Samia TV
Samia TV
  • 172
  • 24 245
Stendi ya Mabasi Ubungo: Tulipotoka Tulipo
Kutoka kuwa stendi ya mabasi ubungo mpaka kituo kikubwa jumuishi cha biashara. Nani alidhani hapa pangeweza kuwa eneo la watu kuja kutegemea hapa pangeweza kutoa kituo kikubwa cha biashara kusini mwa jangwa la Sahara?
Hapa ndipo tulipo kulinganisha na mbali tulipotoka.
Pakua Samia App kupitia Playa Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
มุมมอง: 12

วีดีโอ

Soko La Bidhaa Kariakoo, Tulipotoka na Tulipo
มุมมอง 910 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Hii ndio Kariakoo, soko lenye kuhudumia watu wengi wa ndani na nje ya Tanzania. Angalia soko la bidhaa Kariakoo lilivyokuwa miaka michache nyuma na lilivyo sasa. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store #samiaapp #kaziiendelee
WhatsApp Video 2024 09 17 at 9 38 20 PM
มุมมอง 819 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mamlaka ya maji Tanga ilitoa hati fungani na kupata kiasi cha shilingi Bilioni 54 kusaidia usambazaji wa maji jiji la Tanga, hatua hii ni ya kuigwa kwani imesaidia wao kupeleka huduma kwa wananchi kikamilifu. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store #samiaapp #kaziiendelee
WhatsApp Video 2024 09 17 at 10 22 33 PM
มุมมอง 112 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Nani anakumbuka namna wana Rukwa walivyofurahi baada ya kupandishiwa bei ya mahindi kwenye ziara ya Rais wao mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani kwao? Kumbukumbu nzuri ni kuuza mahindi kwa shilingi 700 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store #samiaapp #kaziiendelee
Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi
มุมมอง 292 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sitakuwa na Muhali (kumuonea mtu haya) kwa yeyote atakayetaka kuvuruga amani ya nchi. Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi ka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. #samiaapp #kaziiendelee
Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi
มุมมอง 362 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Tumeapa kuilinda na kuitetea katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, na tutafanya kila tunaloweza kuimarisha ulinzi na uhai wa Tanzania. Hatuko hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa kuadhimisha miaka 60 ya Jeshi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store #samiaap...
Falsafa ya R4 Imekuja Kuunganisha Taifa
มุมมอง 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา
R4 ni falsafa ilikuja kuunganisha Taifa na sio inayoruhusu utovu wa nidhamu kwa baadhi ya watu. Pakua Samia App kupitia Play Store na App Store #samiaapp #kaziiendelee
Tulipotoka, Tulipo na Tunapokwenda
มุมมอง 152 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kukua kwa jiji la Dodoma kumefanya kuwa na ongezeko kubwa la watu wanaoingia na kutoka jijini humo na ndio maana hata Safari za anga zimeongezeka sana kiasi cha serikali kuamua kujenga uwanja mpya wa ndege wa Msalato. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store #samiaapp #kaziiendelee
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Nitashiriki
มุมมอง 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Kauli mbiu: Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze Kushiriki Uchaguzi. #shirikiuchaguzi2024 #samiaapp #kaziiendelee
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 :Nitashiriki
มุมมอง 32 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 :Nitashiriki
Tutunze Amani Yetu, Tuachane na Vitendo Viovu
มุมมอง 204 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Tutunze Amani Yetu, Tuachane na Vitendo Viovu
RAIS SAMIA MGENI RASMI KILELE CHA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI
มุมมอง 764 ชั่วโมงที่ผ่านมา
RAIS SAMIA MGENI RASMI KILELE CHA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Nitashiriki
4 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Nitashiriki
Makala Ziara ya Rais Samia Nchini China
มุมมอง 1374 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Makala Ziara ya Rais Samia Nchini China
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Nitashiriki
มุมมอง 84 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Nitashiriki
Daraja la Mwadobana Kuchochea Uchumi Bariadi Mkoani Simiyu.
มุมมอง 284 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Daraja la Mwadobana Kuchochea Uchumi Bariadi Mkoani Simiyu.
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Nitashiriki
มุมมอง 204 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Nitashiriki
Tano za Samia
มุมมอง 174 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Tano za Samia
Tulipotoka na Tulipo Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
มุมมอง 3347 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Tulipotoka na Tulipo Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Tano za Samia
มุมมอง 137 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Tano za Samia
Safari ya Tanzania Kurusha Satelite ya Utangazaji
มุมมอง 3117 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Safari ya Tanzania Kurusha Satelite ya Utangazaji
Ujenzi Unaendelea Uwanja wa Mpira Arusha
มุมมอง 3.4K7 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ujenzi Unaendelea Uwanja wa Mpira Arusha
Tano za Samia
มุมมอง 69 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Tano za Samia
Tulipotoka Sipo Tulipo, Kigoma Inawaka.
มุมมอง 189 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Tulipotoka Sipo Tulipo, Kigoma Inawaka.
Tano za Samia
มุมมอง 69 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Tano za Samia
TRC na Maendeleo ya Reli, Tulikotoka, Tulipo na Tunapokwenda
มุมมอง 249 ชั่วโมงที่ผ่านมา
TRC na Maendeleo ya Reli, Tulikotoka, Tulipo na Tunapokwenda
Tano za Samia
มุมมอง 199 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Tano za Samia
Wafanyabiashara Waendelea Kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan
มุมมอง 149 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Wafanyabiashara Waendelea Kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan
Challenge ya Samia Suit Yaendelea Kupamba Moto
มุมมอง 46212 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Challenge ya Samia Suit Yaendelea Kupamba Moto
Vyakwetu : Huduma za Usafiri na Usafirishaji Zaboreshwa
มุมมอง 2712 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Vyakwetu : Huduma za Usafiri na Usafirishaji Zaboreshwa

