UMMAT CHANNEL
UMMAT CHANNEL
  • 67
  • 47 193

วีดีโอ

DA'WA MASHULENI, BAGAMOYO HIGH SCHOOL, SEHEMU YA 1, Mwalimu Shaaban B. Omar
มุมมอง 471ปีที่แล้ว
DA'WA MASHULENI, BAGAMOYO HIGH SCHOOL, SEHEMU YA 1, Mwalimu Shaaban B. Omar
UKRISTO NA UISLAMU, IPI DINI SAHIHI? - 1. MAJIBU KWA MKRISTO
มุมมอง 9Kปีที่แล้ว
UKRISTO NA UISLAMU, IPI DINI SAHIHI? - 1. MAJIBU KWA MKRISTO
KHUTBA YA IJUMAA - MTAMBANI MASJID - FUNZO KUTOKA QATAR - Mwalimu Shaaban B. Omar
มุมมอง 376ปีที่แล้ว
KHUTBA YA IJUMAA - MTAMBANI MASJID - FUNZO KUTOKA QATAR - Mwalimu Shaaban B. Omar
USAC - ENGLISH PRACTICE SHEET - 01, Mwl. Shaaban B. Omar
มุมมอง 7Kปีที่แล้ว
Edited by VideoGuru:videoguru.page.link/Best
HALI YA UMMA - SEHEMU YA PILI - Mwl. Shaaban B. Omar
มุมมอง 635ปีที่แล้ว
HALI YA UMMA - SEHEMU YA PILI - Mwl. Shaaban B. Omar
HALI YA UMMA WETU - SEHEMU YA KWANZA, Mwalimu Shaaban B. Omar
มุมมอง 1.9Kปีที่แล้ว
HALI YA UMMA WETU - SEHEMU YA KWANZA, Mwalimu Shaaban B. Omar
TUMIA NEEMA YA TEKNILOJIA KUJIENDELEZA KITAALUMA. NITAFUTE WHATSAPP 0625 587 416.
มุมมอง 2682 ปีที่แล้ว
TUMIA NEEMA YA TEKNILOJIA KUJIENDELEZA KITAALUMA. NITAFUTE WHATSAPP 0625 587 416.
TUMEJIFUNZA NINI KWA MCHEZAJI HUYU?, KHUTBA, MWL. SHAABAN B. OMAR (ABUU HALEEMA)
มุมมอง 5262 ปีที่แล้ว
TUMEJIFUNZA NINI KWA MCHEZAJI HUYU?, KHUTBA, MWL. SHAABAN B. OMAR (ABUU HALEEMA)
UISLAMU NI NINI? - SIKILIZA -TUMA KWA WENGINE, Mwl. Shaaban B. Omar
มุมมอง 5522 ปีที่แล้ว
UISLAMU NI NINI? - SIKILIZA -TUMA KWA WENGINE, Mwl. Shaaban B. Omar
O-LEVEL REVISION SERIES - HISTORY - FORM I - IV - COVERAGE, Mwl. Shaaban B. Omar.
มุมมอง 3702 ปีที่แล้ว
O-LEVEL REVISION SERIES - HISTORY - FORM I - IV - COVERAGE, Mwl. Shaaban B. Omar.
DHULQARNAIN NA NEEMA YA CHUMA - Mwalimu Shaaban B. Omar.
มุมมอง 2182 ปีที่แล้ว
DHULQARNAIN NA NEEMA YA CHUMA - Mwalimu Shaaban B. Omar.
SPECIAL ENGLISH COURSE - READING; MAELEZO, Mwl. Shaaban B. Omar
มุมมอง 1.5K2 ปีที่แล้ว
SPECIAL ENGLISH COURSE - READING; MAELEZO, Mwl. Shaaban B. Omar
UISLAMU - DARASA MALUM - 2, Mwl. Shaaban B. Omar.
มุมมอง 4272 ปีที่แล้ว
UISLAMU - DARASA MALUM - 2, Mwl. Shaaban B. Omar.
UISLAMU - DARASA MAALUM - 1, Mwl. Shaaban B. Omar
มุมมอง 3722 ปีที่แล้ว
UISLAMU - DARASA MAALUM - 1, Mwl. Shaaban B. Omar
UISLAMU - DARASA MAALUM - UTANGULIZI. Mwl. Shaaban B. Omar (Abuu Haleema)
