- 338
- 73 927
Mwangaza Pentecostal Church
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 2 ม.ค. 2019
Mwangaza Pentecostal Church is a shining light into the darkness and seeks to enlighten the lost and touch the hurting lives by the Love of God and His divine-power which is manifested through Holistic Evangelism and Christ-centric services.
Mwangaza aims at bringing new believers into the Kingdom of God and help them grow to be more like Him and equip them with tools that lead them to become dependable believers and self-sufficient. And this vision is accomplished by equipping and mobilizing believers to reach out and spread the relevant message of Jesus Christ and expanding and reproducing the church as directed by the Holy Spirit. (Matthew 28:18-20; Acts 11:19-26).

MEZA YA MAHOJIANO. MWANGAZA YOUTH SUMMIT 2024
Hapa utapata mambo mengi ya kujifunza kupitia maswali na majibu kutoka kwa Pastor Leonard Ngeleja, Mwalimu Emmanuel Makwaya na Mwalimu Elisha Kabuta
มุมมอง: 79
วีดีโอ
TUMPATE WAPI MTU KAMA HUYU BY MWALIMU EMMANUEL MAKWAYA. MWANGAZA YOUTH SUMMIT 2024
มุมมอง 27314 วันที่ผ่านมา
TUMPATE WAPI MTU KAMA HUYU BY MWALIMU EMMANUEL MAKWAYA. MWANGAZA YOUTH SUMMIT 2024
KUPANUKA NA KULITAWALA ENEO LAKO LA KAZI BY PASTOR LEONARD NGELEJA. Mwangaza Youth Summit 2024
มุมมอง 12414 วันที่ผ่านมา
Mafundisho haya yatakusaidia jinsi ya kuboresha taaluma yako na stadi za maisha. Utapata kujua hapo ulipo bado hapatoshi.
Viashiria vya kukuonyesha uko na mtu sahihi
มุมมอง 67811 หลายเดือนก่อน
Viashiria vya kukuonyesha uko na mtu sahihi
Namna ya kujinasua toka kwenye udhaifu wako
มุมมอง 98611 หลายเดือนก่อน
Namna ya kujinasua toka kwenye udhaifu wako
Namna ya Kujikwamua toka kwenye jambo uliloshindwa kulifanya
มุมมอง 81311 หลายเดือนก่อน
Namna ya Kujikwamua toka kwenye jambo uliloshindwa kulifanya
Jambo la kuzingatia unapochagua Mentor
มุมมอง 60811 หลายเดือนก่อน
Jambo la kuzingatia unapochagua Mentor
IFUNDISHE NJAA YAKO USIJE UKANASWA UJANANI
มุมมอง 2.5Kปีที่แล้ว
IFUNDISHE NJAA YAKO USIJE UKANASWA UJANANI
HUWEZI KUFANIKIWA KWENYE NDOTO YAKO PEKEE YAKO
มุมมอง 1.2Kปีที่แล้ว
HUWEZI KUFANIKIWA KWENYE NDOTO YAKO PEKEE YAKO
JINSI YA KUJIPELEKA JANGWANI ILI UPATE MAWAZO MAPYA
มุมมอง 4.1Kปีที่แล้ว
JINSI YA KUJIPELEKA JANGWANI ILI UPATE MAWAZO MAPYA
Kauli ya Promotion Baada ya Kazi njema duniani
มุมมอง 4.9Kปีที่แล้ว
Kauli ya Promotion Baada ya Kazi njema duniani
SIKU NI HII BWANA AMEFANYA ( AMAPIANO VERSION ) - MWANGAZA PRAISE & WORSHIP #highlights YOUTH SUMMIT
มุมมอง 184ปีที่แล้ว
SIKU NI HII BWANA AMEFANYA ( AMAPIANO VERSION ) - MWANGAZA PRAISE & WORSHIP #highlights YOUTH SUMMIT
SIKU NI HII BWANA AMEFANYA NEW VERSION - MWANGAZA PRAISE & WORSHIP ( YOUTH SUMMIT 2023 )
มุมมอง 190ปีที่แล้ว
SIKU NI HII BWANA AMEFANYA NEW VERSION - MWANGAZA PRAISE & WORSHIP ( YOUTH SUMMIT 2023 )
UTHUBUTU HUAMUA HATMA - MWANGAZA YOUTH SUMMIT 2023 #highlights
มุมมอง 2.7Kปีที่แล้ว
UTHUBUTU HUAMUA HATMA - MWANGAZA YOUTH SUMMIT 2023 #highlights
MWANGAZA YOUTH SUMMIT DAY 2023 HIGHLIGHTS
มุมมอง 39ปีที่แล้ว
MWANGAZA YOUTH SUMMIT DAY 2023 HIGHLIGHTS
Amen ubarikiwe sana mtumishi, najifunza mengi
Amen Amen
Viashiria vya Kiroho ni hatari,havikoseagi vile
Siyo " watanzania kwa asili siyo wasomaji wa vitabu" sema hivi kwa asili ni wapumbavu hawa jui Akili ni ni ni na inafanyaje kazi ni wapumbavu maana hawajui kama ipo
❤
Huyo Mzee ni hatari
Mm nilijua unatafsiri kati ya Njozi/Night mare na Maono
THIS IS VERY BEAUTIFUL. AM BLESSED.
