DHAHABU ONLINE TV
DHAHABU ONLINE TV
  • 545
  • 323 668

วีดีโอ

SOKO JIPYA LA MWANAKWEREKWE LAANZA KUFANYA KAZI ANGALIA BIDHAA ZIMEPANGWA KWA MPANGILIO
มุมมอง 4.2K28 วันที่ผ่านมา
SOKO JIPYA LA MWANAKWEREKWE LAANZA KUFANYA KAZI ANGALIA BIDHAA ZIMEPANGWA KWA MPANGILIO
DC HAMIDA AWAPONGEZA WALIMU NA KUWAPA ZAWADI KWA MATOKEO MAZURI YA KIDATU CHA 6 WILAYA MAGHARIBI B
มุมมอง 18728 วันที่ผ่านมา
DC HAMIDA AWAPONGEZA WALIMU NA KUWAPA ZAWADI KWA MATOKEO MAZURI YA KIDATU CHA 6 WILAYA MAGHARIBI B
MWAKILISHI WA JIMBO LA FUONI AKABIDHI VIFAA VYA UKARABATI WA VYOO SKULI YA MAMBOSASA
มุมมอง 114หลายเดือนก่อน
MWAKILISHI WA JIMBO LA FUONI AKABIDHI VIFAA VYA UKARABATI WA VYOO SKULI YA MAMBOSASA
NEEMA KWA WATU WA JIMBO LA DONGE MBUNGE AWAJENGEA NYUMBA ZA MAKAZI WATU WENYE MAZINGIRA MAGUMU
มุมมอง 206หลายเดือนก่อน
NEEMA KWA WATU WA JIMBO LA DONGE MBUNGE AWAJENGEA NYUMBA ZA MAKAZI WATU WENYE MAZINGIRA MAGUMU
MAWIO YA 27 11 2024 WANANCHI WA KIKOBWENI WILAYA KASKAZINI A WALALAMIKA KUKOSA MAJI YA ZAWA
มุมมอง 829หลายเดือนก่อน
MAWIO YA 27 11 2024 WANANCHI WA KIKOBWENI WILAYA KASKAZINI A WALALAMIKA KUKOSA MAJI YA ZAWA
MAWIO YA 26.11.2024 AJALI ZA BARABARANI ZAENDELEA KUKATISHA MAISHA YA WATU
มุมมอง 703หลายเดือนก่อน
MAWIO YA 26.11.2024 AJALI ZA BARABARANI ZAENDELEA KUKATISHA MAISHA YA WATU
KATIBU TAWALA MKOA WA MJINI MAGHARIBI AKABIDHI VIFAA KWA WAHANGA WA AJALI HOSPITALI YA LUMUMBA
มุมมอง 212หลายเดือนก่อน
KATIBU TAWALA MKOA WA MJINI MAGHARIBI AKABIDHI VIFAA KWA WAHANGA WA AJALI HOSPITALI YA LUMUMBA
MAWIO YA 22.11.2024 MLINZI KATIKA UJENZI WADAHALIA BUMBWINI AKAMATWA AKIIBA MIFUKO YA SARUJI
มุมมอง 1.3Kหลายเดือนก่อน
MAWIO YA 22.11.2024 MLINZI KATIKA UJENZI WADAHALIA BUMBWINI AKAMATWA AKIIBA MIFUKO YA SARUJI
MAWIO 21.11.2024 MTUHUMIWA WA MAUWAJI YA MTOTO MIAKA 6 ALIEMBAKA HADI KUFARIKI AKAMATWA
มุมมอง 2.1Kหลายเดือนก่อน
MAWIO 21.11.2024 MTUHUMIWA WA MAUWAJI YA MTOTO MIAKA 6 ALIEMBAKA HADI KUFARIKI AKAMATWA
MSAJILI WA HAZINA ACHUKIZWA NA MAMBO HAYA YANAYOFANYWA NA WATENDAJI
มุมมอง 136หลายเดือนก่อน
MSAJILI WA HAZINA ACHUKIZWA NA MAMBO HAYA YANAYOFANYWA NA WATENDAJI
MAWIO 20 11 2024 VIJANA 2 WASHAMBULIWA NA KUPORWA HUKO NUNGWI WILAYA YA KASKAZINI A
มุมมอง 1Kหลายเดือนก่อน
MAWIO 20 11 2024 VIJANA 2 WASHAMBULIWA NA KUPORWA HUKO NUNGWI WILAYA YA KASKAZINI A
ASMA MWINYI AWAOMBA WAZAZI KUWALINDA WATOTO NA VITENDO VYA UDHALILISHAJI
มุมมอง 112หลายเดือนก่อน
ASMA MWINYI AWAOMBA WAZAZI KUWALINDA WATOTO NA VITENDO VYA UDHALILISHAJI
MAWIO 19.11.2024 WATOTO 2 TOKEA SIKU YA TAREHE 15 MWEZI HUU HAWAONEKANI WAZAZI WA WATOTO WAPAZA SA
มุมมอง 803หลายเดือนก่อน
MAWIO 19.11.2024 WATOTO 2 TOKEA SIKU YA TAREHE 15 MWEZI HUU HAWAONEKANI WAZAZI WA WATOTO WAPAZA SA
MAWIO YA 17.11.2024 MAMA MTOTO WA KIKE MIAKA 6 ABAKWA HADI KUFARIKI AIOMBA SEREKALI KUWASAKA WAHALIF
มุมมอง 914หลายเดือนก่อน
MAWIO YA 17.11.2024 MAMA MTOTO WA KIKE MIAKA 6 ABAKWA HADI KUFARIKI AIOMBA SEREKALI KUWASAKA WAHALIF
ASMA MWINYI ATOKWA NA MACHOZI ALIPOFIKA KUIFARIJI FAMILIA YA MTOTO ALIEBAKWA HADI KUFARIKI HUKO MWER
มุมมอง 1.3Kหลายเดือนก่อน
ASMA MWINYI ATOKWA NA MACHOZI ALIPOFIKA KUIFARIJI FAMILIA YA MTOTO ALIEBAKWA HADI KUFARIKI HUKO MWER