ความคิดเห็น

  • @HeboniBabu
    @HeboniBabu 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Washukulu wakenya sema ayasemwi

  • @user-nd5uf6lw4g
    @user-nd5uf6lw4g 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa samia akiacha urahisi mtaposti nini sasa kwenye hii account

  • @zainabzain3434
    @zainabzain3434 วันที่ผ่านมา

    Umependeza best

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso วันที่ผ่านมา

    Hivi CCM ni chama cha siasa? Elimu zaidi inatakiwa kuwapa wanasiasa ili wajifunze kushindana inavyoonekana hili suala la utekaji na kuua watu CCM wanaliona siyo tatizo wanakuja na kauli za vitisho wanaoteka watu ndiyo wanaohatarisha usalama wa n nchi yetu tunakuomba Rais kwa mamlaka uliyonayo uunde tume huru ifanye uchunguzi siyo jeshi la polisi Mungu ibariki Tanzania

  • @jamesmwakila5866
    @jamesmwakila5866 2 วันที่ผ่านมา

    Haya machimbo ya madini au mbn sielewei😂😂

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 2 วันที่ผ่านมา

    Tanzania tunasonga mbele.

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 2 วันที่ผ่านมา

    Dodoma lini?

  • @Mudathir-tx1md
    @Mudathir-tx1md 2 วันที่ผ่านมา

    Na wa Dodoma vp

  • @gregory6165
    @gregory6165 2 วันที่ผ่านมา

    mnahangaika kutaka kurusha satellite hadi mnabrag mitandaoni na huku kila mwaka kuna maelfu ya vijana wanaingia mtaani hawana ajira, wamama wanashinda kuuza mchicha pembeni ya barabara, walim wanauza ubuyu kwa wanafunzi darasani... anyway ni maendeleo jipongezeni

  • @saitotigeorge654
    @saitotigeorge654 2 วันที่ผ่านมา

    Huo sio muonekano wa uwanja acheni kupotosha watu🤌, go and do your home work mrudi na ukweli

  • @donking-d4t
    @donking-d4t 2 วันที่ผ่านมา

    Ujinga tu..

