VANILLA KISARAWE INTERNATIONAL FARM
VANILLA KISARAWE INTERNATIONAL FARM
  • 96
  • 55 558

วีดีโอ

Mahubiri ya Moto ya Mwinjilisti Neema wa kanisa la Pentecoste Bagamoyo.
มุมมอง 732 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mahubiri ya Moto ya Mwinjilisti Neema wa kanisa la Pentecoste Bagamoyo.
KLPT Kerege Bagamoyo ibada yapamba moto Mungu ameonekana siku ya Leo.Karibu katika ibada zetu
มุมมอง 7114 วันที่ผ่านมา
KLPT Kerege Bagamoyo ibada yapamba moto Mungu ameonekana siku ya Leo.Karibu katika ibada zetu
Leo ni Ibada ya Watoto wa kanisa la KLPT Kerege Bagamoyo kwa Mch.Daniel Mlonga.wamefanya Vizuri mno
มุมมอง 9614 วันที่ผ่านมา
Leo ni Ibada ya Watoto wa kanisa la KLPT Kerege Bagamoyo kwa Mch.Daniel Mlonga.wamefanya Vizuri mno
Mlipuko wa Hatari Tanzania, Jihadhari na Matapeli wanajiit Credit Land wanaojifanya kukopesha Fedha.
มุมมอง 24021 วันที่ผ่านมา
Mlipuko wa Hatari Tanzania, Jihadhari na Matapeli wanajiit Credit Land wanaojifanya kukopesha Fedha.
Pastor Daniel Mlonga wa Kanisa la KLPT Kerege Bagamoyo anawakaribisha wote Kila siku ya Jumapili.
มุมมอง 19628 วันที่ผ่านมา
Pastor Daniel Mlonga wa Kanisa la KLPT Kerege Bagamoyo anawakaribisha wote Kila siku ya Jumapili.
Vanilla Kisarawe Sasa kumekucha,Karibu uwekeze, Sasa Bei inaongoza Duniani. Piga.0711 489 414 C.E.O.
มุมมอง 86หลายเดือนก่อน
Vanilla Kisarawe Sasa kumekucha,Karibu uwekeze, Sasa Bei inaongoza Duniani. Piga.0711 489 414 C.E.O.
Kisarawe ni Moto wa Vanilla tu! wekeza na sisi ufurahie mafanikio ya Kilimo Cha Vanilla.0711489414
มุมมอง 122หลายเดือนก่อน
Video from nuruyataifa
Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Asante Kumteua P.C.Makonda.
มุมมอง 220หลายเดือนก่อน
Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Asante Kumteua P.C.Makonda.
Mfumo wa Umwagiliaji Vanilla Kisarawe 0711489414 # Maji tunayo#Soko lipo# .Karibu sana uwekeze,
มุมมอง 82หลายเดือนก่อน
Mfumo wa Umwagiliaji Vanilla Kisarawe 0711489414 # Maji tunayo#Soko lipo# .Karibu sana uwekeze,
Umwagiliaji wa Vanilla Sasa umeanza rasmi Kilimo Vanilla kisarawe,wekeza Sasa piga 0711 489 414
มุมมอง 156หลายเดือนก่อน
Umwagiliaji wa Vanilla Sasa umeanza rasmi Kilimo Vanilla kisarawe,wekeza Sasa piga 0711 489 414
Avocado 🥑 inalipa njoo uwekeze Shamba Bure ukiwekeza VANILLA nayo usiiache nyuma 0711 489 414
มุมมอง 74หลายเดือนก่อน
Avocado 🥑 inalipa njoo uwekeze Shamba Bure ukiwekeza VANILLA nayo usiiache nyuma 0711 489 414
Vanilla Kisarawe karibu uwekeze punguzo asilimia 20. 0711 489414 Usichelewe Soko USA,Dubai,
มุมมอง 159หลายเดือนก่อน
Vanilla Kisarawe karibu uwekeze punguzo asilimia 20. 0711 489414 Usichelewe Soko USA,Dubai,
Vanilla Kisarawe imepamba moto,Sasa nimwendo wa kumiminika kuwekeza 0711489414 Wahi mapema
มุมมอง 61หลายเดือนก่อน
Vanilla Kisarawe imepamba moto,Sasa nimwendo wa kumiminika kuwekeza 0711489414 Wahi mapema
VANILLA KISARAWE IMETOA AJIRA KWA VIJANA NA AKINA MAMA KARIBU UWEKEZE 0711489414
มุมมอง 520หลายเดือนก่อน
VANILLA KISARAWE IMETOA AJIRA KWA VIJANA NA AKINA MAMA KARIBU UWEKEZE 0711489414