INASIKITISHA HILI HAPA TUKIO LA KUBAKWA MTOTO MIAKA 6 HADI KUFA NA KUTUPWA KATIKA BOMA
มุมมอง 384หลายเดือนก่อน
INASIKITISHA HILI HAPA TUKIO LA KUBAKWA MTOTO MIAKA 6 HADI KUFA NA KUTUPWA KATIKA BOMA
MAWIO 16.11.2024 MTOTO WA KIKE MIAKA 6 ABAKWA NA AKUTIKANA KATIKA BOMA AMEFARIKI
มุมมอง 1.3Kหลายเดือนก่อน
MAWIO 16.11.2024 MTOTO WA KIKE MIAKA 6 ABAKWA NA AKUTIKANA KATIKA BOMA AMEFARIKI
KABLA YA KUGAWA VIBARAZA DC HAMIDA ATOA MAELEKEZO KWA WAFANYA BIASHARA SOKO LA KWEREKWE
มุมมอง 998หลายเดือนก่อน
KABLA YA KUGAWA VIBARAZA DC HAMIDA ATOA MAELEKEZO KWA WAFANYA BIASHARA SOKO LA KWEREKWE
MAWIO 15 11 2024 MAMLAKA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA YAENDELEA KUWAPANDISHI MAHAKAMANI WASAMBAZA...
มุมมอง 923หลายเดือนก่อน
MAWIO 15 11 2024 MAMLAKA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA YAENDELEA KUWAPANDISHI MAHAKAMANI WASAMBAZA...
RC ATOA UFAFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA WAFANYABIASHARA SOKO LA KWEREKWE
มุมมอง 1.6Kหลายเดือนก่อน
RC ATOA UFAFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA WAFANYABIASHARA SOKO LA KWEREKWE
MAWIO 14 11 20214 ALIEKULA PESA KWA LENGO KUMPATIA AJIRA YA POLICE KIJANA APANDISHWA MAHAKAMANI NA K
มุมมอง 985หลายเดือนก่อน
MAWIO 14 11 20214 ALIEKULA PESA KWA LENGO KUMPATIA AJIRA YA POLICE KIJANA APANDISHWA MAHAKAMANI NA K
MAWIO 13.11.2024 MAMA ALIYEMUUNGUZA PASI MTOTO WAKE WA KUMZAA UMIRI MIAKA 5 AHUKUMIWA JELA MIAKA 3
มุมมอง 857หลายเดือนก่อน
MAWIO 13.11.2024 MAMA ALIYEMUUNGUZA PASI MTOTO WAKE WA KUMZAA UMIRI MIAKA 5 AHUKUMIWA JELA MIAKA 3
MAWIO 12.11.2024 MAMLAKA YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA YATAIFISHA MALI ZA WAINGIZAJI DAWA ZA KULEV
มุมมอง 733หลายเดือนก่อน
MAWIO 12.11.2024 MAMLAKA YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA YATAIFISHA MALI ZA WAINGIZAJI DAWA ZA KULEV
WANAFUNZI WAPEWA ELIMU UKIONA BABA YAKO ANA KITU HIKI NA SI ASKARI TOA TAARIFA KITUO CHA POLICE
มุมมอง 141หลายเดือนก่อน
WANAFUNZI WAPEWA ELIMU UKIONA BABA YAKO ANA KITU HIKI NA SI ASKARI TOA TAARIFA KITUO CHA POLICE
HUU NDIO UKWELI KUHUSU VIBARAZA { VIZIMBA } VITAKAVYOGAIWA KATIKA MASOKO KWA WAFANYA BIASHARA
มุมมอง 638หลายเดือนก่อน
HUU NDIO UKWELI KUHUSU VIBARAZA { VIZIMBA } VITAKAVYOGAIWA KATIKA MASOKO KWA WAFANYA BIASHARA
RC KITWANA MASOKO HAYA TUSIYAENDESHE KISIASA KEKI HII TUFAIDI SOTE KEKI HII TUIFAIDI SOTE
มุมมอง 797หลายเดือนก่อน
RC KITWANA MASOKO HAYA TUSIYAENDESHE KISIASA KEKI HII TUFAIDI SOTE KEKI HII TUIFAIDI SOTE
MAWIO YA 11.11.2024 AJALI ZA BARABARA ZAENDELEA KUATHIRI VIJANA MWENDO KASI WATAJWA NDO SABABU
มุมมอง 761หลายเดือนก่อน
MAWIO YA 11.11.2024 AJALI ZA BARABARA ZAENDELEA KUATHIRI VIJANA MWENDO KASI WATAJWA NDO SABABU
RC KITWANA HIZI NDO BEI ZA MADUKA NA KIZIMBA KATIKA SOKO YA KWEREKWE NA JUMBI
มุมมอง 6Kหลายเดือนก่อน
RC KITWANA HIZI NDO BEI ZA MADUKA NA KIZIMBA KATIKA SOKO YA KWEREKWE NA JUMBI
MAWIO YA 10 11 2024 GARI ILIYOKUWA IKIFUKUZWA NA GARI YA POLICE YAGONGA MTI WATU 2 WAFARIKI DUNIA
มุมมอง 1.6Kหลายเดือนก่อน
MAWIO YA 10 11 2024 GARI ILIYOKUWA IKIFUKUZWA NA GARI YA POLICE YAGONGA MTI WATU 2 WAFARIKI DUNIA

