Prince Almecky
Prince Almecky
  • 20
  • 28 886
BEI MPYA ZA UMEME ZANZIBAR ZATANGAZWA
ZURA imebadilisha bei za Umeme kutoka Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya matumizi ya Umeme Zanzibar.
Akitoa taarifa Afisa Uhusiano ZURA, Mbarak Hassan Haji huko Afisini kwao Maisara Zanzibar amesema ZURA ilifanya tathmini ya kina ikiwemo kukutana na Wadau wote ambapo sasa rasmi bei elekezi kwa Watumiaji wote wa Umeme Zanzibar zitaanza kutumika kuanzia Januari 20,2025.
มุมมอง: 61

วีดีโอ

RAIS DKT MWINYI AIMWAGIA FEDHA ZANZIBAR HEROES
มุมมอง 217 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema katika kuhakikisha Zanzibar inabiga hatua zaidi kimichezo anatarajia kuunda Kamati maalum ya kumshauri namna bora ya kukuza Soka nchini. Dk Mwinyi ameyasema hayo ikulu Zanzibar wakati wa Chakula cha mchana chapamoja na Wchezaji na Viongozi wa Zanzibar Heroes baada kutwaa Ubingwa wa Mapinduzi Cup 2025 ambapo...
ZANZIBAR KUFANYIKA MKUTANO WA MASHIRIKA YOTE YA NDEGE DUNIANI
มุมมอง 277 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mkurugenzi wa Idara ya Masoko Utalii Zanzibar, Rahma Sanya amesema Mwezi wa June Mwaka huu kwa mara ya kwanza Zanzibar utafanyika Mkutano mkubwa ambao utashirikisha Wajumbe mia 5 na kujumuisha Mashirika yote ya Ndege Duniani pamoja na Watendaji wake wakuu. Akizungumza na Wanahabari huko katika Hotel ya Serena Shangani Zanzibar, Rahma Sanya amesema Zanzibar inategemea mafanikio makubwa katika Mk...
WHAT A GOAL: STRIKER WA NCHI STAR HILIKA
มุมมอง 3.4K12 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Goli la kwanza la Zanzibar Heroes katika Fainal ya Mapinduzi Cup 2025 ilipigwa Gombani Pemba ambapo Zanzibar imetwaa Ubingwa baada ya ushindi goli 2-1 dhidi ya Burkinafaso.
RAIS DKT MWINYI AKIWASILI FAINALI GOMBANI
มุมมอง 9212 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Fainal ya Mapinduzi Cup 2025 iliyopigwa Gombani Pemba ambapo Zanzibar imetwaa Ubingwa baada ya ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Burkinafaso.
TIMU MBILI ZAJITOA MAPINDUZI CUP 2024
มุมมอง 93ปีที่แล้ว
Mwenyekiti wa Mapinduzi Cup 2024, Mbarouk Othman akielezea sababu ya Bandari FC ya Kenya na URA ya Uganda kujitoa katika Mashindano hayo.
DC AFUNGUKA KUHUSU MZIMU USIO NA KICHWA
มุมมอง 157ปีที่แล้ว
Mkuu wa Wilaya ya Magharib B, Mhe. Hamida Mussa Khamis @dc.hamida amewaondoa hofu Wananchi wa Wilaya hiyo kuhusu uwepo wa Mzimu au Msukule uonekana nyakati za alfajiri.
Shangwe La Miembeni FC 'Kwala' Ni Balaa Katika CocoSports Cup
มุมมอง 131ปีที่แล้ว
Shangwe La Miembeni FC 'Kwala' Ni Balaa Katika CocoSports Cup
Chipukizi na Jamuhuri ni shida Ligi Kuu Zanzibar
มุมมอง 1412 ปีที่แล้ว
Chipukizi na Jamuhuri ni shida Ligi Kuu Zanzibar
Ilikuwa Ni World Cup Bora Kuwahi Kutokea
มุมมอง 1382 ปีที่แล้ว
[Amecky & Hussein Via Coconut FM]
Kitendo Nilichofanyiwa Nikiwa Jang'ombe Boys Sitakisahau: Babi
มุมมอง 1553 ปีที่แล้ว
Kitendo Nilichofanyiwa Nikiwa Jang'ombe Boys Sitakisahau: Babi
Yanga Wananiheshimu | Nitarudi Yanga: Babi
มุมมอง 1003 ปีที่แล้ว
Yanga Wananiheshimu | Nitarudi Yanga: Babi
Ballack Wa Unguja Sikujita: Babi
มุมมอง 1343 ปีที่แล้ว
Ballack Wa Unguja Sikujita: Babi
Zanzibar Heroes Wangekuwa Na Hamasa Kombe Lingekuja Zanzibar: Babi
มุมมอง 523 ปีที่แล้ว
Zanzibar Heroes Wangekuwa Na Hamasa Kombe Lingekuja Zanzibar: Babi
El Hadji Diouf Ananiheshimu Sana | Anaongea Sana: Babi
มุมมอง 813 ปีที่แล้ว
El Hadji Diouf Ananiheshimu Sana | Anaongea Sana: Babi
Musimfanishe Fei Toto: Abdi Kassim Babi
มุมมอง 9003 ปีที่แล้ว
Musimfanishe Fei Toto: Abdi Kassim Babi
Mambo Safi Uwanja Wa Yanga SC
มุมมอง 22K4 ปีที่แล้ว
Mambo Safi Uwanja Wa Yanga SC
Nilizikataa Simba Na Yanga / Mshahara Laki Tatu: Babi
มุมมอง 4565 ปีที่แล้ว
Nilizikataa Simba Na Yanga / Mshahara Laki Tatu: Babi
Klabu Ya Kenya Yajichimbia Zanzibar
มุมมอง 3346 ปีที่แล้ว
Klabu Ya Kenya Yajichimbia Zanzibar
Mchezo Pekee Zanzibar Inashiriki Kimataifa
มุมมอง 2216 ปีที่แล้ว
Mchezo Pekee Zanzibar Inashiriki Kimataifa