Vijana na Salamu kwa Mama Samia Rais,Vanilla Kisarawe International Farm.#Ajira tayari.
มุมมอง 2.7Kหลายเดือนก่อน
Vijana na Salamu kwa Mama Samia Rais,Vanilla Kisarawe International Farm.#Ajira tayari.
Vanilla Kisarawe ya kabidhi Gari la Wagonjwa Kijiji Cha Kisanga Kisarawe Pwani.# Tunaweza#karibu.
มุมมอง 80หลายเดือนก่อน
Vanilla Kisarawe ya kabidhi Gari la Wagonjwa Kijiji Cha Kisanga Kisarawe Pwani.# Tunaweza#karibu.
Vanilla Kisarawe imefanya maajabu makubwa Sana.0711 489 414
มุมมอง 115หลายเดือนก่อน
Vanilla Kisarawe imefanya maajabu makubwa Sana.0711 489 414
C.E.O wa Taasisi ya Nuru ya Taifa Tanzania / Vanilla Kisarawe ametoa msaada wa Gari la Wagonjwa.
มุมมอง 522 หลายเดือนก่อน
C.E.O wa Taasisi ya Nuru ya Taifa Tanzania / Vanilla Kisarawe ametoa msaada wa Gari la Wagonjwa.
Mshituko bei ya Vanilla Duniani USD 750 zinakuhusu,Ndiyo bei ya Sasa.Vanilla Kisarawe 0711489414
มุมมอง 3852 หลายเดือนก่อน
Mshituko bei ya Vanilla Duniani USD 750 zinakuhusu,Ndiyo bei ya Sasa.Vanilla Kisarawe 0711489414
Ujumbe wa Kilimo Cha Miwa ya Sukari na Vanilla kwa Watanzania C.E.O Kisarawe 0711489414 Mtema.
มุมมอง 1162 หลายเดือนก่อน
Ujumbe wa Kilimo Cha Miwa ya Sukari na Vanilla kwa Watanzania C.E.O Kisarawe 0711489414 Mtema.
Vanilla Kisarawe International Farm tuko na ugeni wa Mwenge. Hongera DC Kisarawe.
มุมมอง 1412 หลายเดือนก่อน
Vanilla Kisarawe International Farm tuko na ugeni wa Mwenge. Hongera DC Kisarawe.
C.E.O Gadiel Mtema wa Taasisi ya Nuru ya Taifa Tanzania ametoa msaada wa Ambulance kisanga Kisarawe
มุมมอง 1362 หลายเดือนก่อน
C.E.O Gadiel Mtema wa Taasisi ya Nuru ya Taifa Tanzania ametoa msaada wa Ambulance kisanga Kisarawe
Mkurugenzi wa Taasisi ya Nuru ya Taifa Tanzania Gadiel Mtema akabidhi Ambulance Kisanga Kisarawe.#
มุมมอง 492 หลายเดือนก่อน
Mkurugenzi wa Taasisi ya Nuru ya Taifa Tanzania Gadiel Mtema akabidhi Ambulance Kisanga Kisarawe.#
Vanilla Kisarawe ya kabidhi Gari ya Wagonjwa Kijiji Cha Kisanga.C.E.O Gadiel Mtema.0711 489414.
มุมมอง 582 หลายเดือนก่อน
Vanilla Kisarawe ya kabidhi Gari ya Wagonjwa Kijiji Cha Kisanga.C.E.O Gadiel Mtema.0711 489414.
Vanilla Kisarawe kutoa msaada wa Gari Ambulance ktk Kijiji Cha mradi Kisanga 0711489414
มุมมอง 762 หลายเดือนก่อน
Vanilla Kisarawe kutoa msaada wa Gari Ambulance ktk Kijiji Cha mradi Kisanga 0711489414
Karibu wekeza Vanilla shamba Bure 0711 489414 Kisarawe International Farm
มุมมอง 932 หลายเดือนก่อน
Karibu wekeza Vanilla shamba Bure 0711 489414 Kisarawe International Farm
Tunawathamini wafanyakazi Mradi wa Vanilla njoo wekeza 0711489414
มุมมอง 1873 หลายเดือนก่อน
Tunawathamini wafanyakazi Mradi wa Vanilla njoo wekeza 0711489414
Karibu kuwekeza Vanilla Kisarawe.Ofisi zetu zipo Kisarawe Mjini,Shamba Kisanga.0711 489 414
มุมมอง 2043 หลายเดือนก่อน
Karibu kuwekeza Vanilla Kisarawe.Ofisi zetu zipo Kisarawe Mjini,Shamba Kisanga.0711 489 414
Karibu kuwekeza Vanilla,Ylang Ylang Avocado Kisarawe Kijiji Cha Kisanga Pwani 0711489414
มุมมอง 1513 หลายเดือนก่อน
Karibu kuwekeza Vanilla,Ylang Ylang Avocado Kisarawe Kijiji Cha Kisanga Pwani 0711489414