Mr jolam umenigusa Sana nipateje namba yako?
Barikiwa sana❤
Ubalikiwe sana Mr. Joram
amen 🙏
Mafundisho haya yamebeba ujumbe mzito sana. Ni kweli kwamba, wakati mwingine usipotenga muda wa kuwa karibu na mungu zaidi huwezi fanikiwa vile unataka. Be blessed
Kuna raia nawaona wanaondoka ktkt ya kipindi hiki kizuri
I wish to be like you , I trust I will be for the coming two years and forever
Asante
Tunambariki Bwana, kwa neema yake. Nawapata vizuri kabisa hapa Nairobi
th-cam.com/video/9iQdsvrFzdA/w-d-xo.htmlsi=FlUQPeMjhpra-7Kp Hivi ndivyo unavyoweza kushiriki MASHINDANO YA USOMAJI WA VITABU

Ujumbe nzuriii sana🙏🙏
MUNGU Akubariki Sana Joramu
Nimekuelewa vizuri sana. Uko vizuri sana. You have done it justice. Umenifungua macho. Asante sana.
Greatly
Asantee sana mtumishi wa MUNGU barikiwe Sana nami ninajifunza chini Yako thanks
Amen sio mtu wa kawida
Amina baba
Waoo
Mungu ana watu jamani ❤
Clip fupi hazichoshi kuskilizaa point zimekaa vizurii ,yani atari atari
Siku wahi kupata ufafanuzi mzuri ivii,,,Sasa nimeanza kuonaa,,nitaishi vizuri na Kila mtu,ili maon yng yatimie
Maono yamepotea sn ,,asante Kwa deliverces,Kwangu,Ata comment zetu zinaonesha km tuna maono au laaa,,na wausika wanao tulisha
Mkoo vizur sn,,ichi CHAKULA sioo kwajili ya watoto,,wachanga kirohoo,,sie tuna elewa mnoo,,Mungu azidi kuwa tumiaa
Somo zuri mnoo baba zangu
usiuze imani yko kwa kutafuta mali
Unatoa hutuba yanini mzeze toa tofauti kati ya maono na ndoto
hajajibu kibiblia inavyotakikana
Nilijua mm tu labda kichwa changu kigumu
Ukisoma vitabu unakutana na njozi za watu wengi wa sehemu tofautitofauti ✍️
Maarifa ni kusoma, natiwa moyo hapa❤
❤
akili kubwa kaka Mungu akulinde
Unatoa usia kama mzee wa miaka 80🎉🎉
Asante 🎉❤
Nimejifunza kitu
Much thanks Bro,kwa matumizi mazuri ya Ulimi wako, Unaamsha fahamu za watu wenye utimamu. Na Abarikiwe zaidi aliekufanya ukawepo kwenye sura ya ulimwengu, I hope jamii itakuhitaji zaidi. Na Uzidi kuwepo. ❤
Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu,hongera kwa ujumbe mzuri,ninaomba Kama Kuna uwezekano nipate nafasi ya kuzungumza nawewe Kama nitapata kibali kwako,naitwa pastor shadraka Athumani,Niko nyamagana mwanza
Nzur
Big thinker thanks
Safi sana mwalimu
Wewe ni MALAIKA,akusikilizaye na ataponywa kwa maneno ya kuongeza imani. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