DM TV Channel
DM TV Channel
  • 152
  • 104 045

วีดีโอ

Tabibu John Lupimo kutoka Lupimo Sanitarium anasema wiki ya Tiba Asili ya Mwafrika sio ya kukosa.
มุมมอง 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Wiki ya Tiba Asili ya Mwafrika inakukutanisha na wataalamu wa Tiba Asili ya Mwafrika waliosajiliwa na Baraza la Tiba Asili ya Mwafrika, miongoni mwao ni Tabibu John Lupimo wa LUPIMO SANITARIUM. Utafahamu mengi kuhusu umahiri wa Tiba zetu.
Wataalamu wa Tiba Asili wakutana Furahisha Mwanza kuipa Thamani Tiba Asili ya Mwafrika
มุมมอง 810 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Wataalamu wa Tiba Asili wakutana Furahisha Mwanza kuipa Thamani Tiba Asili ya Mwafrika
Dkt Elizabeth Lema Wiki ya Tiba Asili ya Mwafrika
มุมมอง 1710 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Dkt Elizabeth Lema Wiki ya Tiba Asili ya Mwafrika
Wiki ya Tiba Asili ya Mwafrika na Fursa ya kuwa Mganga na kufahamu kwa kina dawa za asili
มุมมอง 222 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Wiki ya Tiba Asili ya Mwafrika na Fursa ya kuwa Mganga na kufahamu kwa kina dawa za asili
Wiki ya Nenda Kwa Usalama Barabarani na wajibu wa Kila Mdau kumaliza ajali za Barabarani
มุมมอง 217 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Edited by YouCut:app.youcut.net/BestEditor
Mjadala wa Tiba Asili ya Mwafrika Na kumbuka kufika Nyamagana MWANZA Agosti 25 Hadi 31,2024
มุมมอง 612 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mjadala wa Tiba Asili ya Mwafrika Na kumbuka kufika Nyamagana MWANZA Agosti 25 Hadi 31,2024
Mjadala wa Tiba Asili ya mwafrika Ni Agosti 25 Hadi 31,2024 Nyamagana MWANZA
มุมมอง 2112 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Video from DM
MwangaBora Kuhusu Zao la Tumbaku. kilo Moja Sasa ni Tsh 8,000. Mara wajipanga kuongeza uzalishaji.
มุมมอง 2921 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Edited by YouCut:app.youcut.net/BestEditor
The 1st Tanzania Honey Show 2024
มุมมอง 4914 วันที่ผ่านมา
The 1st Tanzania Honey Show 2024
Shughuli za Heifer International TZ kwa Maka 49
มุมมอง 5814 วันที่ผ่านมา
Shughuli za Heifer International TZ kwa Maka 49
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili Rwanda Kwenye sherehe za uapisho wa Rais Paul Kagame
มุมมอง 52914 วันที่ผ่านมา
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali tayari kwa kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame, tarehe 11 Agosti, 2024.
Nane Nane Spesho
มุมมอง 1714 วันที่ผ่านมา
Nane Nane Spesho
SELF MICROFINANCE WAWAALIKA WAKULIMA NA WAFUGAJI KUKOPA KWA MANUFAA YA KILIMO NA UFUGAJI
มุมมอง 2714 วันที่ผ่านมา
Katika kuadhimisha kilele Cha Siku ya Wakulima na. Wafugaji Nane Nane, Mfuko wa fedha wa (SELF MICROFINANCE) Ulio chini ya Wizara ya Fedha umewataka wananchi wote wanao jishughulisha na shuguli za Kilimo, Ufugaji na Uvuvi kuchangamkia fursa za Mikopo zinazotolewa na mfuko huo ili kukuza na kuongeza uzalishaji. Wito huo umetolewa na Bi. Liinda Mshana ambaye ni meneja masoko na uhamasishaji kutok...
Rais Samia ALIVYOAMSHA SHANGWE Siku ya WANANCHI
มุมมอง 67921 วันที่ผ่านมา
Rais Samia ALIVYOAMSHA SHANGWE Siku ya WANANCHI
Kasi ya Chuo cha Taifa cha usafirishaji NIT kuzalisha wabunifu wa ndani na kukuza sekta 5 za usafiri
มุมมอง 52หลายเดือนก่อน
Kasi ya Chuo cha Taifa cha usafirishaji NIT kuzalisha wabunifu wa ndani na kukuza sekta 5 za usafiri
Baraza za Tiba Asili na Tiba Mbadala chini ya Wizara ya Afya lasajili Zaidi ya 300 kwenye 7 7.
มุมมอง 86หลายเดือนก่อน
Baraza za Tiba Asili na Tiba Mbadala chini ya Wizara ya Afya lasajili Zaidi ya 300 kwenye 7 7.
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege TAA imefafanua Fursa Tele kwenye Viwanja Inavyosimamia na kuviendeleza
มุมมอง 39หลายเดือนก่อน
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege TAA imefafanua Fursa Tele kwenye Viwanja Inavyosimamia na kuviendeleza
Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano na msemaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Geofrey Tengeneza
มุมมอง 20หลายเดือนก่อน
Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano na msemaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Geofrey Tengeneza
Namna IFM ilivyodhamiria kuleta mabadiliko kwenye Fedha na Uchumi
มุมมอง 27หลายเดือนก่อน
Namna IFM ilivyodhamiria kuleta mabadiliko kwenye Fedha na Uchumi
Je,kitambulisho chako cha Taifa Kina Changamoto? kiwasiliashe NIDA ama pale ulipochukulia.
มุมมอง 10หลายเดือนก่อน
Je,kitambulisho chako cha Taifa Kina Changamoto? kiwasiliashe NIDA ama pale ulipochukulia.
TARI na Teknolojia Zenye kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi
มุมมอง 56หลายเดือนก่อน
TARI na Teknolojia Zenye kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi
Tiba Asilia 7 7
มุมมอง 13หลายเดือนก่อน
Tiba Asilia 7 7
TAWOMA yawakaribisha Vijana wa Tanzania kuyatambua Madini na kuingia kwenye mnyororo wa Thamani.
มุมมอง 61หลายเดือนก่อน
TAWOMA yawakaribisha Vijana wa Tanzania kuyatambua Madini na kuingia kwenye mnyororo wa Thamani.
Mizinga ya Kisasa Kutoka Kijiji Cha Nyuki
มุมมอง 146หลายเดือนก่อน
Mizinga ya Kisasa Kutoka Kijiji Cha Nyuki
Ujumbe muhimu kwa wachimbaji Madini hasa wadogo.
มุมมอง 17หลายเดือนก่อน
Ujumbe muhimu kwa wachimbaji Madini hasa wadogo.
Jukwaa la Ufugaji Nyuki Tanzania TABEDO lawasihi wadau wa Nyuki Kujiandaa na APIMONDIA 2027.
มุมมอง 107หลายเดือนก่อน
Jukwaa la Ufugaji Nyuki Tanzania TABEDO lawasihi wadau wa Nyuki Kujiandaa na APIMONDIA 2027.
STAMICO NAMNA INAVYO WEZESHA MAKUNDI MAALUM KWENYE NISHATI SAFI YA KUPIKIA
มุมมอง 32 หลายเดือนก่อน
STAMICO NAMNA INAVYO WEZESHA MAKUNDI MAALUM KWENYE NISHATI SAFI YA KUPIKIA
STAMICO na namna inafanya kazi na makundi maalumu kwenye Nishati safi ya kupikia
มุมมอง 262 หลายเดือนก่อน
STAMICO na namna inafanya kazi na makundi maalumu kwenye Nishati safi ya kupikia
Wafugaji chini ya Asasi ya MVIWAARUSHA wasafiri Kilomita 700 kupata elimu Kwenye Kijiji Cha Nyuki
มุมมอง 1132 หลายเดือนก่อน
Wafugaji chini ya Asasi ya MVIWAARUSHA wasafiri Kilomita 700 kupata elimu Kwenye Kijiji Cha Nyuki