ความคิดเห็น

  • @samwelndaki201
    @samwelndaki201 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbarikiwe

  • @altamyanfane9850
    @altamyanfane9850 15 วันที่ผ่านมา

    😂

  • @DianaSanga-h5b
    @DianaSanga-h5b 20 วันที่ผ่านมา

    You will have done a very important thing if you go to the police station to deliver the message of fraud online because many of your people have signed up for the jobs of defrauding people of their property. represent even those who planned to defraud people as a doctrine💪💪

  • @ivanrobert3071
    @ivanrobert3071 21 วันที่ผ่านมา

    Hivi utapeli utaisha lini?

  • @passportchannel7389
    @passportchannel7389 29 วันที่ผ่านมา

    Kabisa Mtumishi wa Mungu Baba Agaba.

  • @deustanzania5043
    @deustanzania5043 29 วันที่ผ่านมา

    Ibada ilikuwa nzuri sana Barikiwa sana

  • @superiusernest8396
    @superiusernest8396 หลายเดือนก่อน

    Strong

  • @ZuberiMayanga
    @ZuberiMayanga หลายเดือนก่อน

    Matapeli

  • @ZuberiMayanga
    @ZuberiMayanga หลายเดือนก่อน

    Wizi mtupu

    • @kevinmbise8232
      @kevinmbise8232 18 วันที่ผ่านมา

      Ushawahiii fanya kazi nae !?

  • @ZuberiMayanga
    @ZuberiMayanga หลายเดือนก่อน

    Jidanganyeni mtapeliwe

  • @ZuberiMayanga
    @ZuberiMayanga หลายเดือนก่อน

    Jidanganyeni mtapeliwe

  • @ZuberiMayanga
    @ZuberiMayanga หลายเดือนก่อน

    Hii ni biashara ya kitapeli

  • @uziasinkamba7380
    @uziasinkamba7380 หลายเดือนก่อน

    Kumbe vanilla mna mitaji ya kutosha mpewe mkopo mkubwa vizuri sana kisalawe juuuu7