มุมมอง 2052 ปีที่แล้ว
UISLAMU - DARASA MAALUM - UTANGULIZI. Mwl. Shaaban B. Omar (Abuu Haleema)
SPECIAL ENGLISH COURSE - USAC - MAELEZO - 1
มุมมอง 2.8K2 ปีที่แล้ว
SPECIAL ENGLISH COURSE - USAC - MAELEZO - 1
KWA NINI UISLAMU UNAKUA KWA KASI DUNIANI - PART 2 - UST. SHAABAN B.OMAR.
มุมมอง 1.5K2 ปีที่แล้ว
KWA NINI UISLAMU UNAKUA KWA KASI DUNIANI - PART 2 - UST. SHAABAN B.OMAR.
KWA NINI UISLAMU UNAKUA KWA KASI DUNIANI? - PART 1 - UST. SHAABAN B. OMAR (ABU HALEEMA) - 17-06-'22
มุมมอง 1.3K2 ปีที่แล้ว
KWA NINI UISLAMU UNAKUA KWA KASI DUNIANI? - PART 1 - UST. SHAABAN B. OMAR (ABU HALEEMA) - 17-06-'22
DADA ALIYEGEUZWA NG'OMBE. UONGO MTUPU. Hii ni magic trick. Usiwe boya!
มุมมอง 2K2 ปีที่แล้ว
DADA ALIYEGEUZWA NG'OMBE. UONGO MTUPU. Hii ni magic trick. Usiwe boya!
KHUTBA YA IJUMAA - QUR-ĀN NA NEEMA YA NISHATI - MWALIMU SHAABAN B. OMAR (ABUU HALEEMA)
มุมมอง 1142 ปีที่แล้ว
KHUTBA YA IJUMAA - QUR-ĀN NA NEEMA YA NISHATI - MWALIMU SHAABAN B. OMAR (ABUU HALEEMA)
VITUKO MWEZI WA RAMADHANI - Mwalimu Shaaban B. Omar (Abuu Haleema)
มุมมอง 2572 ปีที่แล้ว
VITUKO MWEZI WA RAMADHANI - Mwalimu Shaaban B. Omar (Abuu Haleema)
GEOGRAPHY FORM 1 - 3RD PERIOD - USAC
มุมมอง 382 ปีที่แล้ว
GEOGRAPHY FORM 1 - 3RD PERIOD - USAC
DARSA ZA MWEZI WA RAMADHANI 2 - MWALIMU SHAABAN B. OMAR (ABUU HALEEMA)
มุมมอง 822 ปีที่แล้ว
DARSA ZA MWEZI WA RAMADHANI 2 - MWALIMU SHAABAN B. OMAR (ABUU HALEEMA)
DARSA ZA MWEZI WA RAMADHAN 1 - Mwl. Shaaban B. Omar (Abuu Haleema)
มุมมอง 622 ปีที่แล้ว
DARSA ZA MWEZI WA RAMADHAN 1 - Mwl. Shaaban B. Omar (Abuu Haleema)
DARSA YA RAMADHĀN - CLIP 1. Shaaban B. Omar (Abuu Halima)
มุมมอง 1022 ปีที่แล้ว
DARSA YA RAMADHĀN - CLIP 1. Shaaban B. Omar (Abuu Halima)
SYLABUS YA RAMADHANI KWENYE QUR-AN - MWL. SHAABAN B. OMAR (ABUU HALEEMA)
มุมมอง 682 ปีที่แล้ว
SYLABUS YA RAMADHANI KWENYE QUR-AN - MWL. SHAABAN B. OMAR (ABUU HALEEMA)
UNATAMANI MTOTO WAKO AWE NANI? - Ustadh Shaaban B. Omar
มุมมอง 7082 ปีที่แล้ว
UNATAMANI MTOTO WAKO AWE NANI? - Ustadh Shaaban B. Omar
MWANDAMO WA MWEZI RAMADHANI HAKUNA MZOZO - Abuu Haleema
มุมมอง 1312 ปีที่แล้ว
MWANDAMO WA MWEZI RAMADHANI HAKUNA MZOZO - Abuu Haleema

ความคิดเห็น

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 วันที่ผ่านมา

    ISLAMU ni neno la kiarabu maana yake MATENDO MEMA. Na uislamu unaanzia tumboni mwa mama.