ความคิดเห็น

  • @ISSAFATJOE
    @ISSAFATJOE 3 วันที่ผ่านมา

    mbona c pat kwa wakat haya mawio skuhiz jaman

  • @ISSAFATJOE
    @ISSAFATJOE 3 วันที่ผ่านมา

    mbona c pat kwa wakat haya mawio skuhiz jaman

  • @BakariAlihaji
    @BakariAlihaji 4 วันที่ผ่านมา

    Anaeiba nazi kumi. Mwizi anaeiba milioni mia. Tano simwizi

  • @BakariAlihaji
    @BakariAlihaji 4 วันที่ผ่านมา

    Hivi Zanzibar tumechoka kusikia wizi wa.mazao tunataka kusikia wezi wa serekalini au uko hakuna wizi

  • @ummuraw6372
    @ummuraw6372 18 วันที่ผ่านมา

    Kibaraza kimoja watu watatu kma hospital kitanda kimoja wazazi wawili loh mitano tena dr mwinyi

  • @khadijasaleh-p7k
    @khadijasaleh-p7k 18 วันที่ผ่านมา

    Mbona mawio ya disemba 11/2024 hamujayaeka

  • @khadijasaleh-p7k
    @khadijasaleh-p7k 18 วันที่ผ่านมา

  • @FatumaabuuIgonga
    @FatumaabuuIgonga 19 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah shekhe hafidh uko vizuri sanaaaaaaa👍

  • @FatmaHussein-c7c
    @FatmaHussein-c7c 25 วันที่ผ่านมา

    Asanteni sana kutufanya kusikia mawiyo cc tuko nje ya zanzibr

  • @suleimansaid769
    @suleimansaid769 26 วันที่ผ่านมา

    Ma sha Allah

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 27 วันที่ผ่านมา

    Kulipa elfu40000, kutoka kibaraza cha mtu mmoja saivi 2 mpka 3 kibaraza kimoja si, na alie kuwa na mafuka mawili au mamtatu wameangukia kupewa duka moja😂😂😂 mtuhankweli😂 ila soko zuri si uwongo challenge ni hiyoo sehem wamezichukuwa wakubwa walio kuwa na nafasi zao mwanzo wameporwa

  • @MshamAli-o4e
    @MshamAli-o4e 27 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅😅😅😮😛😋😁😃😃kibaraza kimoja watu watatu maendeleo makubwa kutoka mtu mmoja mpaka watatu 4 kama 400 hogera