ความคิดเห็น

  • @JackM.-mh5cs
    @JackM.-mh5cs 12 วันที่ผ่านมา

    Simkubali kabisa huyu jamaa kwa kuwatia watu umasikini kuwanyima elimu sio kabisaa huyu

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 6 วันที่ผ่านมา

      Yupi amewatia kwenye utajiri,huyu alikuwa kiongozi wa watu hakuwaibia watu wake au kuuza mali za watu wake kwa mabepali

    • @stephenayo9875
      @stephenayo9875 3 วันที่ผ่านมา

      Hakuna mkamilifu. Alikua na mapungufu yake. Lakini haindoi ukweli kuwa huyu ni moja ya viongozi bora sana katika bara hili la Africa

    • @msamgunda7684
      @msamgunda7684 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huyu ni miongoni mwa viongozi waovu pia.​@@stephenayo9875

    • @msamgunda7684
      @msamgunda7684 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​​@@FridayMwassanyerere muovu sana.yeye ndio mama wa mafisadi wa leo hii.kama husomi vitabu bas msikilize tundulisu.

  • @foundationforcommunityhope7327
    @foundationforcommunityhope7327 15 วันที่ผ่านมา

    Mh.Rais Dr.Samia kweli unastahili heshima na Hongera kwa kazi unazozifanya ...your so strong,big up Mheshimiwa.

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 16 วันที่ผ่านมา

    yeeeah Samia binti yake na Suluhu wake Hassan..Mama kuna siku wapumzika kweli mama yetu? dah mara kule mara pale mara vikao mara inagurations..kila siku ni mbio2 ndo mana mwili wako wapungua maana hata kula hulii mama..aii pole na majukumu binti yake

  • @SarahDaudi-w1o
    @SarahDaudi-w1o 20 วันที่ผ่านมา

    Nae mwana yanga ñn?