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk หลายเดือนก่อน

    Kaka naombeni kibaruwa

  • @keyla3641
    @keyla3641 หลายเดือนก่อน

    Tafuta mtu anojua kutangaza biashara sasa hata hatujakufaha nini umekusudia unagomba km tumekukera

  • @samuelguni7032
    @samuelguni7032 2 หลายเดือนก่อน

    Big up Mr Gadiel, tupo nyuma yako katika uwekezaji wa Vanilla hapo Kisarawe

  • @NdeakemfooNdemfoo
    @NdeakemfooNdemfoo 2 หลายเดือนก่อน

    Ni Naomba mbegu nina shamba nimeanda mchimba kaburi 500 pls

  • @deustanzania5043
    @deustanzania5043 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kuona umuhimu wa kusaidia jamii na kujali Afya za wananchi.

  • @hassanmakame
    @hassanmakame 2 หลายเดือนก่อน

    Matapeli 😂

  • @user-vi4do8hy7z
    @user-vi4do8hy7z 3 หลายเดือนก่อน

    Nataka toyota blade nitapata

  • @Kheir220
    @Kheir220 3 หลายเดือนก่อน

    Why.! mbona na iyo midogo nayo unaikata.? Unamaanisha huhitaji kizazi kipya.!?

  • @AbdulyMfaume
    @AbdulyMfaume 3 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢

  • @udhihirishoelia6977
    @udhihirishoelia6977 6 หลายเดือนก่อน

    MUNGU BABA AWALINDE WATE NAKUWAPA MAISHA MAREFU

    • @sikujuamataba7926
      @sikujuamataba7926 2 หลายเดือนก่อน

      Haya mambo nikweli jamani tusije kujipa pressure

  • @udhihirishoelia6977
    @udhihirishoelia6977 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mkurugezi wa vanilla kisarawe

  • @stuart1963
    @stuart1963 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa hecta mmoja unainvest shingap

    • @passportchannel7389
      @passportchannel7389 6 หลายเดือนก่อน

      Hekari Moja unaweza kuwekeza kwa Tshs.45,000,000 ( Milioni Arobaini na Tano tu) Ila unaweza kupunguziwa.Piga simu no.0711 489 414 au namba ya Ofisi 0682 400 744

  • @user-ib7sb7gw9m
    @user-ib7sb7gw9m 6 หลายเดือนก่อน

    Mm nataka nizilime

    • @passportchannel7389
      @passportchannel7389 6 หลายเดือนก่อน

      Piga simu hii tuongee 0711 489 414

    • @passportchannel7389
      @passportchannel7389 6 หลายเดือนก่อน

      Nikuelekeze namna unavyoweza kuwekeza Vanilla @ Gadiel Mtema C.E.O

    • @ZuberiMayanga
      @ZuberiMayanga หลายเดือนก่อน

      Jidanganyeni mtapeliwe

  • @user-ib7sb7gw9m
    @user-ib7sb7gw9m 6 หลายเดือนก่อน

    Zinalimwaje

  • @aishamtaula1959
    @aishamtaula1959 7 หลายเดือนก่อน

    Pigakerere eee

  • @aishamtaula1959
    @aishamtaula1959 7 หลายเดือนก่อน

    Hongerasana

  • @aishamtaula1959
    @aishamtaula1959 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu bariki KAZI ya mikono yetu

  • @passportchannel7389
    @passportchannel7389 9 หลายเดือนก่อน

    Ndugu Mtanzania karibu uwekeze Kilimo Cha Vanilla katika Kijiji Cha Vanilla Kisanga Mkoa wa Pwani.Fika Ofisini kwetu Jengo la Haidery plaza Gorofa ya 3 . Vanilla yetu ndio hii unayoiona tayari imeanza kutoa Maua na maandalizi ya Kuvuna ni mwaka huu mapema 2023 by December.Mawasiliano ya Mkurugenzi : 0711 489 414 Website: www.nuruyataifatanzania.or.tz Email: infovanilla@nuruyataifatanzania.or.tz