  • @FrankMwakalinga-k9y
    @FrankMwakalinga-k9y 5 วันที่ผ่านมา

    Mnabisha kuwa mwanzirishi sio Baba Ibrahim nikweli mwanzirishi ni Ibrahim aliepiga msingi ujao soma Kitabu cha Mwanzo 17:16-22 Mungu anaongea na Ibrahim kuwa atafanya agano la milele msingi wa ukristo ulianzia mbali sana Mungu anaongea na Ibrahim kuwa atafanya agano la milele kwa nyakati zijazo

  • @SusanaSimoni
    @SusanaSimoni 5 วันที่ผ่านมา

    Isaya ni muongo sana huyu pepo mbaya hajui kitu aache dhambi kwanza make anateswa na thiolojia fukara

  • @georgeazaria3977
    @georgeazaria3977 7 วันที่ผ่านมา

    Mimi ni mkristo natamani sana kuujua uwislamu natamani sana shekhe

  • @georgeazaria3977
    @georgeazaria3977 7 วันที่ผ่านมา

    Nikweli kabisa ukristo ulikuwa haupo kipindi cha Ibrahim mwambie some biblia na asidanganye jamii mimi ni mkristo nimfwasi wa kristo mwanzilishi ukristo

    • @Dullahz-m3r
      @Dullahz-m3r 3 วันที่ผ่านมา

      Kweli MashaAllah moyo wako umeanza kufunguka kaka yangu yesu amekuja mbele ya ibrahim je hao waliokuja nyuma yake hawakumjua yesu walikua dini gani ?Jibu ni walikua waislamu inayomaanisha kujisalimisha kwa mwenyezi mungu

  • @ZabronMagufwa
    @ZabronMagufwa 16 วันที่ผ่านมา

    Ndugu zangu shetani anawatafuta,someni vitabu vya Roho ya unabii vinamfunua mpingA Kristo.hao wenzenu wanataka muache silaha ambazo YESU alizitumia kupata ushindi Kwa shetani.Manabii na mitume na YESU ni wahayudi.mtume Mohammed ni mwaraabu.myahudi na muarabu Wana uhasama.ndiyo maana hata bible wanaikataa Kwa sababu wayahudi wamehusika kuleta ujumbe wa Mungu.someni vitabu hivi vinamfunua YESU wa waislam dhidi ya YESU mwana WA Mungu: Matukio ya siku za mwisho Dhiki kuu inakuja Pambano kuu Ukisoma hivo vitabu shetani anabaki uchi

  • @YonaIsaya-j4y
    @YonaIsaya-j4y 18 วันที่ผ่านมา

    Ticha 🤝 nakuelewa sana Ubarikiwe sana Kwa darasa lakingeresa hongera san

  • @leomika8473
    @leomika8473 20 วันที่ผ่านมา

    We mwislam nitako kabisa we jin wa kiislam unaweza kutufundisha nini

    • @ZulfaKayuwanga
      @ZulfaKayuwanga 11 วันที่ผ่านมา

      Mdomo wako mchafu umejaa matusi kasome kwanza uctuletee matusi yako ya kichwani

  • @nakshandaniel
    @nakshandaniel 21 วันที่ผ่านมา

    Nataka kujiendeleza

  • @jamesoduor6179
    @jamesoduor6179 23 วันที่ผ่านมา

    Licha ya kua waumini wa imani ya kristo waliitwa wakristo antiocha, haikuwamwanzo wa imani ya waumini .

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 หลายเดือนก่อน

    Huyu hajui kitu anaropokwa.amedandia lori kwa mbele.

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 หลายเดือนก่อน

    Hivi Tangu lini Ubishani wa kiimani ukafikia mwafaka?

