafu hayo mambo hawana ushihidi nayo Sasa najiuliza je ikiwa hizo tuhuma za uongo mwandishi utafanya nn

  • @user-sd5zf6fz4v
    @user-sd5zf6fz4v 3 หลายเดือนก่อน

    Vibaya hivo

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu awasaidie

  • @user-ii6gs2jg4g
    @user-ii6gs2jg4g 3 หลายเดือนก่อน

    We unapata pesa kupitia habali za huyo mtt ila ye unamwanika katika jamii sio pw

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 3 หลายเดือนก่อน

    Mai hutakiwi kumuonyesha. Ongea tu usionyeshepicha yake.

  • @user-ft2vq5on6l
    @user-ft2vq5on6l 3 หลายเดือนก่อน

    Wee mai kama mwanao ungemuanika hivo kua na maadili kwanza

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 3 หลายเดือนก่อน

    Mai umekosea privacy ya huyo mtt unamuanika

  • @mariamrajabu7458
    @mariamrajabu7458 3 หลายเดือนก่อน

    Mai unafanya vibaya kuonyesha picha nikama unatangazia

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 3 หลายเดือนก่อน

      Ss yeyə anaetangaza apate msaada na huyo babaake anaemwingilia nani anafanya vibaya?

    • @mr.yahzadochuno7914
      @mr.yahzadochuno7914 3 หลายเดือนก่อน

      Kwedraa

    • @SafiyaJ-yw2vt
      @SafiyaJ-yw2vt 3 หลายเดือนก่อน

      Mh huyo baba ana laana mwanao mh 😢

  • @mariamrajabu7458
    @mariamrajabu7458 3 หลายเดือนก่อน

    Mh jamani

  • @user-ty1tp8ly8q
    @user-ty1tp8ly8q 3 หลายเดือนก่อน

    Mmh htr sana darasa pa nne hdi ss htr

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 หลายเดือนก่อน

    Subhanaallah binadamu tutambue kuwa rizki zetu inatoka kwa mwenyezi mungu ukiona ulimsaidia mwenzio basi hiyo rizki ulimsaidia basi ilitoka kwa mwenyezi mungu kupitia kwako wewe ili umsaidie mwenzio. Binadamu wacheni kujitamba na kujionyesha kuwa isinge kuwa mimi asinge kuwa pale je wewe ulio msaidia mwenzio unajiuliza ulifikaje mpaka ukapata hizo mali?