  • @irenesilas2614
    @irenesilas2614 9 หลายเดือนก่อน

    Big up boss make it happen

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 10 หลายเดือนก่อน

    Nyie ni waongo mbna waziri wa kilimo bashe amesema hakuna bei ya ivo! Achen uongo

  • @user-pn5ts5my1s
    @user-pn5ts5my1s 10 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru Sana kwasomo lako ulolitoa jekama nataka kuekeza niwa na shingapi yakuweza kuanzia???

    • @passportchannel7389
      @passportchannel7389 8 หลายเดือนก่อน

      Kama upo Dar es salaam karibu kwenye ofisi zetu posta katika jengo la haidary plaza au tupigie kwanamba za hapo juu kwa Mawasiliano zaidi

    • @ZuberiMayanga
      @ZuberiMayanga หลายเดือนก่อน

      Jidanganyani Hawa ni matapeli

  • @abdulbonomali6548
    @abdulbonomali6548 10 หลายเดือนก่อน

    Jamaanii Itakua umetumwa udanganye vanila haina bei ikiiuzwa sana ni elfu3 kwa kilo

  • @kunyaobelela4062
    @kunyaobelela4062 10 หลายเดือนก่อน

    Acha uongo na utapeli, waziri wa wizara kakataa hiyo bei ya milioni moja @kilo haipo ww soko lako lipo kuzimu ndipo unauza kwa hito bei? Wizi mtupu

  • @juliusndossa201
    @juliusndossa201 10 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kitu hapo. Bei imeshuka hadi 4000 law kilo moja. Serikali inapambana na bandari na katiba badala ya kutafutia wananchi bei nzuri za mazao yao. What a shame!!!

  • @constanciamagige454
    @constanciamagige454 10 หลายเดือนก่อน

    Asantenii👋

  • @Kheir220
    @Kheir220 10 หลายเดือนก่อน

    INSHAALLAH kheir, umackin tupa kule.

  • @mwadawakiseo771
    @mwadawakiseo771 10 หลายเดือนก่อน

    Dodoma inaweza kuota?

  • @user-om9xp1oh2y
    @user-om9xp1oh2y 11 หลายเดือนก่อน

    Mombo

  • @StAr-yu3vz
    @StAr-yu3vz 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama mimi nipo chore je nitajiwekeza vipi naitaji nifahamu na

  • @rosemushi6852
    @rosemushi6852 11 หลายเดือนก่อน

    Tunaumia wakulima tunaishia kuuza bei ya vitunguu tunaomba namba yako

  • @donaldndesaiya6587
    @donaldndesaiya6587 ปีที่แล้ว

    Mkurugenzi,Weka mchanganuo wa Ukubwa wa eneo(mita za mraba,robo eka,nusu eka,eka nzima...),gharama ya uzalishaji,pato kwa mwaka.Itasaidia kutoa picha kwa mwekezaji mtarajiwa.

  • @Oneten-f2v
    @Oneten-f2v ปีที่แล้ว

    naweza kuanza na mtaji kiasi gani katika uwekezaji huo

  • @jenipherkachecheba8097
    @jenipherkachecheba8097 ปีที่แล้ว

    niko Bukoba

  • @jenipherkachecheba8097
    @jenipherkachecheba8097 ปีที่แล้ว

    mi nina vanila nikuuzie?

  • @jenipherkachecheba8097
    @jenipherkachecheba8097 ปีที่แล้ว

    mna soko ila sijui mnatukomesha si wakulima!!!

  • @jenipherkachecheba8097
    @jenipherkachecheba8097 ปีที่แล้ว

    Tunalima vanila tunaishia kuuza bei ya kilo ya nyanya!

  • @passportchannel7389
    @passportchannel7389 ปีที่แล้ว

    0711489414