  • @HamisiSalehe-c6b
    @HamisiSalehe-c6b หลายเดือนก่อน

    Upo vizur sana

  • @Sumailamussaafitoww
    @Sumailamussaafitoww หลายเดือนก่อน

    Wote mmepotoka

  • @hamisstimu
    @hamisstimu หลายเดือนก่อน

    Dini zote si mali ya mwafrika,dini tuwaachie wazungu na waarabu sisi tuombe matambiko

    • @mwinyiswaleh8388
      @mwinyiswaleh8388 หลายเดือนก่อน

      Wewe kama unaombea matambiko baki na imani yako usituletee.

  • @fabimbilinyi2529
    @fabimbilinyi2529 หลายเดือนก่อน

    Shebani👍

  • @MohamediAli-x7t
    @MohamediAli-x7t หลายเดือนก่อน

    Naanza kujifunza kingereza

  • @MohamediAli-x7t
    @MohamediAli-x7t หลายเดือนก่อน

    Unahitaji kujifunza kingereza

  • @yakobomkristo872
    @yakobomkristo872 2 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu Isaya Yupo Sahihi Kuhusu Ukristo Kuwepo Tangu Nyakati Za Ibrahim Baba Wa Imani, Isitoshe Amejibu Kwa Uchache Kulingana Na Muda Aliopewa Kwenye Interview Redioni Tofauti Na Mwalimu Wa Kiislamu Ambaye Amejiachia Peke Yake Lakini Ameshindwa Kufanya Utafiti Wa Kimaandiko Ili Kudhibitisha Ukweli Huo Ya Kwamba Ukristo Ulikuwepo Tangu Ibrahim, Mimi Natoa Ushahidi Wa Kimaandiko Ndani Ya Biblia Takatifu Ili Kukazia Maneno Ya Mwl Isaya Benson 🎉🎉 Someni Yohana 8 : 56 - 59 Mtaona Yesu Mwenyewe Anadhibitisha Kwamba Alikuwepo Kabla Ya Ibrahimu Hali Ya Kuwa Yeye Ndiye Kristo.

  • @sundaymsuya1433
    @sundaymsuya1433 2 หลายเดือนก่อน

    Wa africa utakuja kuwana na hizi tamaduni za watu mnazipigania mtazani ni mali za waafrica ukoloni umewajaa kichwani

    • @justinemashine4292
      @justinemashine4292 2 หลายเดือนก่อน

      Wazungu na waarabu Wametupotosha sana.. Ila tumeamka sana sasa hv...

    • @MaryamIssa-y7v
      @MaryamIssa-y7v 8 วันที่ผ่านมา

      Ni utamaduni wa M/Mungu na muongozo kwa watu alietuumba Mimi na ww mbingu na ardhi na akambia vilivyomo humo ambayo hutuneemesha ktk maisha yetu matunda mboga na vya kula mbalimbali.km baba ktk nyumba anataratibu zake kwenye nyumba kwa watoto wake.jee vp Mungu aliyekuumba ulitaka akuwache tu ukivuta pumzi zake bure, Tafakari kwa kina ndugu yangu.

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 2 หลายเดือนก่อน

    Mpk sasa sijaona mkiristo anaeijua qur ani bali hubeba tafsri wakatengeza hoja kwa akili zao ila hawajui chchte

  • @yoramabubakar8012
    @yoramabubakar8012 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah shukran mwaalimu

  • @AthumanAthuman-b6q
    @AthumanAthuman-b6q 3 หลายเดือนก่อน

    Muongo Isaya

  • @nassorshaaban7295
    @nassorshaaban7295 3 หลายเดือนก่อน

    Masha'Allah Tabarakallah'hu Kareem.!!🔥🔥

  • @Josephmwamafupa-ry3zh
    @Josephmwamafupa-ry3zh 3 หลายเดือนก่อน

    Shaban:Yesu hakuacha watu wanaoitwa WAKRISTO, Yesu:Marko 9:41 Kwa kuwa ninyi ni watu Wakristo. Shabani muongo mkubwa kama allah alivyo muongo.

  • @fredosanya9604
    @fredosanya9604 3 หลายเดือนก่อน

    Mie kwa ufahamu wa kwangu ni kwamba kristo ni jina la yesu wala sio dini...

