lulu mpenja
lulu mpenja
  • 25
  • 2 209

วีดีโอ

Ev:Lulu mpenja somo:Kuzaa vitakatifu
มุมมอง 8119 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Bwana Yesu Asifiwe mwana wa Munuu ,karibu tujifunze pamoja somo hili ambalo Mungu ametupa kibali kwa mara nyingine tena ya kuumega mkate kwa pamoja. by Ev Lulu mpenja 0621566820 au 0752415167
KWAYA KUU KANISA LA MORAVIANI TANZANIA (KMT)-USHIRIKA WA YERIKO
มุมมอง 342หลายเดือนก่อน
Bwana Yesu Asifiwe,Idala ya Uimbaji kanisa la Moraviani Tanzania Ushirika wa Yeriko (KWAYA KUU) wamekuletea wimbo mpya kabisa wenye ujumbe mkubwa mno. karibu kusikiliza hakika hutapungukiwa kabisa,dhambi huondoa haki,kelele kwa mtu ulie okoka tambua nichukizo mbele za Mungu,pata muda wa kumtafakari Mungu zaidi kupitia ujumbe huu
Ili kuimarisha ushirika wako na Mungu lazima ukubali kulipa gharama
มุมมอง 1042 หลายเดือนก่อน
0752415167/0621566820 karibu tuendelea kuujenga mwili wa Kristo.
EV:LULU MPENJA :. Somo chagua watu sahihi wa kuambatana nao. sehemu ya pili
มุมมอง 443 หลายเดือนก่อน
EV:LULU MPENJA :. Somo chagua watu sahihi wa kuambatana nao. sehemu ya pili
EV:Lulu mpenja. Somo chagua watu sahihi wa kuambatana nao.
มุมมอง 183 หลายเดือนก่อน
katika haya maisha ili ufanikiwe lazima uchague watu sahihi wa kuambatana nao ili kuifikia hatima yako maana siyo kila mtu ni sahihi katika maisha yako wengine wapo kwa ajili ya kukuinua na wengine kwaajili ya kukurudisha nyuma.Asante kwa kusikiliza na kusoma ujumbe huu Barikiwa sana.
Ev:Lulu mpenja, Somo:Ishi ndani ya kusudi la Mungu ili Baraka za Mungu zikujulie
มุมมอง 763 หลายเดือนก่อน
Ila barka za Mungu zikujilia lazima utambue nafasi ya Mungu na kile Mungu amekusudia katika maisha yako
Ibada ya maombi,kufunguliwa na kubarikiwa,ikiongozwa na mchungaji paulo mwampamba.
มุมมอง 10610 หลายเดือนก่อน
Ibada ya kufunguliwa na kubarikiwa,iliyoongozwa na pastor mwampamba ndani ya kanisa la Moravian ushirika wa yeriko
Nani kama mama-by Lulu mpenja
มุมมอง 614 ปีที่แล้ว
Bwana Yesu asifiwe mwana wa Mungu karibu kusikiliza wimbo wenye kibali cha nani Kama mama naamini utakubariki sana
Usidharau vifungo ulivyofungiwa By Lulu Mpenja
มุมมอง 554 ปีที่แล้ว
Bwana Yesu asifiwe mwana wa Mungu,Mungu ametupa kibali Cha kuishi kwa nguvu kuu kutoka kwake Kama anavyosema kwenye maandiko kuwa tunayo mamlaka yote hapa duniani pale tu tutakapojishikamanisha nae Kama ilivyokuwa kwa isaya,Sasa nikukalibishe kusikiliza kibali hiki kutoka kwa Mungu naamini utafunguliwa.na Mungu akubariki sana
Mt:Lulu Mpenja-Audio song(Kwa Yesu salama)
มุมมอง 404 ปีที่แล้ว
Bwana Yesu asifiwe Mwana wa Jehova, karibu kusikiliza Wimbo wenye ujumbe mzuri wa Mungu uitwao kwa Yesu salama,Naamini utakubariki na kukufungua ulipokuwa umefungwa usisahau kulike,share na subscribe channel yangu ili uwe unakuwa wa kwanza kupata nyimbo na mafundisho yangu na Mungu Atakubariki Sana.
Mt Lulu Mpenja -katika Ibada tunduma songwe
มุมมอง 274 ปีที่แล้ว
Asante Mungu kwa kuendelea kunitumia vile alivyokusudia na nategemea Sana support yako mwana wa Mungu na Utabarikiwa na Mungu,like ,share,comment na subscribe channel yangu ili uwe wa kwanza kupata Mambo mazuri ya utakatifu.
Lulu mpenja -Faida za kuishi ndani ya kusudi la Mungu
มุมมอง 674 ปีที่แล้ว
Semina mwampalala
Narudi audio song-by Lulu mpenja
มุมมอง 244 ปีที่แล้ว
Kuna wakati unaweza ishi maisha ya utumwani bila kujijua lakini pale unapogundua kuwa mahali ulipo siyo sehemu sahihi,usione haja Rudi kwenye sehemu sahihi.
Tufani inapo vuma Sana moyoni mwangu
มุมมอง 2264 ปีที่แล้ว
by LULU MPENJA
Mbingu zimefunguka -Audio song by Lulu mpenja
มุมมอง 1104 ปีที่แล้ว
Mbingu zimefunguka -Audio song by Lulu mpenja
Yatima audio song-Lulu Mpenja
มุมมอง 1244 ปีที่แล้ว
Yatima audio song-Lulu Mpenja
Nimbali nimetoka mimi by LULU MPENJA
มุมมอง 1464 ปีที่แล้ว
Nimbali nimetoka mimi by LULU MPENJA
LULU MPENJA:IBADANI USHIRIKA WA LUTETE ISUTO
มุมมอง 315 ปีที่แล้ว
LULU MPENJA:IBADANI USHIRIKA WA LUTETE ISUTO
LULU MPENJA-MBINGU ZIMEFUNGA
มุมมอง 415 ปีที่แล้ว
LULU MPENJA-MBINGU ZIMEFUNGA
LULU MPENJA;Matendo makuu ya Mungu Jenga imani Kwa Mungu naye atatenda
มุมมอง 505 ปีที่แล้ว
LULU MPENJA;Matendo makuu ya Mungu Jenga imani Kwa Mungu naye atatenda
LULU MPENJA;Namna ya kuishi baada ya kuokoka(kuanza Maisha ya wokovu)
มุมมอง 1155 ปีที่แล้ว
LULU MPENJA;Namna ya kuishi baada ya kuokoka(kuanza Maisha ya wokovu)
Lulu mpenja akimwimbia Mungu katika tamasha la joshua ndisa wimbo wa tutetee yesu
มุมมอง 1596 ปีที่แล้ว
Lulu mpenja akimwimbia Mungu katika tamasha la joshua ndisa wimbo wa tutetee yesu
Kijana wa Mungu
มุมมอง 606 ปีที่แล้ว
Kijana wa Mungu
March 21, 2018
มุมมอง 506 ปีที่แล้ว
March 21, 2018

ความคิดเห็น