  • @JumaCarrick-mq3bq
    @JumaCarrick-mq3bq 28 วันที่ผ่านมา

    Babrani wtu wondke unenda dukni .duk ulioni Kwa Fujo mbele

    • @kassim1262
      @kassim1262 27 วันที่ผ่านมา

      Kaondoshe barabara yko c hutaki mwenyewe hlfu w2 wtatafuta pakukaa

  • @kingayzaq8076
    @kingayzaq8076 28 วันที่ผ่านมา

    Mashallah. Mi 🖐 Tena

  • @musachande7300
    @musachande7300 28 วันที่ผ่านมา

    Nasikia kibaraza kimoja watu 2 mpaka 3 wanafanyeje kweli hiyo biashara

  • @AzizaJuma-p7x
    @AzizaJuma-p7x 28 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt 28 วันที่ผ่านมา

    Mashallah allah akuhifadhi ila nimepata khabar kuwa kuna wafanya biashara wamekosa nafasi zakuuzia inshaallah nao wafikirie kuwapatia maeneo ikiwezekana wajengewe soko jengine na wapewe kipaumbele nao watafute rizki za halali yaarabbi ❤❤❤

    • @Fathasssane-vs2th
      @Fathasssane-vs2th 28 วันที่ผ่านมา

      Wamepewa ccm wenzao na wezetu upande wa pili walio kosa ni wapemba asilimia mia ya wakosaji ila vichogo hawajakosa

    • @dhahabuonlinetv
      @dhahabuonlinetv 27 วันที่ผ่านมา

      ​@@Fathasssane-vs2thusiwe mnafiki asilimia 90 ya waliomo sokoni ni watu wa huko unaposema wamekosa

    • @MohdMkubwa-v8k
      @MohdMkubwa-v8k 27 วันที่ผ่านมา

      @@dhahabuonlinetv kwanza kodi ni kubwa mnoo kwa wafanya biashara wadogo mtu hajui ata aanzaje

  • @DalilaOman-s1p
    @DalilaOman-s1p 28 วันที่ผ่านมา

    MashaAlha

  • @salem9874
    @salem9874 28 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana Rais Mwinyi

  • @SaadaKhamis
    @SaadaKhamis หลายเดือนก่อน

    Kipindi kimefika

  • @allysururu1261
    @allysururu1261 หลายเดือนก่อน

    Hawa wauza madawa wachukuliwe hatua kalii

  • @mr.daisamdaisam1319
    @mr.daisamdaisam1319 หลายเดือนก่อน

    Tutaona mengi kipindi hiki

  • @HabaYee
    @HabaYee หลายเดือนก่อน

    Mambo mazuri

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf หลายเดือนก่อน

    Mashaah tabaraka rrahmaani m Mmungu amzidioshie

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt หลายเดือนก่อน

    Na serekali iliangalie jambo hili la usalama wa afya za wanaadam

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt หลายเดือนก่อน

    Kweli manispaa wakusanyaji wa taka nawaweke madasmin kila kwenye nyumba tano ili kuepuka usumbufu na harufu mbaya? Kwanini taka zinaekwa kwenye maeneo yakuishi watu kwenye viwanja vyawatu? Hemu nawajaribu kusafiri nje ya nchi wakaangalie jinsi gani usafi unavyofanywa mitaa inawatoto wadogo wana heza na wana hezea uchafu wa madampo mitaani?

  • @MwatumSalum
    @MwatumSalum หลายเดือนก่อน

    Mungu akujalie Iman zaidi

  • @rahmaabdallah4514
    @rahmaabdallah4514 หลายเดือนก่อน

    Kwa nn hamuwi update tupate kila siku sio ya inayolewa siku ya pili

  • @DuniaNdogo
    @DuniaNdogo หลายเดือนก่อน

    skuizi ajali nyingi sana Dah 😭😭

  • @abdulhamid9593
    @abdulhamid9593 หลายเดือนก่อน

    zahabu mpo juu saf sn

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt หลายเดือนก่อน

    Asante ni mawio kwa taarifa ya khabari mbali mbali za mawio

  • @RahmaOmar-k3c
    @RahmaOmar-k3c หลายเดือนก่อน

    Mtihani jamani mtoto mdogo 😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @MaryamAbbas-o1c
    @MaryamAbbas-o1c หลายเดือนก่อน

    Apigwe risasi huyo tumechoka na vitendo vya uzalilishaji mtt mdogo hana hatia kuondoa uhai wake😢😢