  • @fredosanya9604
    @fredosanya9604 3 หลายเดือนก่อน

    Hamna andiko kwenye biblia linalosema eti ukristo ni dini..

    • @Josephmwamafupa-ry3zh
      @Josephmwamafupa-ry3zh 3 หลายเดือนก่อน

      sema mimi sina elimu ya ukristo ili ufundishwe.

  • @AmourHamza-m3j
    @AmourHamza-m3j 3 หลายเดือนก่อน

    Isaya nakkbali kwa uchambuz wa vita hopo vp

  • @abdulghafur8612
    @abdulghafur8612 3 หลายเดือนก่อน

    US Govt are hypocrites, they are behind all attacks in Ghaza and now they will help the Zionists on invading Lebanon.

  • @Zuwenamachela
    @Zuwenamachela 4 หลายเดือนก่อน

    Issaya ni muongo maana hana andiko alilothibitishsa ukristo na uislam

  • @hamisichakachaka
    @hamisichakachaka 4 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu wa kikristo asema ulianza na Ibrahim wanaokomenti mnamkataa mwalim wenu kwamba yesu ndio muanzilishi Embu wakristo tafuteni elimu kwanza, ndio mbishane punquzeni kuimba makanisani chochote mtakachofundishwa kwenu ndio tu

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 หลายเดือนก่อน

      WAISLAMU waongo YESU NDIYE msingi wa kanisa hahusiki na UISLAMU.....siyo mwislamu. UISLAMU imeanza juzi tu Karne ya Saba...yaani MWAKA WA 622. Ukristo umetajwa katika KORANI Kwa sababu...ukristo ulitangulia..lakini UISLAMU. Umetabiliwa katika UFUNUO sura ya 9 yote.

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 หลายเดือนก่อน

      @@hamisichakachaka Umetumia Upeo Mdogo Kumwelewa.

  • @djumasuleimanisuleimani2724
    @djumasuleimanisuleimani2724 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @AmriAmri-hy6sg
    @AmriAmri-hy6sg 4 หลายเดือนก่อน

    Alhadulilah

    • @AmriAmri-hy6sg
      @AmriAmri-hy6sg 4 หลายเดือนก่อน

      Alhamdulilah natamani watu wote wasikilize hizi kripuza ustaz shaabani

  • @AmriAmri-hy6sg
    @AmriAmri-hy6sg 4 หลายเดือนก่อน

    Allah atakulipa

  • @Josephnyinge
    @Josephnyinge 5 หลายเดือนก่อน

    Kwanza hii nyimbo ya inayo imbwa na hii ligha mmi hainipendezi kabisa!!!!!!

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu kapigwa kofi..!😂😂

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 5 หลายเดือนก่อน

    Ktk hii dunia kuna watu wa moton and peponi na haina haja ya kugombana ila waislam wote ni watu wa peponi.

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 4 หลายเดือนก่อน

      Watu wa peoni ni wanaomkana Yesu sio Mwana wa Mungu!! Yohana 3:18 "Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakumwamini Mwana pekee wa Mungu." kwa taarifa yako issa bin maryam siye Yesu Kristo!

    • @kautharjay5868
      @kautharjay5868 2 หลายเดือนก่อน

      ​ndo yesu amezaliwa bila baba

    • @ibrahimgwasma1223
      @ibrahimgwasma1223 หลายเดือนก่อน

      Pepo ni ya Mwenyezi Mungu siyo ya Waislamu, Na Mwenyezi Mungu humuingiza kwenye pepo yake amtakaye , Kuna kundi katika Manaswara watakaoingia Peponi na kuna kundi katika Uma til Muhammad watakaongia peponi Na katika hayo Makundi machache tu ndo ya peponi na Mengi yatakuwa ya motoni

  • @YusufDaudi-v5f
    @YusufDaudi-v5f 5 หลายเดือนก่อน

    Akuna ata siku moja pasta au kuani atajibu Hoya ya muislam popo mwenye alishidwa kutetea ukristo kwa mohammed didati

  • @AmriSabiti
    @AmriSabiti 5 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu shabani upo sahihi Masha'allah

  • @issaabdallah7660
    @issaabdallah7660 5 หลายเดือนก่อน

    Yeye mwenyewe kajichanganya dini kaanzisha iblahim inafata mafundisho ya yesu sasa yesu na iblahimu nani ameanza??