  • @PeterMgogosi-o6d
    @PeterMgogosi-o6d 26 วันที่ผ่านมา

    Ukitemewa mate na wakubwa sema mvua hii yaleo hatari

  • @DMTV4
    @DMTV4 29 วันที่ผ่านมา

    Sasa Mkubwa akikutemea mate

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 29 วันที่ผ่านมา

    Kuna Mfalme CHAGUO la Mungu na pia Kuna Mfalme Ambae Mungu ameruhusu awepo

  • @RashidiKuji
    @RashidiKuji หลายเดือนก่อน

    Yes vp have 😅

  • @user-dn7xj5ox7m
    @user-dn7xj5ox7m 2 หลายเดือนก่อน

    Ouh ouhhhh jaman, I see by my self 😅😅😅Jesus is My Lord 😅🥰❤️

  • @YustinaPanga
    @YustinaPanga 2 หลายเดือนก่อน

    Tutakukumba sana baba wataifa letu

  • @borisloris
    @borisloris 3 หลายเดือนก่อน

    #Mocares #moodewji #modewjifoundation

  • @ridhiwankanja8256
    @ridhiwankanja8256 3 หลายเดือนก่อน

    😢😢

  • @williardkinabo6827
    @williardkinabo6827 3 หลายเดือนก่อน

    Nakulewa sn mdogo wangu!

    • @DMTV4
      @DMTV4 3 หลายเดือนก่อน

      ASante sana Daah Kipindi Cha Muda mrefu Sanaa sana naona umekisaka kwa TH-cam 😅...please subscribe and comment more ..Asante sana

  • @ATHUMANNYAMUNGA-kc7zq
    @ATHUMANNYAMUNGA-kc7zq 4 หลายเดือนก่อน

    Toka moro kilosa, mbona hampatikani

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 4 หลายเดือนก่อน

    Bado hajazaliwa DUNIANI kama Nyerere.

    • @onelovetz7935
      @onelovetz7935 3 หลายเดือนก่อน

      Kazaliwa Magufuli tu

    • @Mapenzi2635
      @Mapenzi2635 3 หลายเดือนก่อน

      @@onelovetz7935, MJOMBA Magu alikuwa na Nia njema ila hakuwa na umahiri wa kuendesha Serikali. Hakujua Serikali ni nini.

  • @tonnyford5782
    @tonnyford5782 4 หลายเดือนก่อน

    Hii ningeipata mp3 ningetamba sana

  • @tonnyford5782
    @tonnyford5782 4 หลายเดือนก่อน

    Rip mwl Julius kambarage Nyerere

  • @samwelmkufya3694
    @samwelmkufya3694 5 หลายเดือนก่อน

    Nakubali kaka asante kwa kutuletea Elimu hiyo

    • @DMTV4
      @DMTV4 4 หลายเดือนก่อน

      Asante Mdau tupo Pamoja na tuendelee KUSHIRIKIANA

  • @zonko0488
    @zonko0488 ปีที่แล้ว

    Safi sana Baba wa Taifa

  • @johnmuro9915
    @johnmuro9915 ปีที่แล้ว

    HUYU MZEE ALIISHI KWA FIKRA ZA HATARI SANA

  • @redeemer06Newsalerttz
    @redeemer06Newsalerttz ปีที่แล้ว

    Kwenye suala la mbolea nawasihi wakulima wajisajili kwenye mfumo wa mbolea ya ruzuku ili iwe rahis kupata pembejeo ya mbolea kwa bei ya ruzuku...nusu ya bei elekezi

  • @khadijaahmed6420
    @khadijaahmed6420 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿❤️

  • @nyamarungusakara-or9ek
    @nyamarungusakara-or9ek ปีที่แล้ว

    Nimeipenda sn hotuba hiy fupi tutamkumbuka sn Babu yetu mpendwa

  • @harunaabdalah7067
    @harunaabdalah7067 ปีที่แล้ว

    Asante kwa wosia wako teacher

  • @Udindigwa
    @Udindigwa ปีที่แล้ว

    Point Tupu

  • @rommyshabby3959
    @rommyshabby3959 ปีที่แล้ว

    Big up sana mwalimu

  • @jeremiahkavakule8354
    @jeremiahkavakule8354 ปีที่แล้ว

    Jpm & putin oyeeeee

  • @joackimnyandindi5746
    @joackimnyandindi5746 ปีที่แล้ว

    mzazi ahsante sana

  • @johnmahu5060
    @johnmahu5060 ปีที่แล้ว

    Asnt sana ubarikiwe na mungu

  • @daylightmushi2552
    @daylightmushi2552 ปีที่แล้ว

    Imekaa poah sanaa.

  • @thebetimojahalisi9837
    @thebetimojahalisi9837 ปีที่แล้ว

    MUNGU BABA Ambaye Ni CHANZO HALISI Cha MEMA NA MAZURI PEKE YAKE awabariki Mnoo Kwa upendo uliopitiliza.

  • @samwelmkufya3694
    @samwelmkufya3694 ปีที่แล้ว

    Nakupata mno Chief

  • @dawysandu6353
    @dawysandu6353 5 ปีที่แล้ว

    Kaka Denis ulikuwa mbunifu ktk RFA naomba urudi tena mshikaj wetu tumekumiss sana

    • @DMTV4
      @DMTV4 5 ปีที่แล้ว

      Asante sana kwa maoni yako Ndugu yangu, nina majukumu mengi nje ya studio, lakini najitahidi Jumamosi na Jumapili kuwa na wadau wangu Hewani