  • @Rashazyallymakame
    @Rashazyallymakame หลายเดือนก่อน

    Kifo kinamuhusu hakuna mhadala itakua funzo

  • @MwajumaJuma-h4k
    @MwajumaJuma-h4k หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah Kwa kupatikana

  • @QwQw-n8y7y
    @QwQw-n8y7y หลายเดือนก่อน

    Na yy auliwe kikatili mshenzi mkubwa

  • @UmyAbriya-wt4vb
    @UmyAbriya-wt4vb หลายเดือนก่อน

    Alhamdllah kusikia mekamata. Huo mwenda zimu alie mbaka mtoto mdongo 😢😢😢 mika 6una roho na nini ww kaka

  • @nassorhassan7288
    @nassorhassan7288 หลายเดือนก่อน

    uyo jamaa alio mbaka uyo mtoto..ametisha😢😢..hakuwa nahata huruma

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi imekua kama Haina viongozi, kila siku kero ndo hzo hzo,, ujinga mtupu

  • @salahkassim9729
    @salahkassim9729 หลายเดือนก่อน

    SALAM ALAIKUM KWA KWELI NIMEFURAHI SANA KUPATA HABARI ZA MAWIO KWA SISI TULIOKUA MBALI NA ZNZ NA TUNAOMBA IWE ENDELEVU MM NI SHABIKI SANA WA KUSIKILIZA MAWIO KIPINDI AMBACHO NIPO ZNZ HONGERENI SANA DHAHABI ONLINE HAKIKA NI YA KWETU

  • @UmyAbriya-wt4vb
    @UmyAbriya-wt4vb หลายเดือนก่อน

    Huko kwarara hio tabia ipo mika mingi sasa yakuchukuliwa watoto

  • @UmyAbriya-wt4vb
    @UmyAbriya-wt4vb หลายเดือนก่อน

    Pole sana mama ulie poteza mtoto wako na mjukuwako tafuta mashehe wakufanye kisomo nenda msikitini uwaombe waumini wakutakie duwa wata rudi insha'Allah kwa uwezo. Wa Allah watarudi

  • @RaviShija
    @RaviShija หลายเดือนก่อน

    tunashukuru sana kipindi cha mawio mnatupasha haswaa habari znazoendelea unguja maana zbc na tv zingne hazitoi taarfa kama hizi za matukio unaweza kuzania tupo na utulivu kumbe hali mbaya watu wanafanya ukatili kama huu

  • @SamiraameirSamira-qt9yn
    @SamiraameirSamira-qt9yn หลายเดือนก่อน

    Miaka 12 na mwaka 1 na miez 8 tuseme wameenda wp jmn maana m12 mtoto bd mdg jmn 😢 mbn mtihan mkubwa sn hivi jmn 😢😢😢

  • @fatimaharoun-np8uv
    @fatimaharoun-np8uv หลายเดือนก่อน

    Innah lilah wainna ILAIHI RAJIUN mungu amsamehe makosa yake ya siri na yadhahir amtilie nuru kaburi lake ampe wazungumzaji wema amuondolee udongo mzito juu yake 😢

  • @MwajumaJuma-h4k
    @MwajumaJuma-h4k หลายเดือนก่อน

    Amin

  • @MwajumaJuma-h4k
    @MwajumaJuma-h4k หลายเดือนก่อน

    Poleni wandishi wa habar pamoja na familia kwa ujumla

  • @MaryamAbbas-o1c
    @MaryamAbbas-o1c หลายเดือนก่อน

    Ukatili sasa basi na watt ndio km hivo wapote wabakwa Inshaalla Allah atuondoshee hili janga sie tulipo mbali na nyumba tunamia sn yarabb lete kheri zako watr wapatikane 😢😢

  • @sfiniyussur4460
    @sfiniyussur4460 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mama Allah atakupa subra. Mie nna ushauri kwa vile haya mambo yanajirepeat mdomo hautoshi. Mwinyi foundation ipendekeze sheria ya kuuwawa hadharani pale MApinduzi square wanaofanya hivi vitendo.Wakishauwawa wawili au watatu hadharani yatapotea haya mambo. Tuko pamoja kwa 01 NOv. kupinga haya mambo. Inaumiza sana sana na iwe basi sasa sheria ipendekezwe pleaseeeeeee. Laghnatullah alayhim.

  • @KhadijaDija-ir2hq
    @KhadijaDija-ir2hq หลายเดือนก่อน

    Mwisho watuhumiwa wanakamatwaa baada ya mwaka mmoja wanaachiwa kwa madai ya kuteswa sana walipokua ndani😢😢 haya mambo hayatoisha abadani 😢 maana watuhumiwa wanajua kua pesa ndo kila kitu