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 3 วันที่ผ่านมา

    Pamoja sana

  • @telaboyboytella6089
    @telaboyboytella6089 4 วันที่ผ่านมา

    ❤ tunakubali

  • @telaboyboytella6089
    @telaboyboytella6089 4 วันที่ผ่านมา

    ❤tupo na mama

  • @telaboyboytella6089
    @telaboyboytella6089 4 วันที่ผ่านมา

    Mama na wanawe kizimkazi tunamkubali

  • @telaboyboytella6089
    @telaboyboytella6089 4 วันที่ผ่านมา

    Tupo wana kizimkazi

  • @Grace-p9e
    @Grace-p9e 5 วันที่ผ่านมา

    Kumbe tu mnawezaa kuvaa vizuri na mkapendeza bila kuvaa uchii😂😂😂

  • @muhaproduction3325
    @muhaproduction3325 8 วันที่ผ่านมา

    Asante mama tupo p1

  • @AbdalahAbdi-i7c
    @AbdalahAbdi-i7c 8 วันที่ผ่านมา

    NZURI MAMA I

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 9 วันที่ผ่านมา

    Mama kimeiva njaa mwanao nataka kula🙏🙏🙏🙏🙏

  • @SelfathumanMisere-te6kg
    @SelfathumanMisere-te6kg 9 วันที่ผ่านมา

    Hatutashiriki hatuoni maana

  • @abelmgonja4934
    @abelmgonja4934 10 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri, vijana tujitokeze kuchagua viongozi mbalimbali ngazi ya vijiji na mtaa.

  • @simonkipondo1453
    @simonkipondo1453 16 วันที่ผ่านมา

    Waandishi acheni uchawa msomera sio sehemu nzuri ngorongoro ni sehemu salama kabisa rafiki kwa binadamu kuliko msomera mifugo sinakufa migogoro ya ardhi serkali inapokonya mtu ardhi yake na kumpa mgeni huoni hiyo ni laana ya vizazi vijavyo?

  • @SalumAmour-z4y
    @SalumAmour-z4y 18 วันที่ผ่านมา

    I like that 💖💖💖💖💖

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc 19 วันที่ผ่านมา

    Jaman amkoment

  • @ShakillaSaid
    @ShakillaSaid 21 วันที่ผ่านมา

    Umetisha mama safi sana

  • @nnajahtv
    @nnajahtv 22 วันที่ผ่านมา

    Akulinde mama mwenye huruma, utu, na upole Maisha marefu mama

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 25 วันที่ผ่านมา

    Ninacho muhurumia Samia ni kupata sehemu yake ya madhambi kwa kila dhambi itakayofanyika kwa kipindi chote cha hiyo festival alio iyasisi hapo kisimkazi ya Allah tunusuru na kuanzisha yale yatakayo tudidimiza motoni.

    • @kassidpandu866
      @kassidpandu866 22 วันที่ผ่านมา

      weee unachuki Na Rais kwa Nani Msafi Dinia hii

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 22 วันที่ผ่านมา

      @@kassidpandu866 hayo ni mawazo ya kijinga na ya kijahili na ya kikafiri waislamu tumeamrishwa na Allah kulinganiana katika khery na kuoneana huruma pindi mmoja wetu atakapoingi katika maangamizo sasa wewe jahili linalo kuuma nini wakati mama huyo ukimwangalia tu unaona dalili za uislamu kwake dhidi yako wewe jahili ?

  • @theotherguys8607
    @theotherguys8607 29 วันที่ผ่านมา

  • @NepporSabith
    @NepporSabith หลายเดือนก่อน

    Taifa dogo sana lenye maendeleo makubwa nayamda mfupi

  • @jofreyMwegoha
    @jofreyMwegoha หลายเดือนก่อน

    Good work🎉