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 4 หลายเดือนก่อน

      Habari sahihi ndio hii >>> Yohana 8:58 Yesu akawajibu, “Nawaambia wazi, kabla Ibrahimu hajazaliwa, ‘Mimi nipo.’ ”

  • @KhalfanAbdallah-n1f
    @KhalfanAbdallah-n1f 5 หลายเดือนก่อน

    Ukristo c dini..ukristo ni. Chama cha shetani tena hatari sana.ukristo ndio chanzo cha mabagha yote duniani kiongozi wao ni shetani

  • @saidlivingstone
    @saidlivingstone 5 หลายเดือนก่อน

    جزيت خيرا

  • @suleimankombo1743
    @suleimankombo1743 5 หลายเดือนก่อน

    Oh! Mashallah

  • @maiyaaliesry6192
    @maiyaaliesry6192 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Nakupa MILION MABRUK. NAKUPA MAUA YA ULIMWENGU WOTE. HONGERA.🎉 NAKUPONGEZA KWA KUTUELIMISHA MENGI YA DUNIA NA AKHERA. SHUKRAN AKHI. From OMAN

  • @eliudndadeba6193
    @eliudndadeba6193 5 หลายเดือนก่อน

    Shehe acha ubabaishaji wambie wenzio ukweli Ukristo ni maana yake ni wafuasi wa YESU abao walikubali kumpokea Yesu sasa uislamu unaufuataje kwani huyu isilamu alifanyanini duniani hata ufuate dini yenu haina Mbere wala nyuma wala mbapo kwenda hampajui jiulize nabii wenu katabiliwa na nani,kupachika hiyo.

    • @Josephnyinge
      @Josephnyinge 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 true kabisa

    • @SalumuAlly-d9q
      @SalumuAlly-d9q 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe hujielewi akili za ukafiri umekukaa unatafuta jehenamu unaongea kama upo chooni point hata moja huna

    • @zuberisalum2004
      @zuberisalum2004 2 หลายเดือนก่อน

      Pole unatumia alkali yako kujib maswali hongera

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 2 หลายเดือนก่อน

      Safi 🎉🎉

    • @AishaMnyandwa
      @AishaMnyandwa หลายเดือนก่อน

      Ukitaka kujua alipotabiliwa Muhammad saw Muulize mchungaji wako kuhusu song of Solomon

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 5 หลายเดือนก่อน

    Kama unajiamini mtafute bishop ngonyani

  • @MaulidHimidi
    @MaulidHimidi 5 หลายเดือนก่อน

    Ukiristo umeanza baada ya kufariki yesu na kuwekwa msalabani likapatikana neno kristo maana msalaba wakati wa uhai wa yesu hakukua na msalaba Wala neno kristo msalaba ulikuja baada ya kusulubiwa msalabani je yesu wakati wa uhai wake alihubiri dini gani

    • @AhmedMohamedMadaiMadai
      @AhmedMohamedMadaiMadai 5 หลายเดือนก่อน

      Yesu yupi alokufa yesu hakufa Mungu anakufa kwani

    • @Josephmwamafupa-ry3zh
      @Josephmwamafupa-ry3zh 3 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli. unaweza kuthibitisha kwa maandiko??

  • @Allymbaruku991-lj1om
    @Allymbaruku991-lj1om 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu isaya anaujua ukweli ila anawadanganya wakiristo maana wakiristo wao ni ndio tuu hawana hapana

  • @emmaculatewambua-ou9nu
    @emmaculatewambua-ou9nu 6 หลายเดือนก่อน

    Maalim uko sawa kabisa

  • @Fatuma-t7h
    @Fatuma-t7h 6 หลายเดือนก่อน

    Asalam alykum warhmatullah wabarakatuh natumia ni wazima mwalimu mie naanza kujifunza

  • @marobaraka
    @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน

    th-cam.com/users/shorts1O27jg5qDog?si=zVLxJtYeEuSn9VVL